Mbinu kuu ya TeamLowassa hii hapa

Mbinu kuu ya TeamLowassa hii hapa

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Lowassa ni mwanasiasa mbobezi. Ni mwanasiasa aliyelelewa,kuiva na kujiimarisha ndani ya CCM. Ni kati ya wanasiasa ambao wamefanikiwa kuunda mfumo kupitia wafuasi na wanaowaunga mkono. Kama Mwenyekiti Mstaafu Kikwete alivyokiri,Lowassa si wa kubezwa.

Ingawa Lowassa anahusishwa na wizi na ufisadi,wapo wanaoamini ni msafi,mwema,imara na mwenye uwezo wa kuongoza. Wanamuunga mkono wapo vyama vyote. Ndiyo mfumo wenyewe alioujenga. Binafsi,nambeza kwa tahadhari kubwa. Simtenganishi na ufisadi hasa wa Richmond. Lakini,ana nguvu ya kimfumo.

TeamLowassa sasa ina mbinu ya ukimya. Kimyakimya. Hawajitaji kimahitaji na kuvuliwa taji. Wako kimya. TeamLowassa wamejipenyeza kwenye teuzi mbalimbali serikalini kimyakimya.

Kwa ilivyotapakaa TeamLowassa, isingewezekana teuzi ziwaruke wote viunzi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Team Lowasa walipiga kura ya NDIYO ana HAPANA kumchagua mwenyekiti wa CCM?
 
Nasikia siku hizi hawana haja na mikutani ya hadhara wapo kimtandao zaidi siku Dr akishtuka tayari CHADEMA watakuwa na wanachama milion 15 ukilinganisha na milion 8 wa kununuliwa kadi Ikulu mwaka 2020 nyeupeeee.
 
Mkuu wewe ni kibaraka wa ufipa kama wamejipenyeza sasa walishindwa vipi kujipenyeza uchaguzi ulioisha??
Na kumpa ushindi??
 
Lowassa ni mwanasiasa mbobezi. Ni mwanasiasa aliyelelewa,kuiva na kujiimarisha ndani ya CCM. Ni kati ya wanasiasa ambao wamefanikiwa kuunda mfumo kupitia wafuasi na wanaowaunga mkono. Kama Mwenyekiti Mstaafu Kikwete alivyokiri,Lowassa si wa kubezwa.

Ingawa Lowassa anahusishwa na wizi na ufisadi,wapo wanaoamini ni msafi,mwema,imara na mwenye uwezo wa kuongoza. Wanamuunga mkono wapo vyama vyote. Ndiyo mfumo wenyewe alioujenga. Binafsi,nambeza kwa tahadhari kubwa. Simtenganishi na ufisadi hasa wa Richmond. Lakini,ana nguvu ya kimfumo.

TeamLowassa sasa ina mbinu ya ukimya. Kimyakimya. Hawajitaji kimahitaji na kuvuliwa taji. Wako kimya. TeamLowassa wamejipenyeza kwenye teuzi mbalimbali serikalini kimyakimya.

Kwa ilivyotapakaa TeamLowassa, isingewezekana teuzi ziwaruke wote viunzi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Sasa hivi ndo wataweza??
 
Mnhhhh...Yani umefikiria kama mimi nilivyokuwa nafikiriaga....

"Yani kweli wateule wote wale kuanzia mawaziri mpaka wakurugenzi wa serikali za mitaa hakuna wanaompenda na kumuaminia mzee lowassa?..Yani kweliii?"

Maana hata wale walioimba "Tunaimaniiiii na lowasaaaa"....Bado wapo chamani, pia wale waliorejea chamani juzi kwa mbwembwe zote kweli mapenzi ya dhati kwa mzee wetu luwassa yameisha?...Yamemalizwa na nini?...Tokea lini?...Najiulizagaaaaaaaa mpaka nalala usiku wa manane lakini bado sipati jibu....

Ila inawezekana watu wa lowassa na membe wooote wametakaswa na damu ya "Mwanakondoo kiasi kwamba sasa ni wasafi na hawana mawaaa".....Kura zote za mkutano mkuu zilikuwa ndioooooo...Dahh.. Hii ni hatareee maana wataalamu wanasema hata mbinguni kura zikipigwa za siri bado sir god anaweza asipate 100% coz kuna kina lusifer au hata wajukuu wa lusifer watapiga kura za hapana hata moja au mbili....Ila kwetu zooote hakuna hata moja ya hapana.

