Nasikia polisi wamenyosha mikono mbele ya machinga wa Mbeya.
Nimesoma michango mingi sana katika hii nyuzi, inavyoonekana wengi wetu tupo kisiasa zaidi! sawa inawezekana ni mzizi wa kila kitu sikatai, lakini KANDORO kusafisha jiji ni sahihi ila nafikiri mbinu aliyoitumia si sahihi. Kuna mmoja humu kaongelea ushawishi wa kukaa na wahusika na kuwaonyesha madhara na faida wa kusudio. Nafikiri hii mbinu KANDORO hakuitumia. Pili alitakiwa ajue anapowatoa wanachinga anawapelea wapi na ni kwavipi hilo eneo jipya atakalowapeleka wanunuzi watavutiwaje kupafikia.Yote hayo kwa sababu ya mtu mmoja tu Kandoro kujitia amekuja na mbinu mpya ya kusafisha jiji! [/QU
Labda niongelee kwamba Watanzania hatuna tabia ya Usafi na utaratibu, si sahihi wafanyabiashara kufanya biashara zao kila sehemu, kwanza inasababisha uchafu. Kwa ambao mmebahatika kutembelea nchi za wenzetu mtakubaliana na mimi.Mimi nasema wazo si baya katu ila mbinu iliyotumika ndiyo haikufaa. Kandoro amesahau tabia yametokana na mazoea ya siku nyingi yanahitaji busara kumuelimisha mtu afahamu
Nimesoma michango mingi sana katika hii nyuzi, inavyoonekana wengi wetu tupo kisiasa zaidi! sawa inawezekana ni mzizi wa kila kitu sikatai, lakini KANDORO kusafisha jiji ni sahihi ila nafikiri mbinu aliyoitumia si sahihi. Kuna mmoja humu kaongelea ushawishi wa kukaa na wahusika na kuwaonyesha madhara na faida wa kusudio. Nafikiri hii mbinu KANDORO hakuitumia. Pili alitakiwa ajue anapowatoa wanachinga anawapelea wapi na ni kwavipi hilo eneo jipya atakalowapeleka wanunuzi watavutiwaje kupafikia.

ni kweli watanzania hatuna tabia ya usafi na utaratibu na mfano halisi ni kikwete na serikali yake; wala si wananchi wa Mbeya.
Nimesoma michango mingi sana katika hii nyuzi, inavyoonekana wengi wetu tupo kisiasa zaidi! sawa inawezekana ni mzizi wa kila kitu sikatai, lakini KANDORO kusafisha jiji ni sahihi ila nafikiri mbinu aliyoitumia si sahihi. Kuna mmoja humu kaongelea ushawishi wa kukaa na wahusika na kuwaonyesha madhara na faida wa kusudio. Nafikiri hii mbinu KANDORO hakuitumia. Pili alitakiwa ajue anapowatoa wanachinga anawapelea wapi na ni kwavipi hilo eneo jipya atakalowapeleka wanunuzi watavutiwaje kupafikia.
Labda niongelee kwamba Watanzania hatuna tabia ya Usafi na utaratibu, si sahihi wafanyabiashara kufanya biashara zao kila sehemu, kwanza inasababisha uchafu. Kwa ambao mmebahatika kutembelea nchi za wenzetu mtakubaliana na mimi.Mimi nasema wazo si baya katu ila mbinu iliyotumika ndiyo haikufaa. Kandoro amesahau tabia yametokana na mazoea ya siku nyingi yanahitaji busara kumuelimisha mtu afahamu
chanzo chake siyo usafi kama wengi wanavyoongea hapa ukweli ni kuwa wamachinga walitakiwa waondoke eneo hilo bila kutafutiwa eneo jingine. kwa maelezo zaidi soma hapa
http://kalulunga.blogspot.com/2011/11/vurugu-mbeya-hatari-tupu.html
wamachinga wamegoma kulala sasa wamefanikiwa kuwadhibiti polisi na hatimaye wapo mwanjelwa na wanasema wanaelekea mjini mpaka ofisi ya mkuu wa mkoa. wasiwasi upo sehemu ya sheli ambapo zipo benki na ulinzi ni mkali kuhofia wamachinga kuchoma kituo cha mafuta na benki
Kandolo ye yuko wapi muda huu, kwani ngoma inogile mpaka saa hizi?