Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

Mpumbavu ni wewe, unadhani hii laana ya kuwaonea watu itawaacha salama?
Tangu lini manji amekuwa haini?
shwaini Sana wewe mwana Mbuzi.



ni nani alikuwa anachukua tenda ya kuliuzia jeshi la polisi sare zake???
 
Jamani nani kibaraka kati aliyemchagua manji kwa miaka mingi kuwa supplier wa nguo za jeshi!? Hivi nikiwa supplier wa beer nikikutwa na masanduku ni dhambi? Visasi vinaleta laana kwa nchi yote jamani! khaa
Manji afungwe tu maana hakuna namna nyingine fukuza magabacholi wote wanahujumu uchumi wetu pumbaf sana
 
Jiongeze wewe. Acha kukurupuka ovyoo. Manji ni supplier wa mavazi ya JWTZ kwa mkataba halali. Kumkamata supplier akiwa na materials anayopaswa kusupply ni upumbavu.
Kwa nini jeshi haliwezi kujishonea nguo hadi manjiriri apewe tenda?
 
Jamani tuache ujinga iptl ni waharifu tusitetee upumbavu hao ndo wakutekwa na kupotezwa siyo vikina Roma visanii
Hapo nampinga magufuli kwa kuchelewa kuitaifisha iptl hadi sasa
 
Hivi wewe kutaifisha IPTL unaona si halali,kwanza serikali ilichelewa hawa watu hujui walivyopiga vibaya sana,kama hujui kitu kuhusu IPTL afadhali unyamaze.
 
Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
Sijui umeandika kitu gani ww
 
Jamani tuache ujinga iptl ni waharifu tusitetee upumbavu hao ndo wakutekwa na kupotezwa siyo vikina Roma visanii
Hapo nampinga magufuli kwa kuchelewa kuitaifisha iptl hadi sasa
Hatukatai kuwa sio wahalifu lakini si wanafanya hayo kwa mikataba halali? Wahalifu haswa ni walio saini na kuipitisha mikataba hiyo anzeni kuwashughulikia hao, mkiweza hapo watanzania tutawaelewa sio kutuletea maigizo ya kimakinikia na visasi visivyo na tija kwa taifa.
 
Mkuu hujui
Na hujishughulishi kujua kwanini anazo kwa kifupi Yule ni mzabuni WA hizo uniform ni mihuri kwa miaka sasa kipitia quality group ilitakiw kampuni ishtakiwe ila jiulize why him
Hii ni NChi inahitaji heshima kama nchi sio kila gabachori ama mwenye hela aonyeshe kiburi na dharau kwa hii nchi,kama hana respect akatafute sehemu nyingine kuna nchi kibao tu waende, Watanyooka tu mufa bado tunao wa kutosha na nchi itakuwa ya mfano wa kuigwa kuanzia kaya ya chini mpk uongozi wa juu.
 
Jamani nani kibaraka kati aliyemchagua manji kwa miaka mingi kuwa supplier wa nguo za jeshi!? Hivi nikiwa supplier wa beer nikikutwa na masanduku ni dhambi? Visasi vinaleta laana kwa nchi yote jamani! khaa
Baba Jesca hataki matajiri anataka masikini sababu ana roho ya kimasikini.
 
Acha mahakama ifanye kazi acha mihemko saivi naona mahakama inalipwa mishahara ya halali pia serikali inaheshimika tofauti na awali mtu akikamatwa na police alikua anacheeka.
 
Hapana na ndo maana nikasema nihurumiwe. Weye mwenye akili timamu si unijibu tu hayo maswali nilouliza?? Usinijibu swali kwa swali tafadhali.
basi kama unakiri kua wewe huna akili timamu maana yake wewe utakua punguani ambavyo bora hata ungekua mjinga ungeelimishwa ila kwa vile wewe ni punguani hakuna namna ya kukusaidia pole sana mkuu
 
Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
Kuna mengi yanaongelewa hapo kuhusu manji, jana kuna kijiwe flani nimepita nikaskia kwamba wakati top alipokuwa waziri kwenye awamu ya nne kuna misunderstand flani zilitokea kwenye mambo yao baina ya waziri wakati huo na manji, lakini manji alihitimisha kwa kujibu dharau kwamba siongei na mmbwa naongea na mwenye mmbwa akimaanisha anaongea na top wa wakati huo
Baada ya kiapo jibu alilopewa ni kwamba kale ka mmbwa kameshakuwa
Wakadai hicho ndio chanzo cha mbilingembilinge linalotokea leo lakini
Hakuna mwenye uhakika tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom