Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Una uhuru wa kuamini unachotaka kuamini, lakini usitulazimishe tukubalina na "speculations" zako.
Hata wewe usitulazimishe kuamin kuwa kuna mbinu chafu wakati hata wewe hakuna unacho kijua zaid ya upambe
 
2015 ulisikia kituo au radio imevamiwa na mitutu?
2015 ulisikia waziri katishiwa kwa bastola,
2015 ulisikia msanii kakamatwa kwa kutoa wimbo?
2015 ulisikia mwanasiasa amekamatwa mara 7 kwa mwaka mmoja mtu huyo huyo?
2015 ulisikia kiongozi anaomba malaika washuke wafunge mitandao?
Hatukusikia hayo yote sababu JK alikuwa anawachekea chekea mpaka mkampa jina "Rais Dhaifu".

Sasa hivi amekuja COMMANDO anawaminya "MAPUMBU", mnalia lia na kusema ni "DIKTETA".
 
Tatizo lenu hamjui jinsi usalama wa taifa wanavyofanya kazi zao. Kuna mengi sana msiyoyajua ndiyo maana kazi yenu imebakia kuropoka ropoka tu.

Endeleeni kukaa gizani.
Usalama wa taifa huu unao hangaika na vitu vidogo vidogo na upinzani kila siku au unaongelea upi maana usalama taifa si wewe peke yako unae ufahamu mkuu tambua hilo kwanza.
 
Wewe reasoning yako ni extremely poor. Ni vema ukawa unasoma zaidi kuliko kuchangia.

Jukumu la kwanza kuu la serikali yoyote Duniani ni usalama wa Raia na mali zao. Kupotea kwa Roma inawezekana serikali inahusika. Hiyo ni kutokana na matukio mengi huko nyuma ikiwa ni pamoja na kupotea kwa Ulimboka (siku za nyuma), kutekwa kwa Ney, kuvamiwa kwa clouds, style ya serikali ya kukamata baadhi ya watu (badala ya kuwakamata au kuwaambia wafike vituo vya polisi imekuwa ikiwakamata kwa namna ya utekaji), n.k.

Lakini kama serikali haikuhusika, basi imeshindwa kutekeleza wajibu wake wa msingi. Haiwezekani raia wawe wanapotea na serikali ipo kimya na wala haishtuki. Hatujapata kauli ya serikali juu ya kupotea kwa Ben. Kwa hiyo vyovyote iwavyo raia wana haki ya kuilaumu serikali. Raia wanalipa kodi kwaajili ya nini? Polisi wanalipwa mishahara kwaajili ya nini? Wananchi wanamchagua Rais kwaajili ya nini? Jukumu lao la kwanza ni kuhakikisha usalama wa Raia. Mengine ni baadaye. Aliyepewa wajibu wa ulinzi hashtuki wala hahangaiki, tafsiri yake ni nini?
Una uhakika gani kama Serikali hijafanya chochote kuhusu hao watu waliopotea? Acheni kupotosha watu ninyi.
 
Wewe ndio ulivyo hayo uliyoyaandika.

Mkuu wa mkoa ulimuona anaingia au anavamia?

Acheni ushabiki ambao unatia kinyaaaaa.
Hatimaye Bashite kamwachia Roma, alikuwa kamficha kwa dada yake cocochanel. Bashite at work
Duh! Nay nayy mlimtishia maisha.
 
Kuwa ulinzi hakumanishi uhalifu hauwezi tokea. Ni kama kuwa na madaktar hakumaanish kutoweka kwa wagonjwa. thinks twice nyumb
Nyumb wewe usiyejali maisha ya watanzania wenzio. Soma between lines nani amelaumiwa zaidi tunataka majibu yenye kuridhisha nini unapanic mkuu? Kuna kitu unakifahamu juu ya yanayoendelea?
 