Pia najiulizaga "Ikatokea mwenyekiti akaamua kusafisha chama...Mbona atabaki mwenyewe",,,maana yeye tuu ndio hakuwa na team....Yani usafishe team lowassa sijui utabakia vipi na team membe maana hata yeye hajapewa shavu lolote wala washikaji zake....Nakumbukaga kale ka-msem kwa wazungu "In a battle field there is no neutral grounds...You either choose a side or you are a traitor on both sides"
Patamu hapo.....Mwenyeketi aanze na hilo....Achague upande kisha apute mchanga then akinukishe or else..Awe adui wa wote ajipange kupambana nao wote kwa mpigo.

Ni maoni na mtazamo tuu.....
 
Mkuu mtazamo mzuri....
 
Kaka nisamehe mie "Msukuma naandika kama tnavyoongeaga kwa herufi kubwa"....

Mungu akinijaalia lafudhi yangu ikibadilika na mie nitabadilika.....Ungekuwapo karibu nami navyotypekwenye keyboard utadhani naigonga kwa nyundo....Full nguvu na shibe...Hapakazi na kasi tuu.
Duh!!!!!!! We kweli 'ngosha' !!!!!
 
Team Lowasa walipiga kura ya NDIYO ana HAPANA kumchagua mwenyekiti wa CCM?
Lizaboni usibishe. Mimi kuna mmoja kabisa kateuliwa kuwa DC na ni timu lowasa na siku moja ktk maongezi alimtusi sana JPM kwa kumuita sera zake za hovyo na pia ni dikiteta na hajui kuongoza. Ila alipoteuliwa sikutaka hata kumkumbusha ila ni mwenye wasiwasi akidhani nitamripoti. Hivyo with time anaweza kubadilika maana tukumbuke hata JPM alipoteuliwa na JK uwaziri hakuwa timu yake lakini ona alivyobadilika na kuwa nguzo muhimu ya serial ya JK. Want CCM tukiri tu kuwa virusi vya team lowasa haviepukiki viko vingi mno, ila with time lowasa vitamkimbia.
 
Lowassa ni mwanasiasa mbobezi. Ni mwanasiasa aliyelelewa,kuiva na kujiimarisha ndani ya CCM. Ni kati ya wanasiasa ambao wamefanikiwa kuunda mfumo kupitia wafuasi na wanaowaunga mkono. Kama Mwenyekiti Mstaafu Kikwete alivyokiri,Lowassa si wa kubezwa.

Ingawa Lowassa anahusishwa na wizi na ufisadi,wapo wanaoamini ni msafi,mwema,imara na mwenye uwezo wa kuongoza. Wanamuunga mkono wapo vyama vyote. Ndiyo mfumo wenyewe alioujenga. Binafsi,nambeza kwa tahadhari kubwa. Simtenganishi na ufisadi hasa wa Richmond. Lakini,ana nguvu ya kimfumo.

TeamLowassa sasa ina mbinu ya ukimya. Kimyakimya. Hawajitaji kimahitaji na kuvuliwa taji. Wako kimya. TeamLowassa wamejipenyeza kwenye teuzi mbalimbali serikalini kimyakimya.

Kwa ilivyotapakaa TeamLowassa, isingewezekana teuzi ziwaruke wote viunzi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
wewe gamba upo sahihi kabisa na uajitambua kweli. Edo kwa kweli anawabomoa CCM bila wengi wenu kutambua.

katika DEDs walioteuliwa hivi majuzi, ninao classmates wangu 15 (and counting) ambao nawajua ni TeamLowassa kindakindaki!
 
PATAMU HAPO.....MWENYEKETI AANZE NA HILO....ACHAGUE UPANDE KISHA APUTE MCHANGA THEN AKINUKISHE OR ELSE..AWE ADUI WA WOTE AJIPANGE KUPAMBANA NAO WOTE KWA MPIGO.
Sikio haliwezi kuzidi kichwa.
 
