Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

KWA UPUMBAVU WAKO MANJI YUKO SAWA KUMILIKI NGUO ZA JESHI NDANI YA NCHI HII NA ASIHOJIWE? VIBARAKA BADO MPO TU
Mpumbavu ni wewe, unadhani hii laana ya kuwaonea watu itawaacha salama?
Tangu lini manji amekuwa haini?
shwaini Sana wewe mwana Mbuzi.
 
KWA UPUMBAVU WAKO MANJI YUKO SAWA KUMILIKI NGUO ZA JESHI NDANI YA NCHI HII NA ASIHOJIWE? VIBARAKA BADO MPO TU
Mpumbavu ni wewe, unadhani hii laana ya kuwaonea watu itawaacha salama?
Tangu lini manji amekuwa haini?
shwaini Sana wewe mwana Mbuzi.
 
KWA UPUMBAVU WAKO MANJI YUKO SAWA KUMILIKI NGUO ZA JESHI NDANI YA NCHI HII NA ASIHOJIWE? VIBARAKA BADO MPO TU
Nawe tumia akili zako kutafsiri kama jeshi limempa tenda ama lilikuwa linampa tenda ya kushona gwanda atashindwaje kuwa na vitambaa na mhuri ni wao sio feki, inasemekana walimpa wenyewe.. Kuchelewa kurudisha ni issue ya kibiashara c hivyo mnavyokota vichwa vya tren!
 
Mkuu hujui
Na hujishughulishi kujua kwanini anazo kwa kifupi Yule ni mzabuni WA hizo uniform ni mihuri kwa miaka sasa kipitia quality group ilitakiw kampuni ishtakiwe ila jiulize why him
217f896ef53c74c78957780cdbb2a0ef.jpg
 
Hivi ni lazima muandike majanga

Yaani kuna binadamu kwenye hii nchi yetu, natamani JPM awapatie uraia wa Syria au Afghanistan mkaishi huko na kutuachia nchi yetu na amani na mazuri anayoyafanya Rais wetu aendelee

Yaani ni mnatia aibu kama vile hamkusoma kabisaaaaaaaa
 
Mpumbavu ni wewe, unadhani hii laana ya kuwaonea watu itawaacha salama?
Tangu lini manji amekuwa haini?
shwaini Sana wewe mwana Mbuzi.
Manji amefanya mangapi kuwadhulumu watanzania? Am not surprised. Anavuna aliyopanda
 
Hivi ni lazima muandike majanga

Yaani kuna binadamu kwenye hii nchi yetu, natamani JPM awapatie uraia wa Syria au Afghanistan mkaishi huko na kutuachia nchi yetu na amani na mazuri anayoyafanya Rais wetu aendelee

Yaani ni mnatia aibu kama vile hamkusoma kabisaaaaaaaa
You deserve a cool, nice drink of your choice to sooth your thirst [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
KWA UPUMBAVU WAKO MANJI YUKO SAWA KUMILIKI NGUO ZA JESHI NDANI YA NCHI HII NA ASIHOJIWE? VIBARAKA BADO MPO TU
Unge hoji kwa nini jeshi wapo kimya...
ana tenda ya kushona sare hizo...uliza watakwambia..
 
Mkuu kwahiyo Nguo alikuwawa anazifanyia Nini?
ana kundi la askari la kufanya ualifu? Waza kwa hekima kidogo
Kwanza mi sii shabiki wa yanga wala chama chochote so Sina mawazo ya kushikiwa kuhusu Manji mi nimeona tu anaonewa
Nenda kalisafishe tena gari lake, limepaki nje ya hospitali tena hakuna hata askari wa kukusumbua!
 
Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
Acha kuongea ufalaa wewe huyo manji ni mwizi tu na hao wakina iptl
 
Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
Kwa mabaya ambayo manji kafanya kweli hili taifa naona hata hapo bado wanamuonea huruma , huyu alikuwa dalali maarufu wa serikal enzi za mkwele. Hebu soma hii


