Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

Usiwe na wasiwasi, CHADEMA wapo, watamtetea Manji na IPTL kama kawaida na kila kitu kitakuwa sawa. Hata wakita hifadhi ya koti la 'kisiasa' kama walivyofanya kwa mzee watu watampa. CHADEMA, Mungu anawaona.
Sasa wewe na mleta uzi tofauti yenu ni nini? Litendee haki hilo jina lako!!
 
Jamani, mwenzenu nihurumieni. Swali langu ni kuwa; Je, Manji alikuwa anapewaga tenda ya kushona hizo nguo za hilo jeshi au ndio alitaka kuanzisha jeshi lake?? Kwa sababu, haiwezekani mtu aibuke tu huko ajitangazie uwezo wa kushona maguo ya jeshi (kama letu vile). Iniforms 5000. Wacha weee. Baada ya kushona, alikuwa azipeleke Kibiti au Amboni?? Nilitanguliza samahani lakini, msije nitukana au kunipa majina.
Mpaka mihuri!!! Jamani, kuna kitu hakiko sawa hapa. Halaf uyaweke mambo hatari namna hiyo hapo hapo darisalama!!!! Nadhani Manji ugonjwa aliolazwa nao kaupata siku nyingi. Haiwezekani kuwa kaanzwa jana. Hakika ni mgonjwa huyo tumwombee.
Hili linafanya maajabu kuwa mawili. Baada ya vichwa vya mabehewa "hewa" kutopata "coverage" ya nguvu. Episodes in making!
 
Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
Untitled-1.jpg
 
Jiongeze wewe. Acha kukurupuka ovyoo. Manji ni supplier wa mavazi ya JWTZ kwa mkataba halali. Kumkamata supplier akiwa na materials anayopaswa kusupply ni upumbavu.
MPUMBAVU N WEWE UNAYE TUHUMU SERKAL KWA AJL YA UPUMBAVU WAKO NA MANJ
 
KWA UPUMBAVU WAKO MANJI YUKO SAWA KUMILIKI NGUO ZA JESHI NDANI YA NCHI HII NA ASIHOJIWE? VIBARAKA BADO MPO TU
Wewe ndiyo mpumbavu kwani hujui kuwa sasa ni mwendo wa visasi na nyinyi ndiyo mnatumwa kuwabambikia watu kesi nija zako za matusi hazitawaziba watu midomo na kaa ujue matusi yako ni ya kawaida hata wewe wakitaka watakutukana tu
 
Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
Tuache kuandika tusichokijua. Wanaonufaika na IPTL ni wachache sana. Wameiba vyakutosha.
 
MPUMBAVU N WEWE UNAYE TUHUMU SERKAL KWA AJL YA UPUMBAVU WAKO NA MANJ
Ujue wewe style yako ya kutumia matusi ni ya kushamba sana hata kama ni house boy wa Bashite hupaswi kuwa hivyo Kumbuka matusi ndiyo njia ya wajinga kujibu hoja ukiona watu hawakutukani ujue wamekudharau sana.
 
Jiongeze wewe. Acha kukurupuka ovyoo. Manji ni supplier wa mavazi ya JWTZ kwa mkataba halali. Kumkamata supplier akiwa na materials anayopaswa kusupply ni upumbavu.

Weka huo mkataba tuone ulianza lini na kuisha lini.
 
Watu uelewa ni mdogo wanalazimisha kujadili vitu vikubwa ambavyo hawana uelewa navyo hata kidogo!!
OK fine..manji ni supplier wa mihuli na sare lkn anaruhusiwa kumiliki ziada? Maana kama ni kusupply anapata tenda ya idadi inayotakiwa na kupeleka panapohusika kwa wakati, inakuwaje sasa ana mihuli halafu na Sare za ziada kila wakati halafu MTU unaleta ushabiki hapa? Huoni hilo ni tatizo yaani mtu anakuwa na mihuli ya ofisi nyeti mpaka za pm eti supplier?
Wabongo hatuko serious kufikiri
 
Nchi bado inawajinga wengi sana wapo upande flan kama tafiti zinavyosema........
 
Watu uelewa ni mdogo wanalazimisha kujadili vitu vikubwa ambavyo hawana uelewa navyo hata kidogo!!
OK fine..manji ni supplier wa mihuli na sare lkn anaruhusiwa kumiliki ziada? Maana kama ni kusupply anapata tenda ya idadi inayotakiwa na kupeleka panapohusika kwa wakati, inakuwaje sasa ana mihuli halafu na Sare za ziada kila wakati halafu MTU unaleta ushabiki hapa? Huoni hilo ni tatizo yaani mtu anakuwa na mihuli ya ofisi nyeti mpaka za pm eti supplier?
Wabongo hatuko serious kufikiri
Mihuri walienda nayo mifukoni wamembakia kesi ujue magufuli ana visasi na Manji anafanya kila njia amkomoe, kama tatizo ni uvunjaji sheria mbona Lugumi hajakamatwa? Mmiliki wa vyeti feki Daud Bashite yupo free, aliyenunua kivuko feki mbona hashitakiwi?
 
Rais alikwisha sema sitaki kuona unifo za askari wetu zinatengezwa na raia na akatoa onyo kuwa ukikutwa nazo utawajibika. Na hili akilizungumza alipotembelea Makao makuu ya Jeshi la magereza karibu miezi mitatu imepita. Sasa toka tangazo hilo la rais kuzuia watu binafsi kujishughulisha na biashara ya kuuza uniform za majeshi mpaka sasa, kwa nini Manji hakusalimisha mzigo huo? Kama siyo dharau kwa amri jeshi wetu ni nini!? Lazima aipate anayostahili bila kujali yeye ana cheo gani katika chama ama jamii
Jamani nani kibaraka kati aliyemchagua manji kwa miaka mingi kuwa supplier wa nguo za jeshi!? Hivi nikiwa supplier wa beer nikikutwa na masanduku ni dhambi? Visasi vinaleta laana kwa nchi yote jamani! khaa
 
Jamani, mwenzenu nihurumieni. Swali langu ni kuwa; Je, Manji alikuwa anapewaga tenda ya kushona hizo nguo za hilo jeshi au ndio alitaka kuanzisha jeshi lake?? Kwa sababu, haiwezekani mtu aibuke tu huko ajitangazie uwezo wa kushona maguo ya jeshi (kama letu vile). Iniforms 5000. Wacha weee. Baada ya kushona, alikuwa azipeleke Kibiti au Amboni?? Nilitanguliza samahani lakini, msije nitukana au kunipa majina.
Mpaka mihuri!!! Jamani, kuna kitu hakiko sawa hapa. Halaf uyaweke mambo hatari namna hiyo hapo hapo darisalama!!!! Nadhani Manji ugonjwa aliolazwa nao kaupata siku nyingi. Haiwezekani kuwa kaanzwa jana. Hakika ni mgonjwa huyo tumwombee.

hivi una akili timamu kweli wewe?
 
Back
Top Bottom