Rais alikwisha sema sitaki kuona unifo za askari wetu zinatengezwa na raia na akatoa onyo kuwa ukikutwa nazo utawajibika. Na hili akilizungumza alipotembelea Makao makuu ya Jeshi la magereza karibu miezi mitatu imepita. Sasa toka tangazo hilo la rais kuzuia watu binafsi kujishughulisha na biashara ya kuuza uniform za majeshi mpaka sasa, kwa nini Manji hakusalimisha mzigo huo? Kama siyo dharau kwa amri jeshi wetu ni nini!? Lazima aipate anayostahili bila kujali yeye ana cheo gani katika chama ama jamii