Tanzania`s future in Manji`s hands?
-ROW ERUPTS AFTER CONTROVERSIAL BUSINESSMAN IS TOUTED AS ONE OF NATION’S LEADING ROLE MODELS
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
A ROW has exploded over the decision of organizers of an upcoming investment conference in Dar es Salaam to declare controversial businessman Yusuf Manji as a leading role model helping to shape Tanzania’s future.
The Economist Group, which is convening a much-hyped roundtable conference in the country on October 6 and 7 this year, lists Manji among ’’people shaping Tanzania’s future.’’
Manji, Chief Executive Officer of Quality Group Limited, is scheduled to be one of the key speakers at the roundtable sponsored by Barrick Tanzania, Zain, Artumas Group and Coca-Cola.
One of the key topics of discussion at the planned conference is aptly titled ’’Is the government doing enough to tackle corruption?’’
Sessions of the business roundtable will be led by President Jakaya Kikwete and senior government ministers, according to the organizers.
’’The Economist’s First Business Roundtable with the government of Tanzania offers you the opportunity to gain exclusive access to the country’s top decision-makers and discuss its economic future with an international audience of high-level executives,’’ says an advert for the conference published in The Economist’s of September 13-19 issue of 2008.
Manji, who faces a series of corruption allegations in Tanzania, has been highlighted as one of the key players in the nation’s future economic success.
The Secretary-General of the Opposition Chadema party, Dr Wilbroad Slaa, reacted angrily to the decision of The Economist to name the businessman as one of the ’nation’s role models.’
’’How can Manji be among people entrusted with our national economy and future well-being?’’ he queried in an interview with THISDAY.
’’It’s very unfortunate that Manji is named as one of the people shaping this country’s future ... We should make sure that people tainted with corruption (allegations) are not given such honours at forums,’’ he added.
The Karatu Member of Parliament, who is an outspoken critic of grand corruption, noted that Manji was just recently alleged to have been involved in the external payment arrears (EPA) scandal at the Bank of Tanzania.
Among other things, the controversial businessman is also at the centre of a long-standing corruption investigation by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) on a dubious 2004 deal involving the sale of overpriced godowns to the National Social Security Fund (NSSF) for 47.5bn/-.
Persistent questions also remain over another dubious deal between Manji’s Quality Group Ltd and the Public Service Pension Fund (PSPF) involving the sale of Quality Plaza in Dar es Salaam for 36bn/-.
Slaa slammed organizers of the conference for naming the businessman among the corporate speakers at the meeting, regardless of the various corruption allegations against him.
’’The fact that Manji faces many corruption allegations in Tanzania should have been the first criteria not to include him in the list of people shaping our nation’s future ... Organizers should seriously reconsider their decision,’’ he insisted.
Other notable senior government and corporate speakers to be joined by Manji at the gathering include the Minister for Infrastructure Development, Dr Shukuru Kawambwa, Energy and Minerals Minister William Ngeleja and the Minister for Industry, Trade and Marketing, Mary Nagu.
Also in the list of key speakers at the upcoming conference are East African Co-operation Minister Diodorus Kamala and the Managing Director of Vodacom Tanzania Limited, Deitlof Mare.
Other topics to be discussed during the gathering include the role of the private sector in tackling Tanzania’s infrastructure bottlenecks, perceptions of new investors from China and India on the country, tourism development and diversification into new areas such as IT and telecoms.
 
Wale wote wanao mtetea manji labda muwe mnasoma ufisadi wake ndani la taifa hili . haya dili lingine hili aliwapiga TANESCO. Mimi kwangu manji na wezi wote wacha sheria ifuate mkondo wake


By ThisDay Reporter
21st December 2009
THE state-run Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), which is currently being audited for possible financial mismanagement, awarded contracts worth billions of shillings this year to dubious individuals, including those linked to the Bank of Tanzania's external payment arrears account (EPA) looting scandal.
Business tycoon Yusuf Manji, who faces widespread allegations of corruption, was among the major beneficiaries of hefty TANESCO payments for the procurement of various goods and services through at least two of his companies during 2009.
The companies - Quality Trade & Distribution Limited and Quality Motors Limited &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG] ; were paid more than 19.7bn/- out of TANESCO's supposedly-depleted coffers over the past 12 months alone.
The power utility firm, under its most recent managing director Dr Idris Rashidi, also did business with KERNEL Limited, a company owned by Dar es Salaam-based businessman Johnson Lukaza who is presently facing criminal charges over the EPA scandal.
TANESCO paid Quality Motors Ltd more than 5.75bn/- for the supply of motor vehicles, and another 14bn/- or so to Quality Trade & Distribution Ltd for the supply of various tools and equipment including transformers and service line material for rural electrification.
These particular payments are among expenditures under investigation as part of a special audit being carried out by the office of the Auditor and Controller General (CAG).
Quality Trade & Distribution Ltd was initially registered at the Business Registration and Licensing Authority (BRELA) offices in Dar es Salaam as Quality Distribution and Trade Limited, on February 21, 2001.
Just six days later (February 27), the name Quality Distribution and Trade Ltd was changed to Quality Trade & Distribution Ltd for reasons yet to be established.
The registered directors of the company are Yusuf Manji and his deceased father, Mehboob Manji.
Records show that various companies affiliated to the Manji-owned Quality Group have over the past few years been awarded other lucrative contracts worth billions of shillings by the reportedly cash-strapped TANESCO.
The controversial businessman faces various allegations of widespread tax evasion, fraud and corruption, and has further been allegedly linked to the infamous Kagoda Agriculture Limited which alone received more than 40bn/- from the EPA account.
He has denied the allegations.
KERNEL Limited, owned by Johnson Lukaza, was this year awarded by TANESCO a contract worth around 70m/- for the supply and servicing of fire extinguishers.
The management of the public utility (under Rashidi) did the deal with the company despite its owner being indicted over the EPA scandal last year.
In criminal case number 1156 of 2008 at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam, Johnson Lukaza and his brother Mwesiga Lukaza are jointly charged with fraud, conspiracy and the theft of more than 6.3bn/- from the Central Bank.
The Lukaza brothers are alleged to have forged legal documents purportedly between their company, KERNEL Limited, and Marubeni Corporation of Japan to siphon the money out of the EPA account.
Rashidi left TANESCO this month after expiry of his three-year employment contract, but is believed to be eying a fresh mandate at the helm of the reportedly financially-troubled power firm.
Well-placed sources say auditors from the CAG's office have already uncovered serious financial mismanagement at TANESCO through excessive purchases of luxury vehicles, furniture and construction of swimming pools at residential houses.
The lavish spending spree apparently authorized by Rashidi came against the backdrop of serious liquidity problems said to have hit TANESCO for quite sometime now.
The CAG-led special audit, which is basically targeting a massive syndicated loan of 300bn/- secured by TANESCO from various local banks in September 2007, is expected to be concluded next month.
 
