Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Zamani tulipokuwa shule kulikuwa na somo la URAI na syllabus ya somo hili ilihakikisha wanafunzi wanafundishwa majukumu ya serikali kwa raia wake. Jukumu moja la serikali kwa raia wake ni kuwalinda wao na mali zao!! Iwapo raia wanatekwa kutoka majumbani mwao na muda mrefu unapita bila ndugu na jamaa kujua waliko[ Ben Saanane na sasa Roma] ni nani wa kulaumiwa?

Sio siri tena kuwa hapa nchini kwetu kwa sasa usalama hakuna tena kwani uhalifu mitaami umetamalaki; watu wanatekwa na kuibiwa majumbani mwao mchana kweupe na wakienda kutoa taarifa vituo vya polisi hawapati msaada wowote na mara nyingine hawa hawa polisi wanashirikiana na hawa wahalifu!!! Jeshi la polisi halisaidii kabisa kulinda usalama wa raia na mali zao na wakati mwingine wanakuwa kero zaidi kwa walioathirika na wizi wa mali zao kwani huomba rushwa ili wafanye upelelezi wa uhalifu. Raia lazima tumlalamike Ngosha kwa sababu kuwepo kwa nani awe IGP kunatokana na utashi wake; THE BUCK STOPS WITH HIM!!!
Ni kwli kabsa una haki ya kuilalamikia serikali kwa kutotekelza majukum yao lakn c kuishutumu et ndo imemteka kama wanavysema wenzako
 
2015 ulisikia kituo au radio imevamiwa na mitutu?
2015 ulisikia waziri katishiwa kwa bastola,
2015 ulisikia msanii kakamatwa kwa kutoa wimbo?
2015 ulisikia mwanasiasa amekamatwa mara 7 kwa mwaka mmoja mtu huyo huyo?
2015 ulisikia kiongozi anaomba malaika washuke wafunge mitandao?
Mbona yoteee hayo sio utekaji. Mnajitahd kulazmisha nyumbu
 
Nay alitekwa kwa siri au alikamatwa hadharani na kila mtu aliona.

Tumia akili zako kufikiri mambo kwa kina.

Kwa taarifa yako, Roma hajakamatwa na Polisi, ametekwa na "wahuni" wenye nia chafu dhidi ya Rais.

Naona haya maneno unatafuta kifutio lakini wapi
Mara zote tunaambiwa tuwe na akiba ya maneno
 
Kwahyo kama waliomtolea bunduki NAPE.. tunaambiwa pia sio police..hata waliomteka roma pia sio police..na hata SAA NANE pia waliomteka sio police.. Sasa hilo ni GENGE GANI?ile siku Nape anatolewa bunduki police pia walikuwapo eneo la tukio. Lakini mtoa BUNDUKI HAKUKAMATWA. ...na hata roma na hao wenzie. Watekaji waliwahoji wakaondoka nao..WALIOTEKWA 5 NA WATEKAJI amabao UNKNOWN ni 4 ."kwa akili ya kawaida tu. Lazima hao jamaa walikua na USHAWISHI wa KIPOLICE ndy maana hapakutokea FUJO. Au ubishi wowote wakati wa kuwachukuwa." tunalaumu serikali sababu hilo GENGE linajulikana. Na lazima wana ID ZA SERIKALI. mtu wa kawaida hawezi toa BUNDUKI mbele ya camera na police. Pili mtu wa kawaida COMPUTER NA CDS YEYE za kazi gani kuondoka nazo. Ili iweje.. Na kwann akamatwe wakati anataka kutoa NGOMA inayomuhusu BWANA YULE. Na BASHITE? . Sababu walishafanya hayo kwa MITEGO... So MWENYE TABIA YAKE HUWA HAACHI."Vitu vyote ni ORDER toka JUU..
 
Kama Nape aliyelala porini siku kadhaa alitaka kupigwa risasi mbele ya waandishi wa habari na mkulu badala ya kukemea tukio hilo yeye kachukizwa na magazeti yaliyotoa picha za huyo mtu. Halafu unakuja kuandika utumbo mreeeefu. Tatizo nini lakini, hii miaka 60-70 ya hapa duniani ndio inayowadanganya?
Mkuu uko sawa kabisa,lakini kumbuka ndege wenye .....huruka pamoja.
mtama.roma.08/04/.hotuba/kupatikana/wasanii/2017/18/Sanaa_ _ _
Hapo ndipo tujiulize kwani ni mtama ugali wake ni mwekundu........?
 
Unajuaje kama bado sijaisaidia Polisi?

Usilolijua ni usiku wa kiza kinene!
Hahaha giza nene ambalo nipo katikati yake ilihali na tochi na macho yangu yako active mno ndugu... Katika tz ya leo huwezi kudanganya watu kwa ku'assume ilihali watu hao wamesha'draw conclusion...
 
Nay alitekwa kwa siri au alikamatwa hadharani na kila mtu aliona.

Tumia akili zako kufikiri mambo kwa kina.

Kwa taarifa yako, Roma hajakamatwa na Polisi, ametekwa na "wahuni" wenye nia chafu dhidi ya Rais.
Ikiwa mkuu wa mkoa anaweza kuvamia kituo cha utangazaji na kufanya anayotaka bila kuguswa, na mara kadhaa ametamba kua yeye ndo kila kitu,jana kasema roma atapatikana kabla ya jumapili na amepatikana.nini kilichobaki ilikuthibitisha uhusika wa silikali?.

Ikumbukwe kua kama mkuu wa inchi anatishia hata mawakili wanaotete watuhumiwa wa madawa ya kulevya kwa mujibu wa sheria.jamiii itaachaje kuhusishwa na huu utekaji?.

Ikiwa mnyama faru john anaweza kusakwa kwa usiku na mchana na hata kutumia milioni 700 kuthibitisha kifo chake,ila mtanzania anapo potea hutuoni taskforce zikiundwa kwanini jamii isi hisi mkono silikakali?,rejea maiti za ruvu.

Na kwa nini wote wanaotekwa ama kupotea wawe tu wale wanaoikosoa silikali?.nawaza kwa sauti
 
Vyombo vya ulinzi na usalama viko chini ya nani mkuu? Jukumu la ulinzi na usalama wa raia ni dhamana ya nani? Umesema kuna maadui wa serikali, kwanini msiwakamate kama mna uhakika uli raia wasiendelee kutekwa? Hatuwalipi mishahara? Hatujawanunulia silaha? Au mnapungukiwa nini hata mzidiwe na maadui mnaokiri kuwa wapo? Jaribu kuweka itikadi pembeni, fikiria ni mtoto wako katekwa au wewe mwenyewe. Kuwa na utu ndugu
Ajabu kabisa,inakuaje kue na chama/genge lenye nguvu zidi ya serikali?,akili yakawaida kabisa lazima ihoji inawezekanaje mtu mzima kama ben saanane apotee kimiujiza?,wanao hushisha upoteaji wa ben na chadema swali ni je chadema wana weredi wa kutosha kuvishinda vyombo vyetu vya ulinzi na usalama?.kwa nini police wasiwahoji chadema kama wana mashaka nao na hatimae uchunguzi wa kina ufanyike dhidi ya chadema?.
 
yaani atekwe tongwe records halafu akapatikane kituo cha polisi O'bay ?
alifikaje huko na hao watekaji wake wasikamatwe au walitekwa kiuchawi ? mzee wangu Ngonyani itabidi uzuze ukinusuru chama chako
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
Akili zako zinaenda mbele na kurudi; hiyo serikali yenye mkono mrefu ingeshawajua hao wapinzani wanaosubbotage. Acha kutuzingua
 
Kapatikana polisi sasa osterbay sasa kwa nini mnabisha kwa hiyo majambazi ndio wamempeleka polisi?
 
Roma anaweza kutekwa na yoyote iwe serikali,mtu binafsi ama kundi la kiharamia navhata chama cha siasa, na serikali inapashwa ku react immediately ili kuonyesha uwajibikaji kwa watu wake.

Sasa unataka kutuamisha kwamba serikali haiwezi ku react ikiwa roma amekamatwa na Chadema?

Huo ni upuuzi uloandika humu
 
Ajabu kabisa,inakuaje kue na chama/genge lenye nguvu zidi ya serikali?,akili yakawaida kabisa lazima ihoji inawezekanaje mtu mzima kama ben saanane apotee kimiujiza?,wanao hushisha upoteaji wa ben na chadema swali ni je chadema wana weredi wa kutosha kuvishinda vyombo vyetu vya ulinzi na usalama?.kwa nini police wasiwahoji chadema kama wana mashaka nao na hatimae uchunguzi wa kina ufanyike dhidi ya chadema?.
Tatizo lenu hamjui jinsi usalama wa taifa wanavyofanya kazi zao. Kuna mengi sana msiyoyajua ndiyo maana kazi yenu imebakia kuropoka ropoka tu.

Endeleeni kukaa gizani.
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
Haya tukuulize na wewe maswali...Wewe unayemtetea Magufuli, una uhakika gani kama hakuhusika?

Na pili, 'mwanya' unaousema umepatikana nchini na watu wanautumia kufanya uhalifu, ni upi huo? Kimsingi unatueleza kuwa serikali hii imehusika na matukio kadhaa ya kutekwa na kupotea kwa raia na hivyo basi watu wengine wabaya nao wanaona watende hivyo hivyo siyo? Ndo maana tunasema nyinyi binadamu wa Chato na Kolomije are not smart...wewe mtu anatekwa, anapotea halafu unajitokeza kusema atapatikana leo na kweli akapatikana kama ulivyosema si upuuzi huo? Wewe unavamia ofisi ya watu ukiwa na askari wenye silaha bila kufahamu kuwa pale zimefungwa camera za CCTV si mburula tu wewee?
 
Tatizo lenu hamjui jinsi usalama wa taifa wanavyofanya kazi zao. Kuna mengi sana msiyoyajua ndiyo maana kazi yenu imebakia kuropoka ropoka tu.

Endeleeni kukaa gizani.
We usie ropoka umesaidia nini yasitokee yote hayo?,kumbuka tabia ya uropokaji imenzia kwa asiyejaribiwa.binadamu wenye akili timamu hawakubaliani kwa kila jambo.
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
Maelezo mareefuu nikadhani nitaambulia point hata moja , PUMBA TUPU! Shit mnajaza servers nyie.
Hakuna anaye myumbisha rais na kama anayumba kweli basi nachelea kusema kuwa anajiyumbisha mwenyewe na sera zake na aina yake ya utawala aliyo jichagulia mwenyewe .acha unafiki.
 
Maandishi mengi kumbe hujui kusoma "between the lines"...!
Sasa sijuhi shule ulienda ili ikusaidieje maishani?
Ni hivi hii movie inachezwa kizembe sana:
1. Nape alitangaza "reality show" yake kule mtama tarehe 8/04/2017 - Roma na Moni wakatekwa!
2. Sirro na Bashite wametuhakikishia kuwa Roma na Moni watapatikana kabla ya Jumapili - Story za Nape zikose coverage!
3. Mkulu na Bashite (kwa msaada kutoka nchi mojawapo jirani) wana monkey business - wote wenye akili washashtuka - kuanzia uraiani, ikulu, idara zote serikalini, ccm hadi jeshini..

My take: like father; like son! They are so desperate hajui nini cha kufanya.. Zaidi ni kutafuta cheaper and futile options to shutup all opposers!
Una uhuru wa kuamini unachotaka kuamini, lakini usitulazimishe tukubalina na "speculations" zako.
 
Serikali huu inahusika sana.mkuu alimsifia bashite kufanya uvamizi sasa tunajiuliza nini ajenda yake kuhusu usalama wetu
 
yani nilijua anaongea point baada ya kuchoshwa na kina fafafafa kumbe wew ndo square
karibu muhindi yakuchoma na chumvi
 
Back
Top Bottom