Mbinu kuu ya TeamLowassa hii hapa

Mbinu kuu ya TeamLowassa hii hapa

Cha muhimu wafanye kazi tu, wakileta utimu kazini wanageuka majipu wanatumbuliwa bila ganzi
 
Lizaboni usibishe. Mimi kuna mmoja kabisa kateuliwa kuwa DC na ni timu lowasa na siku moja ktk maongezi alimtusi sana JPM kwa kumuita sera zake za hovyo na pia ni dikiteta na hajui kuongoza. Ila alipoteuliwa sikutaka hata kumkumbusha ila ni mwenye wasiwasi akidhani nitamripoti. Hivyo with time anaweza kubadilika maana tukumbuke hata JPM alipoteuliwa na JK uwaziri hakuwa timu yake lakini ona alivyobadilika na kuwa nguzo muhimu ya serial ya JK. Want CCM tukiri tu kuwa virusi vya team lowasa haviepukiki viko vingi mno, ila with time lowasa vitamkimbia.

Tulipokuwa tumefikia uwezekano huo unaweza kuwepo, lakini watajulikana kwa matendo yao na bahati nzuri JPM ni mfuatiliaji
 
Kweli ilikuwa safari ya matumaini maana watu bado wana matumaini na wanajuwa kupeana imani hewa, pia leo nimeamini yale maneno ya Raisi mstaafu wa awamu ya tatu aliyoyatowa siku ya ufunguzi wa kampeni za mgombea uraisi wa CCM pale jangwani mwaka jana.
 
Lowassa ni mwanasiasa mbobezi. Ni mwanasiasa aliyelelewa,kuiva na kujiimarisha ndani ya CCM. Ni kati ya wanasiasa ambao wamefanikiwa kuunda mfumo kupitia wafuasi na wanaowaunga mkono. Kama Mwenyekiti Mstaafu Kikwete alivyokiri,Lowassa si wa kubezwa.

Ingawa Lowassa anahusishwa na wizi na ufisadi,wapo wanaoamini ni msafi,mwema,imara na mwenye uwezo wa kuongoza. Wanamuunga mkono wapo vyama vyote. Ndiyo mfumo wenyewe alioujenga. Binafsi,nambeza kwa tahadhari kubwa. Simtenganishi na ufisadi hasa wa Richmond. Lakini,ana nguvu ya kimfumo.

TeamLowassa sasa ina mbinu ya ukimya. Kimyakimya. Hawajitaji kimahitaji na kuvuliwa taji. Wako kimya. TeamLowassa wamejipenyeza kwenye teuzi mbalimbali serikalini kimyakimya.

Kwa ilivyotapakaa TeamLowassa, isingewezekana teuzi ziwaruke wote viunzi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
1469461885645.jpg
 
Kwa watu wanaokusikiliza wewe wana tatizo kichwani.
 
We sema lowassa kapenyeza watu cdm yote ndio maana Mbowe hafurukuti lkn si serikali ya Magufuli
 
Back
Top Bottom