Mbinguni ni wapi?

Mbinguni ni wapi?

naaam nikweli kabisa ..majengo marefu ambayo huwa tunayaona sisi watu wazima nimarefu zaidi mara mbili ya vile waonavyo watoto wadogo ..nakumbuka niliwahi kurudi katk mitaa ambayo niliwahi kukulia wakati nilipokuwa mdogo pictr niliyokuwa naiona ilinitisha zamani nilipokuwa mdogo ile mitaa nilikiwa naiona kuwa nimikubwa mnooo lakini nilivyokuja kuiona ktk umri huu nikaja kushangaa mitaa naiona kuwa nimifupi na hata zile nyumba nikawa naziona kuwa nindogo tu
Na ndio tatizo hapo utaupimaje urefu wa kuona mtu mmoja kupitia mwingine!..Anyway jamaa ana maswali mengi nikamwambia afungue uzi mwingine tuyajadiri huku naona ni kina Online Pastor, Mshana Jr. Rakim watu wenye kariba hizo!..
 
Kwahio wakina waliojenga mnara wa babeli walikuwa na roho...mbona mungu aliwazuia wasifike huko??
hapo ndio nashindwa kuelewa kabisa ..hizi dini kweli zimetupiga brain washed
 
Na ndio tatizo hapo utaupimaje urefu wa kuona mtu mmoja kupitia mwingine!..Anyway jamaa ana maswali mengi nikamwambia afungue uzi mwingine tuyajadiri huku naona ni kina Online Pastor, Mshana Jr. Rakim watu wenye kariba hizo!..
naam Jamaa anamaswali haswaa ..ngoja tuaone kama atauanzisha huo Uzi ..namimi nije maana natka kujifnza kupitia hayo maswali yake
 
Hakuna sehemu inayoitwa mbingu.....

Hizo ni hadithi za kusadikika ambazo wazungu na waarabu walileta ili kuua utamaduni wetu au dini ambazo sisi Waafrika tulikua nazo kabla ya ujio wa hao watu.
 
Salute comrades,

Wakuu, naomba kufahamishwa, Mbinguni anapoishi Mungu ni wapi?

Ukisoma Biblia, Katekisimu etc zinasema Mungu yupo Mbinguni na mahali pote duniani. Je Mbinguni ni wapi?

Ni kule juu angani kwenye mawingu? Qur'an inasema zipo Mbingu saba na Mungu anaishi Mbingu ya saba, je Mbingu hiyo iko sehemu gani?

Pia tunaambiwa Nimrod na wenzie walijenga mnara ulikua unakaribia kufika Mbinguni kwa Mungu, je huko Mbinguni ni kule juu angani?

Kama Mbinguni ni huko juu angani mbona sasa hivi kuna vifaa mbalimbali ambavyo vinapita huko angani kwenda sayari zingine?

Mbona Mungu hayazuii kama alivyowazuia kujenga mnara wa Babeli sababu wanapita huko angani inaposadikika ndio Mbinguni.

Da'Vinci
Ungeuliza Ufalme wa Mungu unapatikanaje ungejibiwa kwa urahisi. Hata hivyo hakuna anayeweza kusema kwa uhakika mbinguni ni wapi. Maandiko hayatoi mwelekeo thabiti wa wapi ilipo mbingu ya Mungu. Tunasoma akapaa juu mbinguni au akachukuliwa juu mbinguni. Ila tunajua ni angani na si duniani. Anga nalo ni kubwa sana upeo wake. Dunia inaelea angani. Hivyo mbinguni lazima kuwe eneo nje ya mfumo wa ulimwengu. Ni eneo lenye mandhari ya kiroho. Huenda lipo pembeni tu ila hatulioni. Hatuwezi kulikanyaga. Mahali fulani katika mfumo mkubwa wa anga na mawingu yake ipo Mbinguni kwa maana makao yake Mungu. Yesu alisema juu ya Peponi. Hatujui kama Peponi na Mbinguni ni sehemu moja. Kuna Yerusalemu Mpya pia bado inapambwa. Hiyo itashuka toka juu na kutulia mahali angani. Dunia hii itakunjwa na kutupwa Jehanamu. Hivyo mahali fulani katika anga hilo zito ipo Jehanamu. Tohorani haiko ingawa wapo wanaofundsha lakini ushahidi wa Bblia hauko. Ili mtu aweze kuishi Mbinguni katika wakati uliopangwa lazima aondokane na mwili huu wa kidunia. Hapo ndipo dhana ya ufufuo wa wafu inaibuka. Mtu aliyekufa katika haki na kustahili ufufuo wa kwanza hufufuka katika mwili mpya. Mwili wa roho. Unaitwa pia mwili wenye utukufu.Kuhitimisha, ili kuelewa mbinguni sharti uelewe na kuoanisha vitu vingi sana. Tutaendelea.
 
