Mbinguni ni wapi?

Mbinguni ni wapi?

Mkuu,watu wa zamani sio wa kuskiliza sana. Hakukuwa na universal education kwa hiyo mawazo yao yalikuwa yamepinda

Mbingu hakuna. Ni kitu mwanadamu amekitengenza kupunguza uoga wa kufa
 
Panda gari za Bunju shuka kituo cha Nyashioz upande wa kushoto ndio mbinguni
 
Hata mitaa flani hivi ya mbezi Beach karibu na baharini pia hapo kuna pepo aka mbingu
 
Mkuu,watu wa zamani sio wa kuskiliza sana. Hakukuwa na universal education kwa hiyo mawazo yao yalikuwa yamepinda

Mbingu hakuna. Ni kitu mwanadamu amekitengenza kupunguza uoga wa kufa
Kwanini apunguze uoga wa kufa?
 
Mbinguni ni ulimwengu mwingine wakiroho zaid,

kama roho isivyo onekana ndivyo na mbinguni pasivyoonekana,
 
Mbinguni hatuenda kwa miili yeti hii roho ndiye inayosafiri kuelekea mbinguni.

Hii Mada watu wamebadili Gia tunaanza kujadili kuhusu blue ya anga finite human beings to see
 
Ok nilijua uta reply! Sikua natania kusema mbinguni ni hapa hapa tunapoishi sisi, kutokana na maandiko yanayopatikana ktk Biblia.
KATIKA KITABU CHA MANZO KUANZIA SIKU YA PILI.. HAPA SINA BIBLE HIVYO NAJUMLISHA YALIYOMO KWA MWENYE BIBLE ATATUSAIDIA.
... AKASEMA NA TUYATENGE MAJI, JUU NA CHINI ILI IPATIKANE ANGA, AMBAYO AKAIITA MBINGU.
BAADA YA KUYAGAWANISHA MAJI CHINI NA JUU NA KUPATIKANA ANGA ALILOLIITA MBINGU, AKAYATENGA YALE MAJI YA CHINI ILI IPATIKANE ARDHI ALIYOIITA NCHI NA YALE MAJI AKAYAITA BAHARI, NA NDIMO TUNAPOISHI.
KWAHIYO BAADA YA MAJI KUTENGWA JUU NA CHINI NA KUPATIKANA ANGA ALILOLIITA MBINGU NA HATIMAE AKAYATENGA MAJI YA CHINI YA ANGA AKA MBINGU ILI IPATIKANE ARDHI AKA NCHI SISI TUISHI.
KWA MAWAZO YANGU MBINGUNI NI HAPA HAPA ILA SISI TUNAISHI SEHEMU YA CHINI YA ANGA AKA MBINGU NA LABDA MUNGU ANAISHI SEHWMUNYA JUU YA ANGA AKA MBINGU.!
 
nitajaribu kukujibu kutokana na imani ya kiisilamu.

Allah (Mungu) anaishi kwenye Arsh yake (Throne) ambayo ipo juu ya maji na chini yake kuna Kursy, na chini ya kursy kuna mbingu saba na kwenye mbingu ya saba ndio tupo sisi.

umbali toka mbingu moja mpaka nyengine ni miaka 500 ila haikulezwa ni kwa scale gani,

ili kupata idea kidogo tuangalie ukubwa wa hii mbingu yetu kwa kuangalia ukubwa wa galaxy kwa kutumia science ya sasa.

kwa science ya sasa inachukua miaka 100,000 kutembea kwa spidi ya mwanga kuanzia mwanzo wa galaxy yetu mpaka mwisho. na kuna scientist walichunguza kisehemu kidogo tu cha anga na kukuta galaxies zaidi ya 10,000 wengine wanasema kuna zillion of gallaxies kwenye mbingu hii.

1.jpg

hivyo unaweza uka estimate mwenyewe hapo distance baina ya mbingu na mbingu mpaka unafika kwenye kursy na Arsh.

kwenye simulizi mbalimbali za kiisilamu mbigu saba compare na kursy ni kama udondoshe pete kwenye jangwa, na kursy compare na Arsh ni kama udondoshe tena pete kwenye Jangwa. hivyo Arsh ni kubwa sana, kupita hizo mbingu 7. Arsh ndio kiti cha Ufalme cha mwenyewe Mungu.

Angalia hii video kufahamu zaidi.

Anzia dakika ya 6 sekunde ya 55 ndio anaanza kuelezea umbali na Kiti cha Ufalme (Arsh)
 
hata umu explain vip hatoelewa cocote !!awo ndo wale wanao uliza Mungu ni nani na katoka wapi!?wajinga saana!!
 
Nimeshindwa kupokea hili faili
 
" Mbinguni ni mahali ambapo amepafanya mungu kua makazi yake amepachagua yeye ili kupaishi pamoja nakuwa umeandika kama msomi na mwandishi mzuri lakini umeshindwa kujua alipo mungu; Niwazi kwamba khabari za mungu umezigusagusa haujazisoma na kama umezisoma sio katika kitabu sahihi na usidhani tutakuelekeza alipo kwakuwa huwezi kwenda ukiwa hai kwanza ufe ...

" Kuusu vifaa kwenda angani sio hoja kabisa kwakua haviendi kwalengo la kumtafuta mungu ni ishu nyingine za kisayansi ambazo sio zote zinaaminika tatizo mambo mnayo yasoma katika vitabu vya watu mbalimbali wenye kuandika na kukana uwepo wa mungu vimekuharibu akili sana kwamaana hiyo una mashaka flani yasio na hoja za msingi ...

* Kuusu mungu kuzuia vitu hivyo hajashindwa kufikiri kwako ndiko kumeshindwa tatizo wenye kuvirusha wana mawazo kama ya kwako hivyo huachwa wateseke na ujinga ambao ni mzingo mkubwa kwao kumbuka pia khabari za mungu amezifunua kidogo sana kwetu sisi wanaadamu hata aishipo yeye huko ambako kunakutatiza wewe ni wajibu wako kujifunza kumuusu zaidi ..

" Kuusu Quran na biblia kuthibitisha kwamba mungu yupo juu ni kweli ila nasikitika hukuelewa makusudio ya aya ulizo zisoma kwa upana wake chakufanya jitahidi sana kusoma mana huna elimu inayohusu mambo ya imani naomba kuwasilisha ...
Hujamuelewa mtoa mada anauliza kama mbingu haionekani au ipo kiroho kivipi Mnara wa babeli ulitaka kufika mbinguni yaani kama nimrod alitaka kufikia mbingu kwa jengo refu ila Mungu akazuia kwanini basi leo hii tuna marocket lakini hatufiki mbinguni??
 
Usiku wa leo nimefika mbinguni ghafla, nikasukumwa nje na malaika kwa kuwa siku zangu bado. Hakika Mungu yupo na mbingu ipo. Msioamini tubuni na kukesha
 
Sasa kufika mbinguni...njia si ni mpaka uvute......mbingu ipo sanA. ....kiimani zaidi....
 
Wajalibu kwenda kwenye jua huenda ndio maskani yake.. Ashindwagi jambo yule
 
Usiku wa leo nimefika mbinguni ghafla, nikasukumwa nje na malaika kwa kuwa siku zangu bado. Hakika Mungu yupo na mbingu ipo. Msioamini tubuni na kukesha
Elezea zaidi mkuu tupate somo...
 
Back
Top Bottom