Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,514
Mbeya bado kimewaka wazeee Uyole hapakaliki!nimeongea narafiki yangu muda si mrefu hali bado tete wanyakyusa wamekomaa milio ya risasi na mabomu bado yanalindima. polisi na JWTZ wapo barabarani tuombe mungu. wananchi wantaka kandoro aondolewe ndani ya masaa 24 otherwise mbeya haitakalika