Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

KWA UPUMBAVU WAKO MANJI YUKO SAWA KUMILIKI NGUO ZA JESHI NDANI YA NCHI HII NA ASIHOJIWE? VIBARAKA BADO MPO TU
Nani asiyejua sare za jeshi manji alipewa tender ya kuzisambaza jeshini?zile sare ni kuwa kuna wakati jeshi linahitaji la haraka kwa hiyo inakuwa rahisi kupeleke jeshini badala ya kusubiri mpaka ziagizwe
 
KWAKUWA WEWE UNAFANYAKAZI KWA MANJI UNADHANI WOTE NI WATUMISHI WAKE MPAKA TUFAHAMU HAYO?? TANZANIA INA WATU MILIONI 50 WOTE TUJUE HABARI ZA BASHARA YA MANJI KWA UFAHAMU WAKO HILO LINAWEZEKANA KWEL?? KWANGU MIMI MANJI N MHALIFU KAMA WAHALIFU WENGINE KAMA KAONEWA MAHAKAMA ITAMUOKOA TU BABA YAKO USIHOFU.
 
Back
Top Bottom