Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Dah... Bado kuna mijinga inadhani watz wote ni wajinga....ifike mahala tuambiane ukweli..... Njooni na njia mbadala bora ya kukuza uchumi wetu...... tutawaelewa. Njooni na njia mbadala bora kuboresha huduma za kijamii tutawaelewa....huo ndiyo upinzani wa kweli tunaoulilia...wa kuwa na mawazo mbadala yaliyo bora kwa afya njema ya nchi yetu... . Lakini wajinga nyie wenye bei rahisi mnakomaa na vitu vya kijinga sana....ambavyo havina faida yoyote kwa watz.... zaidi ya kuwa neemesha wezi wa mali ya umma na wahalifu wanaoharibu akili za vijana...... Wenye akili WANAZIDI KUWADHARAU [emoji13] [emoji13]
 
Lakini mkuu,seems like tunazidisha chumvi kidogo.Tujadili kwa amani tu,hivi mtu mzima anawezaje kupotea?tunasema katekwa yeye na wote waliokuwepo studio,sasa nani katoa taarifa ya utekaji?inasemekana katafutwa kila mahali hapatikani je raia anauwezo wa kuingia kila mahali bila amri/msaada wa dola?mf mortuary unaingiaje kirahisi tu?simu iko hewani na tunataka mashirika yatusaidie kufatilia,je tunao uwezo wa kuyaamuru? Unapohitaji msaada wa mtu fulani jaribu kuzuia hasira zako kidogo ili uupate,polisi tunawatusi,tunawashutumu,halafu tunataka watusaidie?

Tunajiuliza ni kweli vyombo vyetu vimeshindwa kudhibiti huu utekaji? Inawezekanaje mtu atekwe tena kapakiwa kwenye gari wakapita barabara zina trafic wahusika wasikamatwe? Tuambiwe tu uwezo wetu ni wa kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani basi. Na si kulinda usalama wa raia.
 
Mbona rc amereact halafu mnaanza kumsema eti anatafuta Kiki. ..hamjui mnachokitaka...ovyoo kabisa!!!
hahaha usipanic
sijaona juhudi za uhakika karibu vyombo vya usalama vyote vimechelewa kutoa mwongozo kwa hiyo lets wait and see
 
Rais hana maadui.anakimbia kivuli chake mwenyewe
 
Ukiangalia ujumbe wanaoutoa Watanzania

hawa wanaofanyiwa ukatili huu,then ukiangalia

walengwa wa ujumbe huo ni akina nani..

Hahiitaji uwe na PhD kuelewa wanaofanya mambo haya..

Hebu jiulize maswali machache

Ikiwa Ney alikamatwa na Polisi, je? Alikamatwa kwa kosa gan?

Ikiwa Leo R.O.M.A katekwa, kwa kitu gan labda?

Kwa nini iwe studio hiyo na si nyingine?

N.B
siku chache kabla ya tukio hilo kumbuka kuna wimbo unaoitwa " misingi ya Tanzagiza " ulikuwa umetoka ukiinadi studio hiyo.
 
Tukuulize na wewe unayemtetea raisi na serikali yake una uhakika gani kuwa hawausiki ????
Nina uhakika sababu Roma Mkatoliki siyo "tishio" kwa usalama wa nchi hii na watu wake. Roma is no body!
 
Kuna ukweli kiasi ktk hayo na ndo michezo ya kisiasa kuharibiana lakini tatizo lipo kwa baadhi ya watendani ndani ya serikali kukubali kutumika upande wa pili bimaana baadhi ya mambo ndani yao kuyapeleka upande wa pili
Nakubaliana na wewe, lakini mchezo huu umeshajulikana tayari.
 
Mimi hilo nalitambua kitambo.
Hivi kwa akili tu ya kawaida serikali imteke roma ili iweje. Kama siyo kuna watu wanatengeneza mambo kuichafua serikali.
 
Ambacho umesahau kufikiri ni kwa hakuna adui wa serikali wala magufuli bali MAGUFULI NA SERIKALI WAMEAMUA KWA NIA YAO OVU KABISA KUWA MAADUI WA WATZ
Yes! Wamekuwa maadui baada ya kuanzisha vita ya kupambana na wakwepa kodi, wauza unga, wafanyakazi hewa na wapiga dili waliojaa kila kona ya nchi hii.

Wamekuwa maadui baada ya kuanza kuwatumbua wazembe.
 
Vyombo vya ulinzi na usalama viko chini ya nani mkuu? Jukumu la ulinzi na usalama wa raia ni dhamana ya nani? Umesema kuna maadui wa serikali, kwanini msiwakamate kama mna uhakika uli raia wasiendelee kutekwa? Hatuwalipi mishahara? Hatujawanunulia silaha? Au mnapungukiwa nini hata mzidiwe na maadui mnaokiri kuwa wapo? Jaribu kuweka itikadi pembeni, fikiria ni mtoto wako katekwa au wewe mwenyewe. Kuwa na utu ndugu
Kuwa ulinzi hakumanishi uhalifu hauwezi tokea. Ni kama kuwa na madaktar hakumaanish kutoweka kwa wagonjwa. thinks twice nyumb
 
Sijakulelewa. Kwa nini una term watu kama adui wa magufuli? Unaweza kusema huo uadui ni wa nini , chanzo chake ni nini ili audience ipate kuelewa na kujadili kwa mtazamo sahihi?
Chuki dhidi ya uwajibikaji wake.
 
Maandishi mengi kumbe hujui kusoma "between the lines"...!
Sasa sijuhi shule ulienda ili ikusaidieje maishani?
Ni hivi hii movie inachezwa kizembe sana:
1. Nape alitangaza "reality show" yake kule mtama tarehe 8/04/2017 - Roma na Moni wakatekwa!
2. Sirro na Bashite wametuhakikishia kuwa Roma na Moni watapatikana kabla ya Jumapili - Story za Nape zikose coverage!
3. Mkulu na Bashite (kwa msaada kutoka nchi mojawapo jirani) wana monkey business - wote wenye akili washashtuka - kuanzia uraiani, ikulu, idara zote serikalini, ccm hadi jeshini..

My take: like father; like son! They are so desperate hajui nini cha kufanya.. Zaidi ni kutafuta cheaper and futile options to shutup all opposers!

BONGO MOVIE
 
Tunapojadili watu kutekwa ebu jaribuni kurejea tukio LA utekwaji wa Dr ulimbika . na alitaja wahusika hadi namna za simu za wahusika lakini kilichotokea hadi Leo hatujuhi .kwani waliyapeleka kimya kwa halo hiyo mambo haya yanapaswa yawekwe wazi ili yasijirudie
 
Nay alitekwa kwa siri au alikamatwa hadharani na kila mtu aliona.

Tumia akili zako kufikiri mambo kwa kina.

Kwa taarifa yako, Roma hajakamatwa na Polisi, ametekwa na "wahuni" wenye nia chafu dhidi ya Rais.
Ukiwa kiongozi epuka kuongelea/kusemea vitu vidogovidogo tena kwa jazba..mwishowe kila kitu jambo dogo ktk jamii utahusishwa nalo
 
CHADEMA wakati wa awamu ya nne waliratibu na kufanikisha mgomo wa madaktari ambapo nilipoteza mzazi wangu, kiongozi wa mgomo huo ndiye Katibu wa CHADEMA wa sasa hivi bila shaka ndio zawadi ya uovu aliofanya kwa manufaa ya wanasiasa!
Hata huu ujinga wa kujiteka\ kutekwa na nyimbo za kuikebehi serikali kwa uzoefu tulionao kuna mkono wa wanasiasa dhaifu!
Ila awamu hii mnachezea sharubu za simba jiandaeni tu!
 
Back
Top Bottom