Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Hata nchi zilizoendelea kuizidi Tanzania, kila kukicha miili ya watu inaokotwa na hakuna maelezo.
Nchi gani mwili unaokotwa na haichunguzwi?Kukosa + findings baada ya uchunguzi ni jambo moja na kutochunguza kabisa ni jambo jingine!
 
Mim hata kama serikali haihusik lakin huyu bwana sijawah kumhusudu Toka alipoichukua hii nchi na kuifanya kama ya kwake
serikali ya mkoa imehusika Daud Bashite ndiyo mtekaji mwenyewe ujue Daud Bashite ana roho mbaya sana ndiyo maana kaamua kuleta waganga wa kienyeji 200 toka sehemu mbalimbali Duniani kuja kuwaroga Wapinzani wake na member wa JF wanaompinga, Akili za Bashite anazijua mwenyewe.
 
Kikundi cha utetezi cha makonda kinaongozwa na jitu lijinga jinga Le-mutuz hilo jitu ndilo linekuwa likitunga ujinga utetezi wa kipumbavu juu ya Bashite Daud, kwa bahati nzuri watanzania wengi wameamka hawakubali propaganda za kijinga jinga wanaamini utekaji ni Sinema za Daud Bashite si zaidi ya hapo, hata waje na uongo gani watanzania hawatakubali ujinga wao.
Ujinga ulionao ni mzigo kwako. Toka uamini katika huo ujinga wako umevuna nini na umebadilisha kipi? Umma unamtambua kama Paul Makonda na ndivyo vyombo vya habari vinavyomtambua hivyo. Wewe na waume zako humu wasioakili ndio mmeshupaa. Najua ni athari za utaahira ulionao ndio unakufanya ushindwe kubadirika kwani taahira huwa mgumu kubadiri mchezo. Kama si utaahira basi ni ushamba ili uonekane wa mjini ni kutamka bashite hata pasipofaa.
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
Raia wanne wametekwa nyara na haijulikani walipo....

ETI WANANCHI WASIILALAMIKIE SERIKALI!!!!!!!!... WAMLALAMIKIE NANI??????????!!!!!!!!!!!!!

WAJIBU WA KWANZA WA SERIKALI YOYOTE DUNIANI NI ULINZI NA USALAMA WA RAIA WAKE.....

NI KWELI HULIJUI HILO????

Ndugu Watanzania wenzangu, tubadilikeni na kuacha tabia ya KIPUMBAVU ya kujipendekeza kwa watawala.

Tuwaheshimu ila ikibidi kuwahoji, lazima tuwahoji..
 
Vyombo vya ulinzi na usalama viko chini ya nani mkuu? Jukumu la ulinzi na usalama wa raia ni dhamana ya nani? Umesema kuna maadui wa serikali, kwanini msiwakamate kama mna uhakika uli raia wasiendelee kutekwa? Hatuwalipi mishahara? Hatujawanunulia silaha? Au mnapungukiwa nini hata mzidiwe na maadui mnaokiri kuwa wapo? Jaribu kuweka itikadi pembeni, fikiria ni mtoto wako katekwa au wewe mwenyewe. Kuwa na utu ndugu

Naystory :

Asante sana, kwani hata mimi nilitaka kuandika kumuuliza Son of Gamba kitu hikikiki ulichomuuliza.....

Kuna moja tu lililowazi kwa mleta mada, kwamba, ni aidha hajui majukumu ya serikali ama basi tu ukada ama u CCM umemlevya hata kupumbaa kifikra.....

Yaani kwake yeye, anataka ilaumiwe labda CHADEMA ama Kenya ama USA ama CUF kwa matukio ya watu kufa hovyo, ama kutekwa na kupotea tu ktk mazingira ya kutatanisha....

Yaani huyu jamaa anayejiita Son of Gamba ni wazi anadhani watu wote humu ni wajinga wa kiwango kilekile cha kama chake (labda).....

Yaani yeye anaamini, binadamu atakayeishitua serikali akipotea labda ni waziri flani ama mke wa Rais........

Yaani huyu jamaa hapa chini kasahau kabisa kuwa jukumu la kwanza na la msingi la serikali yoyote duniani ni kulinda usalama wa raia wake na mali zao kwa gharama yoyote ile ......

Yaani huyu jamaa hapa chini Kiukweli kidogo nina mashaka na ufahamu wake wa mambo......

Just see this:

Eti anasema kuna watu flani waliowahi kuwa huko (nadhani ana maana ya CCM na serikalini chini ya CCM) ambao siku hizi wako huko ktk chama flani.....

Kwamba, watu hao ni hatari na anadhani ndiyo wanaohusika na matukio ya kuteka na kupotea watu kama kina Ben Sanane, Ney, Roma Mkatoliki na pengine hata kuuwawa Kwa wale wenyeviti wa CCM kule Ikwiriri - Rufiji.....

This is very ridiculous again !!

Mpaka hapo sijui ni kwa nini tu huyu jamaa yetu hapa chini i. e. Son of Gamba hafungui ufahamu wake hata kutambua kuwa, kwa matendo haya pekee ni ishara ya serikali kushindwa kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kuwalinda watu wake na mali zao......

Labda atueleze iwapo serikali siku inachagua uhalifu na aina ya wahalifu wa kuwahughulikia kwa kuwafikisha ktk vyombo vya sheria......

Yes, atuambie hawa watu waliowahi kuwa huko CCM na serikalini na anaowahisi kuwa ni hatari, wana impunity ya kutoshughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo in real sense ni serikali yenyewe ?

Je, huku si kushindwa kwa serikali ? Je, lawama zielekezwe wapi ?

Son of Gamba unaelewa maana ya "serikali" na majukumu yake kweli ???
Nay alitekwa kwa siri au alikamatwa hadharani na kila mtu aliona.

Tumia akili zako kufikiri mambo kwa kina.

Kwa taarifa yako, Roma hajakamatwa na Polisi, ametekwa na "wahuni" wenye nia chafu dhidi ya Rais.
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.

Nadhani tatizo hapa ni kuelewa serikali ni nini na nini wajibu wake.
Ukijua hayo utajua serikali zinaendeshwaje na kuwa kiongozi wa nchi maana yake nini.

Roma ni mkubwa sana kuliko Rais kwa taarifa yako, sababu ni mmoja wa waajiri wa Rais na serikali yake.
 
Wewe ndio ulivyo hayo uliyoyaandika.

Mkuu wa mkoa ulimuona anaingia au anavamia?

Acheni ushabiki ambao unatia kinyaaaaa.
ila we mwanamke sidhani kama akili zako ziko sawa!! kwahiyo wewe hukuona wakati anavamia? mnatia hasira sana nyie lumumba buku 7
 
Vyombo vya ulinzi viko kazini siasa na porojo tungeweka pembeni tusubiri taarifa za vyombo hivyo.
Japo, majibu yake watu hawataamini.
Acha blah blah.....

Wananchi wanne wametekwa, wananchi wenzao wanalalamikia kitendo hicho dhalimu, unadai ni porojo????

Are you serious?????!!!!!

ETI, acheni vyombo vya usalama vifanye kazi yake... Vimezuiliwa na NANI?????¿?

Hata kama una maslahi kwa tukio hilo, lkn hustahili kuwashauri wananchi UPUUZI huo.,.

Wewe kama tatizo hilo halijakugusa, kaa kimya....

USICHEZE NA HISIA ZA WATU..
 
Ujinga ulionao ni mzigo kwako. Toka uamini katika huo ujinga wako umevuna nini na umebadilisha kipi? Umma unamtambua kama Paul Makonda na ndivyo vyombo vya habari vinavyomtambua hivyo. Wewe na waume zako humu wasioakili ndio mmeshupaa. Najua ni athari za utaahira ulionao ndio unakufanya ushindwe kubadirika kwani taahira huwa mgumu kubadiri mchezo. Kama si utaahira basi ni ushamba ili uonekane wa mjini ni kutamka bashite hata pasipofaa.
uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Maana siku zote mtu zuzu akishindwa kufikiri hukimbilia matusi hasa wale walioolewa ndoa ya jinsia moja kama wewe, njaa unayo ww unatemtetea muovu na kudhani watanzania wataamini utetezi weni wa kishamba kama ni utahira unao wewe mwenyewe matusi yote yakurejee mwenyewe na wajinga wajinga wenzako akina Le mutuz.mnafiki kwa matusi yako utafanikiaha propaganda zako? Nenda kapakatwe huko Bashite hachomoki safari hii na pesa zake atawadai ndipo utauza mwili upate kulipa kwani ukishindwa anakuteka kama Roma.
 
Ujinga ulionao ni mzigo kwako. Toka uamini katika huo ujinga wako umevuna nini na umebadilisha kipi? Umma unamtambua kama Paul Makonda na ndivyo vyombo vya habari vinavyomtambua hivyo. Wewe na waume zako humu wasioakili ndio mmeshupaa. Najua ni athari za utaahira ulionao ndio unakufanya ushindwe kubadirika kwani taahira huwa mgumu kubadiri mchezo. Kama si utaahira basi ni ushamba ili uonekane wa mjini ni kutamka bashite hata pasipofaa.
USISEME UONGO, NI DHAMBI...

UMMA TUNAMTAMBUA KAMA DAUDI A. BASHITE.....

MTUHUMIWA WA WIZI WA UTAMBULISHO. NA ITABAKI HIVYO HADI PALE ATAKAPOTHIBITISHA KUWA YEYE NI PAUL MAKONDA..

UKWELI HUU HAUWEZI KUBADILIKA HATA ZIPITE KARNE NGAPI..
 
Mchepuko mke wa mtu unakuchuna pesa kwa kukudanganya una Akili, hivi wewe ukiija mwenye Akili wenye Akili watajiitaje? Nyie misukule mnaofugwa na Daud Bashite mmekuwa kero utetezi wenu juu ya Daud umekuwa shiiiiida dawa yenu ipo jikoni watu watawapa tiba ya kutosha mpaka Akili zirejee baada ya kujitoa fahamu zote.
 
USISEME UONGO, NI DHAMBI...

UMMA TUNAMTAMBUA KAMA DAUDI A. BASHITE.....

MTUHUMIWA WA WIZI WA UTAMBULISHO. NA ITABAKI HIVYO HADI PALE ATAKAPOTHIBITISHA KUWA YEYE NI PAUL MAKONDA..

UKWELI HUU HAUWEZI KUBADILIKA HATA ZIPITE KARNE NGAPI..
Mkuu hao watetezi wa makonda Daud Bashite a.k.a Maliyamungu wa idd Amin wengi ni njaa zinawasukuma huku kuandika chochote ili mladi Bashite ajue wamemtetea lakini kwa sasa wameona wamelemewa wameamza matusi lakini hapa ndipo PhD za matusi zilipolalia tutawanjoosha mpaka Maliyamungu awadai pesa zake.
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.

Magufuli apige kazi

Wengi tupo nyuma yake
 
USISEME UONGO, NI DHAMBI...

UMMA TUNAMTAMBUA KAMA DAUDI A. BASHITE.....

MTUHUMIWA WA WIZI WA UTAMBULISHO. NA ITABAKI HIVYO HADI PALE ATAKAPOTHIBITISHA KUWA YEYE NI PAUL MAKONDA..

UKWELI HUU HAUWEZI KUBADILIKA HATA ZIPITE KARNE NGAPI..

we tambua hivyo, sema mpaka utakapokufa sio mpaka atakaposema

wewe nani?
 
Kama Nape aliyelala porini siku kadhaa alitaka kupigwa risasi mbele ya waandishi wa habari na mkulu badala ya kukemea tukio hilo yeye kachukizwa na magazeti yaliyotoa picha za huyo mtu. Halafu unakuja kuandika utumbo mreeeefu. Tatizo nini lakini, hii miaka 60-70 ya hapa duniani ndio inayowadanganya?
Mkuu hicho kikundi cha utetezi kinaongozwa na Le-mutuz hawana kazi mda wote na kuzurula kwenye mahotel na bar kaxi yao ni kumtetea Maliyamungu Daud bashite ili wapate pesa za kuishi nia aiba fulani ya ajira haramu nchini pesa za Umma inatumika kwa mambo ya hovyo hovyo tu.
 
we tambua hivyo, sema mpaka utakapokufa sio mpaka atakaposema

wewe nani?
Kwani wewe nani? Alikuwepo Maliyamungu mtu katiri enzi za idd Amin lakini alikufa hata ww Mungu wa Dsm ipo siku utabakia history, ww Maliyamungu endelea kutenda unyama ipo siku 40 zitafika utaumbuka.
 
we tambua hivyo, sema mpaka utakapokufa sio mpaka atakaposema

wewe nani?
I NEVER ARGUE WITH A FOOL..

Samahani usije kusema nimekutukana, namaanisha hivi:

"...SIWEZI KUJADILIANA NA MPUMBAVU...".
 
Magufuli apige kazi

Wengi tupo nyuma yake
Upo nyuma yake ukiwa nyumbani kwa Lugumi? au ukiwa unachonga vyeti vya Maliyamungu Bashite Daud? au upo nyuma yake na pesa milion 760 za faru JOHN? Pesa za viwanda hakuna lakini pesa za kumlinda na kumtetea Maliyamungu Bashite Daud mnayo.
 
Naona kuna watu huwa hawataki kuona ukweli unasimama wako tayar kufanya figisufigisu ionekane watawala hawahusishwi na tuhuma hizi iko wazi huwez kuniambia mtoto wako ametekwa na kabla ya j 3 atapatikana akiwa hai hii inatosha kabisa kukushikilia wewe kwakuwa unafaham A-Z kuhusu mtoto wangu,siku nyingine ili ukitaka ku-win game kama hii unapaswa kutoa majibu ya kufuatilia suala hilo bila kutoa uhakika walini atapatikana na siku ukiamua kumleta utaweza kupata sifa kwa ufanikishaji wako kosa alilofanya bashite ni kuahidi atapatikana ndani ya muda flani hili ni kosa la kimkakati ni sawa na yule wa magogoni aliyesema kuwa Kinana amemtuma india kwa matibabu ya siku 14 yaani mtu na babaake ni zero kabisa kimkakati .
 
Back
Top Bottom