naaam nikweli kabisa ..majengo marefu ambayo huwa tunayaona sisi watu wazima nimarefu zaidi mara mbili ya vile waonavyo watoto wadogo ..nakumbuka niliwahi kurudi katk mitaa ambayo niliwahi kukulia wakati nilipokuwa mdogo pictr niliyokuwa naiona ilinitisha zamani nilipokuwa mdogo ile mitaa nilikiwa naiona kuwa nimikubwa mnooo lakini nilivyokuja kuiona ktk umri huu nikaja kushangaa mitaa naiona kuwa nimifupi na hata zile nyumba nikawa naziona kuwa nindogo tu
Haha izo ni perception zako kwasababu ulipokuwa mdogo ulikuwa una uwezo wa kiufahamu mkubwa, ku interpret na kuchambua kitu kwa ufasaha kwasabu ulikuwa na low cognitive kwaiyo sio sababu ni kutofautiana urefu
 
Haaa haaa...ukiwa mdogo kila kitu unakiona kikubwa hata sisimizi unamuona mkuuubwa huyo!

Ngoja ukue sasa!..only tiny stuffs
 
sasa mbona ulichokichambua hkijatofautiana na kile nilichokisema ..au wahisi mimi nilikuwa nimeegemea ktk sababu zipi mkuu
 
Haaa haaa...ukiwa mdogo kila kitu unakiona kikubwa hata sisimizi unamuona mkuuubwa huyo!

Ngoja ukue sasa!..only tiny stuffs
hahahaa umeona mkuu ..ndio maana ukikutana na Jamii ya watu wasio tambua hilo utaskia wakisema kuwa walimu /askari wasiku hizi nivijana wadogo kweli yaani ..jibu nirahisi tu kuwa wakati walipokuwa wadogo walikuwa wanawaona niwakubwa kwasababu upeo wa macho yao ulikuwa unawaruhusu kuona hivyo kuwa niwakubwa ..ila sasa hvi wanawaona kuwa niwadogo kwa sababu wapo nao sawa kimakamo au wamewapita ...so wanawaona katka ule usahihi wawatu wazima wanavyopaswa kuona
 
Haha izo ni perception zako kwasababu ulipokuwa mdogo ulikuwa una uwezo wa kiufahamu mkubwa, ku interpret na kuchambua kitu kwa ufasaha kwasabu ulikuwa na low cognitive kwaiyo sio sababu ni kutofautiana urefu
hahaha nimeirudia hii concept yako Mara 2 sasa nimekuelewa vyema ..blessed
 
Ameeeeen mbarikiwe sana mjadala mzuri Mungu awazidishie saana katika kumjua yeye apanue wigo wa fikra zenu na Mungu akae kwenu daima afu tanzania itakuwa kisiwa cha Mungu sio kisiwa cha mizimu
 
haijafunikwa na kitu chochote

NB: kwaa akili za kibinadamu ili uwelewe infinity ya universe ni kwamba chini,kulia na kushoto mwa hiyo universe akuna mwisho ila juu ya hiyo universe ina mwisho ambapo ndio mbingu na mbingu huwenda sio kitu physical ninavyozani mie
Kwa hiyo kama mwisho Wa infinity ndo mbingu so tuko ndani ya mbingu?coz kulia kushoto chini juu mbele nyuma mwisho wake ni infinity
 
Ameeeeen mbarikiwe sana mjadala mzuri Mungu awazidishie saana katika kumjua yeye apanue wigo wa fikra zenu na Mungu akae kwenu daima afu tanzania itakuwa kisiwa cha Mungu sio kisiwa cha mizimu
Bwana asifiwe askofu..?
 
Nauli USD1000000000000000000000,tafuta nikupeleke hata leo
 
Back
Top Bottom