Na bado mauchafu mengine kwenye mikataba mbal mbali, viwanja n.k acha tu sheria ifuate mkondo mpuuz sana huyu na wengine .
 
26 Nov 2009

Manji akumbwa na balaa• Manispaa Kinondoni kumfikisha mahakamaniNa Betty Kangonga, Tanzania DaimaHALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni, inatarajia kumfikisha mahakamani mfanyabiashara maarufu nchini na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Manji, kwa kukabidhidhi matela ya kubebea takataka yaliyo chini ya kiwango.Nia hiyo ya Manispaa ya Kinondoni, ilitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji ya Manispaa hiyo na Diwani wa Kata ya Magomeni, Julian Bujugo, ambaye alibainisha kuwa, halmashauri hiyo ilimpatia zabuni ya kuagiza matela mfanyabiashara huyo, lakini ameshindwa kulinda makubaliano ya mkataba.Alisema wameamua kuchukua hatua hiyo baada ya kuona Manji hana nia ya kupeleka matela yenye viwango vinavyohitajika au kurejesha kiasi cha shilingi milioni 324 alichopewa kwa ajili ya kazi hiyo.Bujugo alisema matela 27 yalikusudiwa kusambazwa katika kata zote za wilaya hiyo ili kuiweka manispaa hiyo katika hali ya usafi.Alisema Manji alitakiwa kukabidhi matela hayo katika muda usiopungua miezi mitatu (Septemba – Desemba 2008), lakini alikiuka taratibu ambapo aliwakabidhi Novemba mwaka huu.“Zabuni hiyo ilikuwa ni ya kipindi cha miezi mitatu, lakini Manji alikiuka utaratibu huo ambapo imepita zaidi ya mwaka ndiyo anatuletea matela hayo yasiyo na ubora,” alifafanua Bujugo.Aidha, alisema halmashauri katika mkataba wake na Manji, ilitaka matela yenye matairi manane, lakini mfanyabiashara huyo aliwapelekea matela yenye matairi manne.“Sisi tuna ushahidi wa kile tulichokiagiza katika makubaliano yetu. Tulihitaji kuletewa matela yenye matairi manane, amechukua muda mrefu anatuletea matela ya matairi manne, hatuyataki,” alieleza.Alisisitiza kuwa, kamati yake na halmashauri haikuwa tayari kupokea matela hayo na kumshauri Manji kutimiza kile walichokubaliana katika mkataba husika.Alisema hivi sasa kuna mbinu chafu na ushawishi unaofanywa na mfanyabiashara huyo kwa baadhi ya madiwani ili wakubali kuyapokea matela hayo.Alibainisha kuwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ilitoa siku saba kwa Manji kuyaondoa katika eneo yalipowekwa matela hayo na kuleta yale yanayokidhi viwango.Alidai kwamba pamoja na agizo hilo, mfanyabiashara huyo alishindwa kutimiza masharti aliyopewa, jambo lilioifanya manispaa kufikiria kuchukua hatua za kisheria kuhakikisha jambo hilo linamalizika.Tanzania Daima Jumatano lilijaribu kumtafuta Manji ili kuzungumzia sakata hilo, lakini simu yake ya mkononi ilipokelewa na mtu aliyejitambulisha kuwa ni msaidizi wake.Msaidizi huyo ambaye hakutaka kutaja jina lake, alisema Manji hakuwepo ofisini huku akilitaka gazeti limuachie maagizo ili akirudi ampe.“Ninaomba uniachie ujumbe nitamfikishia na kama atakuwa tayari najua lazima atakupigia,” alieleza msaidizi huyo.Hata hivyo, msaidizi huyo alishindwa kutimiza ahadi hiyo ambapo hadi Tanzania Daima Jumatano linakwenda mtamboni, hakuna simu yoyote iliyopigwa na Manji.Source: Tanzania Daima.
 
KWA UPUMBAVU WAKO MANJI YUKO SAWA KUMILIKI NGUO ZA JESHI NDANI YA NCHI HII NA ASIHOJIWE? VIBARAKA BADO MPO TU
Wewe bado mmoja Ndio hujui ukweli! Subiri kesi ikienda mahakamani ndio utajua kuwa kuna hila nyuma yake. Wao wanataka akae ndani japo mwaka hivi ili kumkomoa ! Wanajua kwa uhakika kesi atashinda.
 
Back
Top Bottom