Huu mda wakuandka hyo hewa si ungelima hata mchicha kwenye kopo.?
Tatizo lenu ni ushabiki tu usiokuwa na tija. Chuki yako kwa Rais Magufuli haitabadilisha chochote kile.

Mchana wote nilikuwa shambani, napalilia "Mtama".
 
Hatukusikia hayo yote sababu JK alikuwa anawachekea chekea mpaka mkampa jina "Rais Dhaifu".

Sasa hivi amekuja COMMANDO anawaminya "MAPUMBU", mnalia lia na kusema ni "DIKTETA".
Nilipo usoma uzi wako pamoja na kwamba umeandika pumba nyingi nikadhani at least una akili japo kidogo lakin kwa comment hii ,hakika nimekudharau zaid ya MAVI. kweli kama na wewe ni mtetezi wa rais basi unamdhalilisha sana tena sana maana huna akili kichwani mwako hata za kwendea chooni, kama unaamin kuwa mwenendo wa serikali wa sasa ndio ukomandoo ilihali taifa uchumi unaporomoka kuliko nchi yeyote EA, mapato yanashuka kila mwezi mjinga wewe umejifungia sijui choo gani na kisimu chako ati COMMANDO dah! kweli wewe mjinga sana sana ptuuuuu!!! Aaagh! Hebu nenda shule kakuze taaluma shit!
 
Una uhakika gani kama Serikali hijafanya chochote kuhusu hao watu waliopotea? Acheni kupotosha watu ninyi.
Bashite alikuwa amemkamata kwasbb aliambiwa Roma ataachia jiwe kubwa kuhusu jambaz la vyeti.
Hatimaye kamwachia km alivyodai kabla ya j'pili Roma atakuwa amepatikana. Mchezo huu wa Bashite nani asiyeujua?
Bashite alimficha kwa dada yake cocochanel
 
Tatizo lenu ni ushabiki tu usiokuwa na tija. Chuki yako kwa Rais Magufuli haitabadilisha chochote kile.

Mchana wote nilikuwa shambani, napalilia "Mtama".
Hakuna mwenye haja ya kumbadilisha bali atabadilishwa na mwenendo wa nchi kama alivyo anzza kubadilika kuongoza nchi si sawa na kuongoza kundi la baikoko mkuu. Tena kwanchi yenye wajinga kama wewe wengi !!? Sio kazi ndogo kuiongoza hata kidogo.
 
We unaona ni sawa miili inaokotwa mtoni,serikali inakimbilia kufukia miili bila kuipeleka kufanyiwa uchunguzi?Bashite kasema akina Roma watapatikana leo,una maoni gani juu ya hilo?
Hata nchi zilizoendelea kuizidi Tanzania, kila kukicha miili ya watu inaokotwa na hakuna maelezo.
 
Tatizo lenu ni ushabiki tu usiokuwa na tija. Chuki yako kwa Rais Magufuli haitabadilisha chochote kile.

Mchana wote nilikuwa shambani, napalilia "Mtama".
Namchukia sana mwenyekiti wako sbb kafuta ajira, helsb 15%, watoto wengi wamenyimwa mikopo ya elimu ya juu, kafuta increment, karuhusu lisiwepo fao la kujitoa, na hafuati sheria za nchi.
Hivyo tu vinanifanya nimchukieee mpaka kesho kutwa. Huyu mzee wako wa Lumumba nikimuona kweny Tv huwa nabafilisha channel au nazima kbsa Tv.
Ninamchukia sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa zaid ya sana pombe
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
Tangia tingatinga ikamate usukani ni ubabe kila kona sijui uko "inji" gani ?
 
acheni ujuaji, hakuna anaye jua Roma kakamatwa na nani, lawama zinakuja kwa serikali kwa nn ina shindwa ku react kwenye hii ishu!? ila mpaka Roma au walio mteka wapatikane ndio ukweli utajulikana, Polisi na vyombo vya usalama wafanye kazi yao wamtafute
Hebu jaribuni kutumia akili hata kidogo. Polisi hufanyia kazi swala lililoripotiwa kwao. Pili utendaji wa polisi huwa haiweki mubashara kazi zake kuwa sasa tupo Sinza,tunaelekea Bunju,Mabwepande nk.Hufanya kazi kimyakimya na wanapopata taarifa ya kuhitaji ushirikianao na wananchi wanaitoa. Sasa nyinyi wapuuzi humu mitandaoni ni kutukana na kukatisha tamaa watendaji. Kwa kweli watu kama wewe ni hasara kuwa nao kwenye jamii iliyostarabika.
 
