Mbezi safarini Arusha

Mbezi safarini Arusha

Preta nimesikitika kwa kweli jimbo la uchaguzi wapi?kama arusha nikufate we niambie wapi tu
nipm namba yako my dia

wee!....subiri nirudi....waziri wa mambo ya ndani atakuwepo jimboni......nitakuwa busy sana nikitumia radio call.......labda nikupe frequency.......
 
Mliopo Arusha.. Hali ya hewa ikoje. Mi nikijaga nafuata baridi..
 
Karibu Arusha amu tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu, ila kuna matapeli wawili hawa hata wakikuimbia nyimbo nyororo vipi usikubali Erickb52 na Filipo hawa huku tumuwawekea vilebo "keep away from children" hawafai kwanza Filipo anamke wake marejesho huyu mwingine anaranda randa tu kama kuku aliekatwa kichwa. You are welcome.
We sema unahisi atakuzidi kete tu....Mwache mgeni apate raha za b52 bhana lol we si upo tu shida yako nini? Kwani utamu unaisha?
 
shostito lara 1....karibu sana Chugga.....nitakupeleka chimbo moja linaitwa.....Schwein......nadhani utalifurahia......au chagua unataka kula turkey wapi....si unajua x-mas ndio kinachungulia......
 
Last edited by a moderator:
shostito lara 1....karibu sana Chugga.....nitakupeleka chimbo moja linaitwa.....Schwein......nadhani utalifurahia......au chagua unataka kula turkey wapi....si unajua x-mas ndio kinachungulia......

Heeeee kumbe ni lara 1 mie nilifikiri amu au tunapata wageni dabo, karibuni wote.

 
Last edited by a moderator:
Najihami ujue shhhhh ongea taratibu.

nashukuru sasa kesho tutaonana au??
Kesho kuna askari namfata kwake ananiambia aanakaa police line baada ya hapo natamani kuonana na nyie japo kiduchu tu
kama hamtojali
 
shostito lara 1....karibu sana Chugga.....nitakupeleka chimbo moja linaitwa.....Schwein......nadhani utalifurahia......au chagua unataka kula turkey wapi....si unajua x-mas ndio kinachungulia......

Hahahaaaaa! Itabidi nijitahidi Turkey tenaaaaa! Nitajitahidi aiseee, sema Dar express saivi hazishikiki booked hadi tarehe 5 januaary!
 
nashukuru sasa kesho tutaonana au??
Kesho kuna askari namfata kwake ananiambia aanakaa police line baada ya hapo natamani kuonana na nyie japo kiduchu tu
kama hamtojali

Shaka ondoa my dear tutaonana..... tuombe uzima maana siku hizi matukio ni mengi.
 
nashukuru sasa kesho tutaonana au??
Kesho kuna askari namfata kwake ananiambia aanakaa police line baada ya hapo natamani kuonana na nyie japo kiduchu tu
kama hamtojali

aaaaahhh......
 
Leo pametulia sana gambachovu kulikuwa na kamvua kadogo ka kutoa vumbi so kwa sasa pametulia mbayaaaaa yan safi sana Gee Cee

naona mtu mzima anaulizia hali ya hewa sijui ni mkulima wa kahawa kule juu Umeru!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom