MAKOSHNELI
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 932
- 1,569
Hapo ndio mnachanganyaga mambo mnatumia Falfasa na mawazo ya kibinadamu kumuelezea Mungu! sijui mfinyanzi sijui udongo sijui Muda weka maandiko mzee unamzungumzia Mungu kwa mifano yako badala ya maneno yake mwenyewe!
Maandiko matakatifu yanasema hivi katika Ayubu 36:26 "Tazama, Mungu ni mkuu, nasi hatumjui; Hesabu ya miaka yake haitafutiki" ukisoma KJV ndio unapata maana nzuri Job 36:26 "Behold, God is great, and we do not know Him; Nor can the number of His years be discovered."
Mungu ni mkubwa sana kwa hizi akili zetu za kibinadamu hatuwezi kumjua kabisaaaa,tunajitahidi kumuelezea tu kwa vitu vyake vichache alivyotufunulia na kajifunua kwetu kwa asilima ndogo sana kuliko alivyo kiuhalisia ndiomaana imeandikwa "HATUMJUI"!!!,Pia biblia imeandika HEKIMA na MAARIFA yake Mungu HAYACHUNGUZIKI na NJIA ZAKE MUNGU HAZITAFUTIKANI!!!! (WARUMI 11:33)
Ndiomaana Mungu alivyokuwa anajifunua kwa baadhi ya Mitume hakuna aliyeona ukuu woote wa Mungu!(total completion) walikuwa wanaona vitu vichache sana,wengine walikuwa wanasikia sauti,wengine ndoto,Musa alifanikiwa kumuona kidogo upande,usije na falsafa zako ukaanza kumchambua Mungu hadi na makazi yake wakati hamna reference yoyote ya maandiko!