Chuki binafsi kwa Paul Makonda haitakusaidia kitu mkuu.

JK alisemaga watu kama ninyi mnasumbuliwa na wivu wa "kike".
Mkuu umenifanya nimecheka sana! Ushauri wangu kwako achana na mahaba kwa mwanamme mwenzako yaani unamahaba nae mpaka akitoa ushuzi unatamani unuse,poyoyo wewe!
Mtakuja kuolewa kwa mambo ya kijinga.
 
Hebu jaribuni kutumia akili hata kidogo. Polisi hufanyia kazi swala lililoripotiwa kwao. Pili utendaji wa polisi huwa haiweki mubashara kazi zake kuwa sasa tupo Sinza,tunaelekea Bunju,Mabwepande nk.Hufanya kazi kimyakimya na wanapopata taarifa ya kuhitaji ushirikianao na wananchi wanaitoa. Sasa nyinyi wapuuzi humu mitandaoni ni kutukana na kukatisha tamaa watendaji. Kwa kweli watu kama wewe ni hasara kuwa nao kwenye jamii iliyostarabika.
haina haja ya kuitana wapuuzi mkuu
sasa the issue ni kuwa lazima hata updates ziwepo, walikuwa kimya sana, hakuna alo sema waoneshe live kwenye tv kuwa wana mfind Roma, almost kika mamlaka ilichelewa ku tolea ufafanuzi hii ishu
 
Haya tukuulize na wewe maswali...Wewe unayemtetea Magufuli, una uhakika gani kama hakuhusika?

Na pili, 'mwanya' unaousema umepatikana nchini na watu wanautumia kufanya uhalifu, ni upi huo? Kimsingi unatueleza kuwa serikali hii imehusika na matukio kadhaa ya kutekwa na kupotea kwa raia na hivyo basi watu wengine wabaya nao wanaona watende hivyo hivyo siyo? Ndo maana tunasema nyinyi binadamu wa Chato na Kolomije are not smart...wewe mtu anatekwa, anapotea halafu unajitokeza kusema atapatikana leo na kweli akapatikana kama ulivyosema si upuuzi huo? Wewe unavamia ofisi ya watu ukiwa na askari wenye silaha bila kufahamu kuwa pale zimefungwa camera za CCTV si mburula tu wewee?
Paul Makonda hakuvamia kituo cha CLOUDS, bali alikwenda pale akiwa "kikazi" zaidi na alihitaji kikosi maalumu cha kumlinda.

Mengine siwezi kukueleza sababu ni "CLASSIFIED INFORMATION".
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
Mbinu chafu zipi? Kila serikali Duniani zina maadui kweli lakini serikali ya Tanzania inatengeneza maadui wa kujitakia, huwezi kuwakumbatia wenye vyeti feki, Udikteta, kuvamia vituo vya radio, kuwatisha wamiliki wa vyombo vya habari nk alafu uje na maneno eti kuna mbinu chafu? Njaa yako umeitumia vizuri na pesa za GSM na makonda utakula na wajinga wenzako akina Le-mutuz lakini tambua kuwa watanzania wa sasa wameamka hawawezi kusikiliza hii story yako ndefu isiyo na maana, kila mtu anajua utekaji wa Roma umefanywa na Daud Bashite hata uje na utetezi gani hakuna wa kubadili mawazo.
 
Back
Top Bottom