Una akili ufinyuNdio.
Unaota siasa za expansionist za mrusi kupanua Ardhi yake zinepitwa na wakatiUkraine ipi tena wakati soon inaenda kuwa jimbo la urusi
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Huu mfano hauendani na madaHivi mtu akitaka kukuchoma kisu unasubiri hadi akuchome au unamuwahi baada ya kuona kila dalili ya kutaka kukuchoma?
Sijasema ni jipya, nimeuliza kwanini anawasaidia Ukraine? Anawapenda sana? Anapenda sana haki za binadamu?
😅Ukraine ipi tena wakati soon inaenda kuwa jimbo la urusi
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Una mahaba na Warusi halafu wao hawanaga mpango na mijitu myeusi.Fikiria kwenu mbinga mtaishije.Siyo lazima ulivyoandika kuwa sahihi,hizo ni propaganda kutoka Russia + hisia zako zilizojaa ushabiki wa Russia.
Hujui unaloliongea?Kwani Urusi alisema atapigana na Ukraine Muda gani ?zaidi ya pro-American kujijambisha eti alisema ni muda mfupi.Hiyo ni Vita waulize NATO (Marekani na Wenzie) walitumia miezi Mingapi Iraq,Karibu miezi sita,Je Huko Syria Us na Wenzie wa NATO Mbona alichemsha mpaka leo Assad yupo Madarakani.Sasa kama huyo Russia anajiona yeye ni superior anapiganaje na mtu aliyemzidi lila kitu mda wote huo yaan unapigana na Ukraine miezi 2?? Kwa USA ndo ataweza huyu kama Ukraine tu anapigana nae hadi leoo
Jamaa ana ID nyingi kweli.Inawezekana ndiye Yericko mwenyewe.
Kwahiyo tuongeze na hii " Urusi sio Kenya" au sio??Walisema Kaishiwa Silaha mara Msosi
Walijua Urusi ni Kenya
Unatumia nguvu kubwa Sana mkuu, Inabid ujue kuna watu hawajui kama hii migogoro ni ya kihistoria, wanabisha ovyo tu.Lkn na Marekani hana moral authority ya kumshambulia Mrusi;Mrusi at least ana fight vita professionally kwa mujibu wa International Law e.g. Wakati wa vita hii at least unasikia Mrusi anaruhusu Humanitarian corridors ku-flee civilians waweze ku-escape to safer place.Hebu nambie wakati NATO anapiga syria,Iraq au Libya uliwahi kusikia kitu hicho?NATO alikuwa anajiulia waarabu anavyotaka bila kujali ubinadamu.Sasa Mrusi unamletea Adui Sebuleni unatakiwa afanyeje?kaongea na US na NATO for 10 years wasi-expand eastward lkn wamem-ignore then vita was last resort kwani comedian zelensiky sasa ndio anaona reality ya vita kuwa siyo sinema za hollywood.Tujikumbushe mwaka 1962 wakati Mrusi alipoweka Missile zake CUBA mbona Marekani alikuja juu manowari zake za kivita zikaizunguka Cuba kwa sababu aliona usalama wake upo mashakani kwani Adui Mrusi kaja kuweka kambi sebuleni,Je Cuba haikuwa Nchi huru-A Sovereign State?Kwa nini iwe sawa kwa Ukraine kujiunga NATO na kuwakaribisha NATO lkn haikuwa sawa kwa CUBA kumkaribisha Mrusi? AMERICA NA WEST EUROPE wao na Media zao ni wanafiki watupu. ni kama ambavyo Tanzania hatuwezi kuruhusu adui yetu kuweka kambi Zanzibar,au unafikiri kwa nini tunabembeleza muungano wakati hatuna economiv benefits kihivyo?
MY TAKE;Nasimama na Putin piga hao vibaraka wa wakoloni ili dunia iwe na balance of power
Duh kwel kusoma kazi.Maandiko yoootr yaliopo hapa jukwaan bado unakuja na swal kama hil hpa mzee?? 😁Hakuna msingi wowote hapo. Kwani Ukraine ikiingia NATO urusi anadhurika nini!!!
Mkuu muungano zanzibar hatubembelezi...ni lazima.watake...wasitake...yan pale ndio crimea yetu sie warus wa east africa!😂😂k.... ni kama ambavyo Tanzania hatuwezi kuruhusu adui yetu kuweka kambi Zanzibar,au unafikiri kwa nini tunabembeleza muungano wakati hatuna economiv benefits kihivyo
MY TAKE;Nasimama na Putin piga hao vibaraka wa wakoloni ili dunia iwe na balance of power
Hujajibu swali, sababu ya wao kuisaidia Ukraine ni ipi? Wanawapenda sana wa Ukraine? Au wanapenda sana haki za binadamu? Wanapenda sana sovereignity ya kila nchi? Sababu ni ipi?
Kuna Siri nzito Kati ya marekani na ukrane katika hii vitaNiko na Russia mmarekani katuchelewesha sana [emoji1787]
Kuna Siri nzito hapo ngoja nikafungue makabrasha yangu nitarudi.Nikuulize swali rahisi sana, kwanini USA anamsaidia Ukraine katika hili, wanapenda sana haki za binadamu au ni nini? Tuanzie hapo
And not only powerful but also superpower countryFree country is only powerful country and Ukraine ain't got that power.
Wakati wa uvamizi wa America dhidi ya Taliban led Afghanistan,na ule wa Iraq,nilikuwa bado sijamiliki smartphone.Tuonyeshe Ni wapi uliwahi kukemea uvamizi wa US/NATO.
Taarifa za kiintelijensia zilionyesha kwamba USA anampango wa kupeleka silaha za Nyuklia Ukraine endapo itajiunga, na Ukraine ipo karibu sana kimipaka (mpaka mrefu zaidi) na Russia, hivyo ni hatari kwa usalama wa Russia.Huu mfano hauendani na mada
.....labda ungetafiti majirani wa Urusi walio wanachama wa NATO ni kina nani, halafu jiulize kwanini hawakuvamiwa wao anavamiwa Ukraine ambaye sio mwanachama.
Kwani Tz inavyopokea misaada ya Marekani huwa inapendwa Sana ?...au Tz kupokea misaada ni sawa ila Ukraine ni haramu ?