Team Lowasa walipiga kura ya NDIYO ana HAPANA kumchagua mwenyekiti wa CCM?
Wasingeweza Kupiga KURA ya Hapana wakati mwenyekiti mtarajiwa alikwishapiga Mkwara wa wasaliti ndani ya CCM. Unafikiri ingepigwa KURA ya hapana wasingetafutwa ni akina nani wamepiga KURA ya hapana. Anyway tuwaachie wenyewe CCM lakini Una uhakika gani kama kulikuwa hakuna KURA ya Hapana? Kama mliweza Kubeba madiwani wa CCM Zanzibar waje wapige KURA Dsm uchaguzi wa meya mbele ya viongozi wa UKAWA mtashindwa kutengeneza kura feki za NDIO ndani ya uchaguzi wenu? Nchimbi alipokuwa Mbunge wa Songea Mjini aliwai kubadilisha KURA za HAPANA kuwa za Ndio kwenye uchaguzi wa MEYA Songea Mjini mtashindwa DOdoma?
 
MNHHHH...YANI UMEFIKIRIA KAMA MIMI NILIVYOKUWA NAFIKIRIAGA....

"YANI KWELI WATEULE WOTE WALE KUANZIA MAWAZIRI MPAKA WAKURUGENZI WA SERIKALI ZA MITAA HAKUNA WANAOMPENDA NA KUMUAMINIA MZEE LOWASSA?..YANI KWELIII?"

MAANA HATA WALE WALIOIMBA "TUNAIMANIIIII NA LOWASAAAA"....BADO WAPO CHAMANI, PIA WALE WALIOREJEA CHAMANI JUZI KWA MBWEMBWE ZOTE KWELI MAPENZI YA DHATI KWA MZEE WETU LUWASSA YAMEISHA?...YAMEMALIZWA NA NINI?...TOKEA LINI?...NAJIULIZAGAAAAAAAA MPAKA NALALA USIKU WA MANANE LAKINI BADO SIPATI JIBU....

ILA INAWEZEKANA WATU WA LOWASSA NA MEMBE WOOOTE WAMETAKASWA NA DAMU YA "MWANAKONDOO KIASI KWAMBA SASA NI WASAFI NA HAWANA MAWAAA".....KURA ZOTE ZA MKUTANO MKUU ZILIKUWA NDIOOOOOO...DAHH.. HII NI HATAREEE MAANA WATAALAMU WANASEMA HATA MBINGUNI KURA ZIKIPIGWA ZA SIRI BADO SIR GOD ANAWEZA ASIPATE 100% COZ KUNA KINA LUSIFER AU HATA WAJUKUU WA LUSIFER WATAPIGA KURA ZA HAPANA HATA MOJA AU MBILI....ILA KWETU ZOOOTE HAKUNA HATA MOJA YA HAPANA.

PIA NAJIULIZAGA "IKATOKEA MWENYEKITI AKAAMUA KUSAFISHA CHAMA...MBONA ATABAKI MWENYEWE",,,MAANA YEYE TUU NDIO HAKUWA NA TEAM....YANI USAFISHE TEAM LOWASSA SIJUI UTABAKIA VIPI NA TEAM MEMBE MAANA HATA YEYE HAJAPEWA SHAVU LOLOTE WALA WASHIKAJI ZAKE....NAKUMBUKAGA KALE KA-MSEM KWA WAZUNGU "IN A BATTLE FIELD THERE IS NO NEUTRAL GROUNDS...YOU EITHER CHOOSE A SIDE OR YOU ARE A TRAITOR ON BOTH SIDES"
PATAMU HAPO.....MWENYEKETI AANZE NA HILO....ACHAGUE UPANDE KISHA APUTE MCHANGA THEN AKINUKISHE OR ELSE..AWE ADUI WA WOTE AJIPANGE KUPAMBANA NAO WOTE KWA MPIGO.

NI MAONI NA MTAZAMO TUU.....
Mheshimiwa Mwenyekiti hataki makundi ndani ya Chama Chake.....Yeye hayuko upande wowote...Chama chote ni chake hataki kuwa na kundi.

Wataalamu wa Political Science na Critical Thinking waje watusaidie hapa:

1. Je rais kuchaguliwa kwa 100% ya kura zote za wajumbe ni ushindi kweli au kuna walakini?
2. Kwa uzoefu wa siasa za vyama duniani, je ni rahisi kwa chama kuepuka makundi kwa 100%?
 
Back
Top Bottom