BADO MMOJA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 2,195
- 1,352
NAINGIZWA MJNI KWA KUKUFURAHISHA WEWE KIBARAKA WA MANJ?Acha ujinga wako, Manji anaweza kumiliki nguo za jeshi? Na wewe umeingizwa mkenge mjinga sana wewe!!
NAINGIZWA MJNI KWA KUKUFURAHISHA WEWE KIBARAKA WA MANJ?Acha ujinga wako, Manji anaweza kumiliki nguo za jeshi? Na wewe umeingizwa mkenge mjinga sana wewe!!
MALIPO N HAPAHAPA DUNIANIHebu tumpe nafasi manji naye aishi kama shetani wa kuzimu! Kaisulubu sana hii nchi na maskini wake...kuna watu wako keko kwa sababu yake! Ngoja naye aonje ladha ya upande wa pili
KWAKO WEWE NA KUNDI LAKO LA WAJINGA MANJI NI MTU SPECIAL, SWALI HAWA WENGINE WAMEKUWA WAKIKAMATWA NA NGUO ZA JESHI WAMEKUWA WANAZIPATA WAPI NA KWA UJINGA WAKO HUOHUO HATA KAMA ANGEKUTWA NA BUNDUKI ZA KIVITA KWAKO NI HALALI DOLA ISIMKAMATE MNATETEA UPUMBAVU HATA AIBU HAMNA.Je alizipataje? Ziliingizwa kutoka nje au zilinunuliwa humu nchini? Anao mkataba wa ku supply magwanda ya jeshi?
MATUSI NDIYO CHAKULA CHAO NA ULIMBUKENI WAO, DOLA IKIWAJBKA WANALALAMA ALIKUWEPO JK WANALALAMA HAWEZI KUFANYA KAZI SASA NINI KIFANYIKE?Watu wamekuwa na ushabiki wa kijinga kijinga
Mkuu mbona ueleweki, nini hoja yako?Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
Nataman nikutukane lakn nakusamehe tu..Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
Mkuu uliwahi kutumikia JKT au JW hata mgambo au kuwa classmonitor?Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
Na wewe unakulupuka tu, hujui hata palipo anzia, eti nguo za jeshi 5000!! Pole ndio umeingia juzi humu sasa unataka uanze kuchangia. Waulize wenzako, godown ya quality ilikutwa na nini? Sio Manji, eti wamemkamata Manji, Mungu yupo anejua hila zote. Kwetu sisi mtajificha kwa yoga wenu, ila iko siku isiyona jina hila zote zitakuwa peupe.
Sasa mtu mlimpa kazi ya Ku supply vifaa vya jeshi ikiwemo sare na vifaa vya ofisini, ulitegemea akivipokea toka kwa mtengenezaji aviweke uwanja wa taifa au? Hata, endelea kusifia maji yasiyojaa kwenye tenga.KWA UPUMBAVU WAKO MANJI YUKO SAWA KUMILIKI NGUO ZA JESHI NDANI YA NCHI HII NA ASIHOJIWE? VIBARAKA BADO MPO TU
Ok, ghala la Quality kumekutwa na jozi za vitambaa vya nguo zinazofanana na za jeshi, wakaenda mbali kidogo na mihuri ya taasisi za serikali. Unielewe hapo. Sasa je, si wangeanza kufanya upelelezi wao ili wajilidhishe zinaenda wapi, au kama ni kushona sare za jeshi ni jeshi lipi? Haya mihuri wakatuolodheshea karibu yote ni ya kambi za kijeshi tena za serikali, sasa hapo ukiunganisha dot utajua kuwa, kumbe quality na jeshi wananasaba furani. Kwahiyo kwasisi tunaoshughulisha ubongo, tukajua tu kuna namna furani hapa.Mkuu;
Tenda haki tu hakuna ubaya wowote. Hivi kati yangu mimi na weye aliyekurupuka ni nani?? Si ungejibu tu kama kumsaidia asojua?? Kwa nini mnamsimanga kipofu ati kakurupuka mbio huku haoni?? Eleza unachokijua ili hata hao waliojiunga leo kama mimi tuelewe. Pia tufundishe wageni namna ya kuchangia na thread zipi tuchangie na zipi tuweke mbali na watoto
Thibitisha kwa ushahidi ulio Wazi tuhuma zako dhidi ya Serikali kuwa ina Mbinu za kutaifisha IPTL na siyo kuandika uzushi. WITO. chombo cha TCRA shughulikeni na watu kama hawa ili wawe wanathibitisha tuhuma zao.Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
KAMA ALIKUWA SUPPLIER WA NGUO ZA JESHI SERIKALI IMEMGEUKA NA KUMSHTAKI KWA SABABU GANI NAOMBA UTUAMBE WEWE UNAYEJUA UKWELI KWAKUWA TAAARIFA ZA DOLA NI YA UWONGO KWAKO. LETA UKWELI UNAOUFAHAMU NA SABABU ZA DOLA KUMGEUKA.Sasa mtu mlimpa kazi ya Ku supply vifaa vya jeshi ikiwemo sare na vifaa vya ofisini, ulitegemea akivipokea toka kwa mtengenezaji aviweke uwanja wa taifa au? Hata, endelea kusifia maji yasiyojaa kwenye tenga.
Mihuri walienda nayo mifukoni wamembakia kesi ujue magufuli ana visasi na Manji anafanya kila njia amkomoe, kama tatizo ni uvunjaji sheria mbona Lugumi hajakamatwa? Mmiliki wa vyeti feki Daud Bashite yupo free, aliyenunua kivuko feki mbona hashitakiwi?
Ok, ghala la Quality kumekutwa na jozi za vitambaa vya nguo zinazofanana na za jeshi, wakaenda mbali kidogo na mihuri ya taasisi za serikali. Unielewe hapo. Sasa je, si wangeanza kufanya upelelezi wao ili wajilidhishe zinaenda wapi, au kama ni kushona sare za jeshi ni jeshi lipi? Haya mihuri wakatuolodheshea karibu yote ni ya kambi za kijeshi tena za serikali, sasa hapo ukiunganisha dot utajua kuwa, kumbe quality na jeshi wananasaba furani. Kwahiyo kwasisi tunaoshughulisha ubongo, tukajua tu kuna namna furani hapa.
Sent from my Infinix HOT 4 Lite using JamiiForums mobile app
Kama unaamini dola ndio msema kweli, kwanini mnamkamata Singh na Rugemalira Wakati pesa si za serikali kama alivyosema kiongozi wa dola iliyopita. Kwanini Ngereja hakuzirudisha kwa Rugemalira akazipeleka Serikalini huku akijua si za serikali, au wewe ni mwerevu kuliko aliyewahi shikilia dhamana ya wizara husika. We unasemaje pesa ni za serikali kama dola ya leo inavyosema au si ya serikali kama dola iliyopita inavyoamini.KAMA ALIKUWA SUPPLIER WA NGUO ZA JESHI SERIKALI IMEMGEUKA NA KUMSHTAKI KWA SABABU GANI NAOMBA UTUAMBE WEWE UNAYEJUA UKWELI KWAKUWA TAAARIFA ZA DOLA NI YA UWONGO KWAKO. LETA UKWELI UNAOUFAHAMU NA SABABU ZA DOLA KUMGEUKA.