Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,635
TeamLowasa Ni Mtandao Mkali Sana!Naamini Katika Kila Watu Wa 3,Wawili ni Wa Lowasa!
Upande wa BOX uliwasilishwa na nani kwenye kuhesabu kura za Magufuli?Team Lowasa walipiga kura ya NDIYO ana HAPANA kumchagua mwenyekiti wa CCM?
Mkuu CCM hii ya akina Lizaboni ni WAHUNI tuMheshimiwa Mwenyekiti hataki makundi ndani ya Chama Chake.....Yeye hayuko upande wowote...Chama chote ni chake hataki kuwa na kundi.
Wataalamu wa Political Science na Critical Thinking waje watusaidie hapa:
1. Je rais kuchaguliwa kwa 100% ya kura zote za wajumbe ni ushindi kweli au kuna walakini?
2. Kwa uzoefu wa siasa za vyama duniani, je ni rahisi kwa chama kuepuka makundi kwa 100%?
Wewe ndiwe Petro. Na juu ya Mamba huu nitalijenga kanisa langu
Ingekuwa ni hivyo bungeni UKAWA mngetoa Spika na naibu spika.Endelea kuota utakuwa umelogwaTeamLowasa Ni Mtandao Mkali Sana!Naamini Katika Kila Watu Wa 3,Wawili ni Wa Lowasa!
Hata Kassim majaliwa aliimbaMNHHHH...YANI UMEFIKIRIA KAMA MIMI NILIVYOKUWA NAFIKIRIAGA....
"YANI KWELI WATEULE WOTE WALE KUANZIA MAWAZIRI MPAKA WAKURUGENZI WA SERIKALI ZA MITAA HAKUNA WANAOMPENDA NA KUMUAMINIA MZEE LOWASSA?..YANI KWELIII?"
MAANA HATA WALE WALIOIMBA "TUNAIMANIIIII NA LOWASAAAA"....BADO WAPO CHAMANI, PIA WALE WALIOREJEA CHAMANI JUZI KWA MBWEMBWE ZOTE KWELI MAPENZI YA DHATI KWA MZEE WETU LUWASSA YAMEISHA?...YAMEMALIZWA NA NINI?...TOKEA LINI?...NAJIULIZAGAAAAAAAA MPAKA NALALA USIKU WA MANANE LAKINI BADO SIPATI JIBU....
ILA INAWEZEKANA WATU WA LOWASSA NA MEMBE WOOOTE WAMETAKASWA NA DAMU YA "MWANAKONDOO KIASI KWAMBA SASA NI WASAFI NA HAWANA MAWAAA".....KURA ZOTE ZA MKUTANO MKUU ZILIKUWA NDIOOOOOO...DAHH.. HII NI HATAREEE MAANA WATAALAMU WANASEMA HATA MBINGUNI KURA ZIKIPIGWA ZA SIRI BADO SIR GOD ANAWEZA ASIPATE 100% COZ KUNA KINA LUSIFER AU HATA WAJUKUU WA LUSIFER WATAPIGA KURA ZA HAPANA HATA MOJA AU MBILI....ILA KWETU ZOOOTE HAKUNA HATA MOJA YA HAPANA.
PIA NAJIULIZAGA "IKATOKEA MWENYEKITI AKAAMUA KUSAFISHA CHAMA...MBONA ATABAKI MWENYEWE",,,MAANA YEYE TUU NDIO HAKUWA NA TEAM....YANI USAFISHE TEAM LOWASSA SIJUI UTABAKIA VIPI NA TEAM MEMBE MAANA HATA YEYE HAJAPEWA SHAVU LOLOTE WALA WASHIKAJI ZAKE....NAKUMBUKAGA KALE KA-MSEM KWA WAZUNGU "IN A BATTLE FIELD THERE IS NO NEUTRAL GROUNDS...YOU EITHER CHOOSE A SIDE OR YOU ARE A TRAITOR ON BOTH SIDES"
PATAMU HAPO.....MWENYEKETI AANZE NA HILO....ACHAGUE UPANDE KISHA APUTE MCHANGA THEN AKINUKISHE OR ELSE..AWE ADUI WA WOTE AJIPANGE KUPAMBANA NAO WOTE KWA MPIGO.
NI MAONI NA MTAZAMO TUU.....
Je rais kuchaguliwa kwa 100% ya kura zote za wajumbe ni ushindi kweli au kuna walakini?
LABDA IKULU YA MCHANGANI AU YA PORINI NDO NYEUPE MTASUBIRI SANAAAAAAAAAANasikia siku hizi hawana haja na mikutani ya hadhara wapo kimtandao zaidi siku Dr akishtuka tayari CHADEMA watakuwa na wanachama milion 15 ukilinganisha na milion 8 wa kununuliwa kadi Ikulu mwaka 2020 nyeupeeee.
UNA UHAKIKA?ACHA KUROPOKAROPOKAkama ccm ilipigisha marehemu kura na walio safarini, itashindwaje kuweka kura zote za ndiyo Dodoma ili kmfurahisha mkubwa. shida ni kuwa mkubwa mwenyewe anapenda sana sifa, so wakaamua kumpa sifa. muda ndo utaamua
aiseee huyu mzee lowassa hata ufanyenin mtandao wake mkubwa sana tutalajie mengi kutoka kwake anaijua ccm vizuri....
Walikuwepo Nchimbi na Sophia SimbaUpande wa BOX uliwasilishwa na nani kwenye kuhesabu kura za Magufuli?
Lizaboni usibishe. Mimi kuna mmoja kabisa kateuliwa kuwa DC na ni timu lowasa na siku moja ktk maongezi alimtusi sana JPM kwa kumuita sera zake za hovyo na pia ni dikiteta na hajui kuongoza. Ila alipoteuliwa sikutaka hata kumkumbusha ila ni mwenye wasiwasi akidhani nitamripoti. Hivyo with time anaweza kubadilika maana tukumbuke hata JPM alipoteuliwa na JK uwaziri hakuwa timu yake lakini ona alivyobadilika na kuwa nguzo muhimu ya serial ya JK. Want CCM tukiri tu kuwa virusi vya team lowasa haviepukiki viko vingi mno, ila with time lowasa vitamkimbia.
Walikuwepo Nchimbi na Sophia Simba
Team Lowasa walipiga kura ya NDIYO ana HAPANA kumchagua mwenyekiti wa CCM?