Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu