Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Mkuu umenifanya nimecheka sana! Ushauri wangu kwako achana na mahaba kwa mwanamme mwenzako yaani unamahaba nae mpaka akitoa ushuzi unatamani unuse,poyoyo wewe!
Mtakuja kuolewa kwa mambo ya kijinga.
Na wewe ukiwa na MAHABA kwa akina MBOWE inamaana utaolewa mkuu?

Tofautisha kati ya mahaba na facts.
 
Una uhakika gani kama Serikali hijafanya chochote kuhusu hao watu waliopotea? Acheni kupotosha watu ninyi.
Inawezekana wamefanya kitu lakini raia wana haki ya kujua nini kimefanyika, na nini wamegundua.

Mimi nimefanya mafunzo ya crisis management, mafunzo yaliyokuwa yakiendeshwa na kamanda wa jeshi la anga la NATO. Moja ya jambo muhimu janga linapotokea ni kutengeneza crisis management team, na katika team hiyo lazima kuwepo na communication department. Jukumu la idara hiyo ni wakati wote kuutarifu umma kilichotokea, kinachoendelea, mafanikio kama yapo, n.k. Lengo ni kuondoa gossiping. Inategemea uzito na scale ya crisis, kuna nyingine huhitaji update hata ya kila baada ya nusu saa.
 
Chadema wana kikundi chao cha ugaidi kinaitwa Red Brigade,kazi ya kikundi hiki ni kuteka nyara viongozi wa chadema na wanachi,kuhakikisha nchi haitawaliki kwa kueneza uzushi na propaganda chafu dhidi ya serikali,
Viongozi wa genge hili ni Singo kigaila na Boniface Jacob
Khalid Kangezi anawafahamu vizuri sana magaidi hawa
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
You are less informed about more and more! Analytical capacity yako ni very shallow! very shallow indeed!
 
Makonda Bashite Daud ndiyo mtejaji wa Roma utetezi wowote juu ya hiyo movie haina nafasi tena.
 
Na wewe ukiwa na MAHABA kwa akina MBOWE inamaana utaolewa mkuu?

Tofautisha kati ya mahaba na facts.
Nilipo sema Makonda wewe ulielewa nini? Usumbue ubongo wako sio kila unacho tafuniwa wewe unameza tu! Vingine huwa vinatemwa.
 
Chadema wana kikundi chao cha ugaidi kinaitwa Red Brigade,kazi ya kikundi hiki ni kuteka nyara viongozi wa chadema na wanachi,kuhakikisha nchi haitawaliki kwa kueneza uzushi na propaganda chafu dhidi ya serikali,
Viongozi wa genge hili ni Singo kigaila na Boniface Jacob
Khalid Kangezi anawafahamu vizuri sana magaidi hawa
Acha uongo Roma umemteka wewe na Daud Bashite unataka kuleta story za kuwadanganya watanzania tambua kuwa wananchi wameamka wlishajipanga kuwakabili na propaganda zenu.
 
Hata clouds TV ilivamiwa na isingekuwa cctv footage mngesema serikali haikufanya ule ujambazi.
 
haina haja ya kuitana wapuuzi mkuu
sasa the issue ni kuwa lazima hata updates ziwepo, walikuwa kimya sana, hakuna alo sema waoneshe live kwenye tv kuwa wana mfind Roma, almost kika mamlaka ilichelewa ku tolea ufafanuzi hii ishu
Nasikitika unapinga kuitwa mpuuzi. Wewe uliposikiwa taarifa zipo polisi ilikuwa inatosha. Polisi mkoa wa Dar huwa kila wiki wanatoa taarifa na pale tukio la ghafla linapotokea hulifuatilia na kuweka ahadi ya kulitolea taarifa kwa ukamilifu wake au kwa hatua waliyoifikia. Hivyo ni upuuzi kusema mamlaka zilichelewa kutoa taarifa.
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
Swali kwako:Vyombo vya dola ninani Amiri jeshi wake
 
Tatizo lenu ni ushabiki tu usiokuwa na tija. Chuki yako kwa Rais Magufuli haitabadilisha chochote kile.

Mchana wote nilikuwa shambani, napalilia "Mtama".
Hapi kwenye kulima sawa kabsa haya mengne tuyaache hatuwez elewana.
 
Nasikitika unapinga kuitwa mpuuzi. Wewe uliposikiwa taarifa zipo polisi ilikuwa inatosha. Polisi mkoa wa Dar huwa kila wiki wanatoa taarifa na pale tukio la ghafla linapotokea hulifuatilia na kuweka ahadi ya kulitolea taarifa kwa ukamilifu wake au kwa hatua waliyoifikia. Hivyo ni upuuzi kusema mamlaka zilichelewa kutoa taarifa.
Kikundi cha utetezi cha makonda kinaongozwa na jitu lijinga jinga Le-mutuz hilo jitu ndilo linekuwa likitunga ujinga utetezi wa kipumbavu juu ya Bashite Daud, kwa bahati nzuri watanzania wengi wameamka hawakubali propaganda za kijinga jinga wanaamini utekaji ni Sinema za Daud Bashite si zaidi ya hapo, hata waje na uongo gani watanzania hawatakubali ujinga wao.
 
Inawezekana wamefanya kitu lakini raia wana haki ya kujua nini kimefanyika, na nini wamegundua.

Mimi nimefanya mafunzo ya crisis management, mafunzo yaliyokuwa yakiendeshwa na kamanda wa jeshi la anga la NATO. Moja ya jambo muhimu janga linapotokea ni kutengeneza crisis management team, na katika team hiyo lazima kuwepo na communication department. Jukumu la idara hiyo ni wakati wote kuutarifu umma kilichotokea, kinachoendelea, mafanikio kama yapo, n.k. Lengo ni kuondoa gossiping. Inategemea uzito na scale ya crisis, kuna nyingine huhitaji update hata ya kila baada ya nusu saa.
Kwa akili zako kutekwa kwa ROMA ni crisis? Who is ROMA by the way?

Watu wangapi wamepotea hapa Tanzania? Na siyo Tanzania tu, duniani kote watu wanapotea kila siku.
 
Unadhani chanzo/kiini ni nini hasa hadi watu wafikirie shida ni JPM na serikali yake na sio ujambazi/uhuni au njama?
 
Kwa akili zako kutekwa kwa ROMA ni crisis? Who is ROMA by the way?

Watu wangapi wamepotea hapa Tanzania? Na siyo Tanzania tu, duniani kote watu wanapotea kila siku.
Watu wanazungumzia Roma aliyetekwa na makonda Daud Bashite, utasemaje wengine? Hii Sinema za kishamba muache Le-mutuz kwanza amepewa pesa nyingi na GSM amewagawia sawa? Acheni kutumia pesa za Umma kwa mambo ya hovyo hovyo mwambie boss wako kuwa utetezi wako juu yake umekwama hata uje na hoja gani hutakwepa lawama juu ya Daud Bashite kiumbe asiye na vyeti lakini hodari wa utekaji watu.
 
Wewe ndio ulivyo hayo uliyoyaandika.

Mkuu wa mkoa ulimuona anaingia au anavamia?

Acheni ushabiki ambao unatia kinyaaaaa.
Hata clouds si ulisema sio kweli. Hata vyeti ulisema ni uzushi. Anyway, sikulaumu, mwenzetu upo kazini.
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
Mim hata kama serikali haihusik lakin huyu bwana sijawah kumhusudu Toka alipoichukua hii nchi na kuifanya kama ya kwake
 
Daud bashite a.k.a Maliyamungu wa enzi za idd Amin jiandae watu wanakaribia kuchoka na Sinema zako, hizo pesa unazotumia kuwalipa kikundi cha Le-mutuz kukutetea mitandaoni si ungekwenda ujenge zahanati kule kijijini kolomije wananchi wangeshikuru sana.
 
Back
Top Bottom