Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,447
Habari zenu wapendwa?
Nilikuwa najiuliza maswali haya wakati wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
1.Vigezo gani wanaangalia?
2.Umri gani unatakiwa?
3.Je Kama mtu hasikii vizuri watamkubalia?
4.Je Kama mguu wake hauna uvungu watakubali?
5.Awe na elimu ipi?
Asanteni...
Kwa JWTZHabari zenu wapendwa?
Nilikuwa najiuliza maswali haya wakati wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
1.Vigezo gani wanaangalia?
2.Umri gani unatakiwa?
3.Je Kama mtu hasikii vizuri watamkubalia?
4.Je Kama mguu wake hauna uvungu watakubali?
5.Awe na elimu ipi?
Asanteni...
Aulize lingine kama bado hajaelewak
Kwa JWTZ
- Awe raia wa Tanzania
- Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
- Awe hajaoa/hajaolewa
- Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
- Awe na tabia na mwenendo mzuri
- Awe na akili timamu na afya nzuri
Masharti ya Utumishi
- Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
- Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.
Maafisa
- Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Officers Selection Board)
huwafanyia usaili askari wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na Shule za askari wapya (Recruitment Schools).- Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya uafisa kwa muda wa mwaka mmoja.
Kwa mafunzo ya awali haitajiki kuwa mtu unaye tegemewa. Lengo huwe huru kutumika muda wote utao hitajika.kwanini hawaruhusiwi kuoa au kuolewa
MKuu hizi Ajira mkuu wa nchi alizoahidi kuzitoa zinahusu watu gani waliopitia JKT kujitolea au mujibu au wakujitolea tuk
Kwa JWTZ
- Awe raia wa Tanzania
- Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
- Awe hajaoa/hajaolewa
- Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
- Awe na tabia na mwenendo mzuri
- Awe na akili timamu na afya nzuri
Masharti ya Utumishi
- Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
- Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.
Maafisa
- Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Officers Selection Board)
huwafanyia usaili askari wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na Shule za askari wapya (Recruitment Schools).- Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya uafisa kwa muda wa mwaka mmoja.
Hapo ndo kazi ipo......MKuu hizi Ajira mkuu wa nchi alizoahidi kuzitoa zinahusu watu gani waliopitia JKT kujitolea au mujibu au wakujitolea tu
Samahani, natoka nje ya mada:k
Kwa JWTZ
- Awe raia wa Tanzania
- Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
- Awe hajaoa/hajaolewa
- Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
- Awe na tabia na mwenendo mzuri
- Awe na akili timamu na afya nzuri
Masharti ya Utumishi
- Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
- Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.
Maafisa
- Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Officers Selection Board)
huwafanyia usaili askari wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na Shule za askari wapya (Recruitment Schools).- Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya uafisa kwa muda wa mwaka mmoja.
Kazi karibu zote nyeti zinazohusu usalama duniani hawapendi pia mtu aliye kwenye ndoa kwa kuwa wanaamini aliyeoa efficiency yake ni ndogo kuliko ambaye hajaoaKwa mafunzo ya awali haitajiki kuwa mtu unaye tegemewa. Lengo huwe huru kutumika muda wote utao hitajika.
Pia imani kali haitakiwi, usije kinzana na maelekezo na sheria za jeshi.
Note.
Hiii ni kazi ya kujitoa tu.
AiseeeeKazi karibu zote nyeti zinazohusu usalama duniani hawapendi pia mtu aliye kwenye ndoa kwa kuwa wanaamini aliyeoa efficiency yake ni ndogo kuliko ambaye hajaoa
kujitolea jkt unaweza kwenda ukipata nafasi, elim sio considered kivile!Je kama mtu amekomea form 1 na anamiaka 18 anaruhusiwa kujiunga jkt ?
Alafu alikuwa ni Scout je anaruhusiwa??
1.Awe raia wa Tanzania
2.Awe na Umri kati ya miaka 18-23
3.Awe amemaliza darasa la saba na kuendelea
4.Asiwe ameoa au kuolewa na asiwe na mtu yeyote anayemtegemea
5.Awe tayari kufuata sheria zote za kijeshi zitazokuwa juu yake wakati akiwa jeshini(kutoroka,wizi,ulevi,uvutaji bangi, madawa ya kulevya na upatikanaji wa mimba n.k) Jeshini ni makosa makubwa na utaweza kushtakiwa na kufutiwa mkataba na JKT
6.Awe tayari kurudi nyumbani baada ya kumaliza mkataba wake na Jeshi la Kujenga Taifa
7.Awe na tabia na mwenendo mzuri