Mzee atuhumiwa kuchoma nyumba ya mpenzi wake

ILISACHA

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
1,977
3,524
Ni ajabu kwa karne hii bado kuna watu wanaamini kupitia kwa waganga wa kienyeji wanaweza kutatua shida/matatizo yanayowakabili. Sikia hii.

Nestory John (52) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba ya mpenzi wake, Eva Stephano na kusababisha vifo vya watu watatu Desemba 07 mwaka huu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Kamanda wa Polisi moani humo, Wilbroad Mutafungwa ameeleza kuwa baada ya mtuhumiwa
kutekeleza tukio hilo, alikimbilia kwa mganga wa kienyeji kuanguliwa ili asiweze kukamatwa na
polisi.

12:17
IMG_7441.jpg

Ombi:
Wanawake acheni kuchanganya wanaume, wanaume pia kabla hujafanya jambo fikiri mara 2
faida ya ukifanyacho au mwisho wake itakuweje?
 
Ni ajabu kwa karne hii bado kuna watu wanaamini kupitia kwa waganga wa kienyeji wanaweza kutatua shida/matatizo yanayowakabili. Sikia hii,
Hii sentence inahusiana vipi na taarifa uliyoleta?
 
Huko alikokimbilia ili afanyiwe kinga ya dawa asikamatwe kumemponza means aliamini jambo lingewezekana na pengine alipata ushauri kabla hajachoma nyumba kwa miaka hii waganga wapiga ramli hawana msaada na hawafai
 
Ni ajabu kwa karne hii bado kuna watu wanaamini kupitia kwa waganga wa kienyeji wanaweza kutatua shida/matatizo yanayowakabili. Sikia hii.

Nestory John (52) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba ya mpenzi wake, Eva Stephano na kusababisha vifo vya watu watatu Desemba 07 mwaka huu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Kamanda wa Polisi moani humo, Wilbroad Mutafungwa ameeleza kuwa baada ya mtuhumiwa
kutekeleza tukio hilo, alikimbilia kwa mganga wa kienyeji kuanguliwa ili asiweze kukamatwa na
polisi.

12:17
View attachment 2848950
Ombi:
Wanawake acheni kuchanganya wanaume, wanaume pia kabla hujafanya jambo fikiri mara 2
faida ya ukifanyacho au mwisho wake itakuweje?
Kamanda wa Polisi moani humo, Wilbroad Mutafungwa ameeleza kuwa baada ya mtuhumiwa
kutekeleza tukio hilo, alikimbilia kwa mganga wa kienyeji kuanguliwa ili asiweze kukamatwa na
polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanahonga sana Sasa wakishaachwa wanahamishia hasira kwenye mali walizo honga.

52yrs bado unahangaika na mademu?

Ni kama huna Malengo kwenye maisha yako.
 
Back
Top Bottom