Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

Ni mchaga mwenzako huyo!
Ninyi tulieni kwa kuwa tuliwazidi kete tukamuua bwana chato baada ya kupata msaada kutoka kwa kitengo cha haki cha Serikali ya Marekani.

Kwa kufa bwana chato ni mlipigwa tatu sifuri kwa hiyo tulia kama kifaranga wa kuku ambae kanyeshewa mvua.Toka lini mtu aliepigwa tatu sifuri akawa na kiherehere cha kusumbua?Huoni kuwa huo ni utovu wa nidhamu kwa aliekufunga goli tamu?Mungu bariki sana kitengo cha haki cha serikali ya marekani.
 
Yawezekana wote tukamshambulia huyo dada, lakini kwa upande mwingine wa shilling huwenda alikuwa na machungu na jasho lake kwa huyo mpz wake ambaye kaamua kuumwaga ili kimwana mwezake afaidi...hatujui wametoka naye wapi...na kachangia kiasi gani mafanikio ya jamaa.

Kupotezeana muda huwa ndiyo machungu makuu wanayopata wasichana wengi...unaishi na mpz miaka 5 hadi hata 8 afu unambwaga unatafuta kimwana mwingine unaoa..hii si haki kabisa, na mbaya zaidi sheria zetu hazitambui kipengele hiki cha kupotezeana muda.

Alichokosea huyu dada ambacho wengi wanamukukumu nacho ki kitendo cha kufanya kosa... kwa kweli hapa ndipo alipokosea.. nafikri baada ya kukosa room ya kusemea na kusikilizwa.

Ila sasa jamii ijifunze kwamba kuna kina dada wengi sana wanaumia rohoni kwa mambo haya...miaka 5 hadi 10 mnahangaikia maisha hamjaoana...afu mambo safi jamaa anakumwaga anaoa kidosho kingime unaanza kula naye bata huku ukishuhudia - hapana hii si haki sheria zetu zilimulike hili ili kuwe na fidia.

Wanaume kwa hili na sisi tunakosea...!!
 
Yawezekana wote tukamshambulia huyo dada, lakini kwa upende mwingine wa shilling huwenda alikuwa na machungu na jasho lake kwa huyo mpz wake ambaye kaamua kuumwaga ili kimwana mwezake afaidi...hatujui wametoka naye wapi...na kachangia kiasi gani mafanikio ya jamaa.

Kupotezeana muda huwa ndiyo machungu makuu wanayopata wasichana wengi...unaishi na mpz miaka 5 hadi hata 8 afu unambwaga unatafuta kimwana mwingine unaoa..hii si haki kabisa, na mbaya zaidi sheria zetu hazitambui kipengele hiki cha kuporezeana muda.

Alichokosea huyu dada ambacho wengi wanamukukumu nacho ki kitendo cha kufanya kosa... kwa kweli hapa ndipo alipokosea..

Ila sasa jamii ijifunze kwamba kuna kina dada wengi sana wanaumia rohoni kwa mambo haya...miaka 5 hadi 10 mnahangaikia maisha hamjaoana...afu mambo safi jamaa anakumwaga anaoa kidosho kingime unaanza kula naye bata - hapana hii si haki sheria zetu zilimulike hili ili kuwe na fidia.

Wanaume kwa hili na sisi tunakosea...!!
Hata kama! Kwahiyo adhabu ndo uchome nyumba? Hiyo ni kesi!
Pia kama una hayo machungu kwanini uwe mkorofi hadi uachike? Maana matunda ya ujeuri ni kuachwa!
 
Hello, Brenda. I want to play a game. An officer will try to save you. If he is successful, then your game begins. This man will use these photos to sentence you for your crimes and the only way to stop him is taped underneath the TV. Let him save you and accept your fate to rot in prison, or kill him and guarantee your freedom. Make your choice.
Daaaahhh...umenikumbusha mbali sana mdau!!.
 
Back
Top Bottom