Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

Mi naona polisi wako kwenye mazoezi. Ili wakati ukifika wa kuambiwa tuwe mashoga kwa nguvu. Wawe na uzoefu.
 
Kwa kweli huyu kikwete ni janga la kitaifa, anataka kuleta maafa makubwa kabisa hapa Tz..anataka kuipeleka wapi hili nchi iliyojaliwa kila aina ya utajiri na Muumba?
 
Hivi unaongea nini hapa ?
Naongea nini! We subiri tu, subiri serikali ikisema "jamaniee! Si mnaona tunanywimwa misaada. Basi wananchi kuweni mashoga" Tukigoma tu, jamaa wanaingia mtaani na mabunduki yao...JAMANI WATU WETU WA MBEYA MSILALE LEO, ENDELEENI KUTUJUZA.
 
Nimesoma michango mingi sana katika hii nyuzi, inavyoonekana wengi wetu tupo kisiasa zaidi! sawa inawezekana ni mzizi wa kila kitu sikatai, lakini KANDORO kusafisha jiji ni sahihi ila nafikiri mbinu aliyoitumia si sahihi. Kuna mmoja humu kaongelea ushawishi wa kukaa na wahusika na kuwaonyesha madhara na faida wa kusudio. Nafikiri hii mbinu KANDORO hakuitumia. Pili alitakiwa ajue anapowatoa wanachinga anawapelea wapi na ni kwavipi hilo eneo jipya atakalowapeleka wanunuzi watavutiwaje kupafikia.
Labda niongelee kwamba Watanzania hatuna tabia ya Usafi na utaratibu, si sahihi wafanyabiashara kufanya biashara zao kila sehemu, kwanza inasababisha uchafu. Kwa ambao mmebahatika kutembelea nchi za wenzetu mtakubaliana na mimi.Mimi nasema wazo si baya katu ila mbinu iliyotumika ndiyo haikufaa. Kandoro amesahau tabia yametokana na mazoea ya siku nyingi yanahitaji busara kumuelimisha mtu afahamu

Mkuu watu wengi wanashusha lawama kwa serikali zetu kwa sababu moja tu! Nchi hii hatuna utaratibu wa MIPANGO MIJI, majiji ni ya kisiasa so ni lazima watu wajadili kisiasa.
Katika ulimwengu wa sasa miji inabuniwa na mamlaka husika afu wananchi wanakaribishwa kuwa sehemu ya utekelezaji,
umuhimu wa mamlaka kuandaa miji ni kwamba miundombinu yote muhimu itapelekwa kabla ya watu kwenda,
pia watu ni lazima watafuata eneo ambalo linamahitaji yote muhimu, hebu tukumbushane ni sehemu gani hapa kwetu mamlaka imewahi kubuni mji afu watu wakakataa? Jikumbushe kisa cha kitongoji cha sinza dar na mradi wa UCLASS uliofilisiwa kisiasa, leo hii sinza haifai kila kitu shagharabagara!
Umejaribu kujenga hoja kwa mbali ionekane kwamba watz ni watu wa hovyo na wachafu hii hata kama ni kweli ila bado mtz atakuwa wa mwisho kulaumiwa, ni sawa na kisa cha baba na mwana.
Maana yangu ni kwamba watz ni watu wa hovyo sababu tumejengwa kuwa watu wa hovyo na mamlaka zetu!
Wananchi wa hovyo wanaanzisha miji yao ya hovyo afu inakuja mamlaka iliyoshindwa hata kuanzisha hlo jukumu lake na kuanza kuwapangia utaratibu.... Achilia mbali kuchoma masoko ya umma. Hii haiwezekani,
HATUWEZI KUENDELEA NAMNA HII.
 
Tunapambana na watu waliokata tamaa tukidhani wataweza kutioi sheria na kanuni, tujiandalie upya!!
 
Ukiangalia matendo yanayoanywa na viongozi wa CCM kwa kuwaamrisha polisi kufanya vurugu hizi, ni dhahiri mchoraji wa katuni hii atakuwa ana mantiki juu ya watu wa aina gani wanaotuongoza kwa sasa.

311201_10150295681443591_785093590_7891469_1013505575_n.jpg
Post of the year!!!
 
arusha
mbeya
mwanza
tarime
...................nchi na iamke usingizini.
Mdogo mdooooooooooooogo kama Libya, mana hizo hekaheka kwenye picha nkama wapo katika viunga vya Bengazi. Wananchi piganieni haki zenu kwa nguvu zote kwani hii Serikali inajifanye hamnazo.

Nadhani kwa mikiki mikiki hii tutaelewana tu. Na hawa polisi wanaojifanya vibichwa mkuki wakati usiku tunabanana nao kwenye majumba ya kupanga mitaani, nadhani tutaitiane nao mtaani wakisharudisha mabomu ofisini.
 
Mbeya kazi iwe moja tu kuwaonesha kwamba umma ndo iliyowaweka na siyo vinginevyo..msichoke kwanza wanataka kuwaondolea wabunge wenu wapendwa hapo..pambaneni nao hao polisi si lolote... polisi mabomu yatazoeleka tu kuna siku itakuwa zamu yenu..viongozi wanatumia masaburi nimewaona katika awamu hii ya uongozi, wamachinga mnawambia tokeni waende wapi? hivi nyinyi mmesoma au nafasi za kufaamiana tu? POLISI NYINYI NI ELIMU NDOGO AU BUSARA ZENU NI KAMA VYETI VYENU VYA SHULE? MAANA NASIKIA WOTE NYINYI NI FORM FOUR POINT 28-30...mtu mmoja anawaamurisha tena kwa masilahi yao unamuumiza ndg yako bila kosa kweli mna ubongo wa cemeny nyinyi!
 
Mbeya mabomu yanasikika hadi sasa hali ni tete jamaa wanaua wananchi wenzetu ingawa wanasema neno la Mungu linasema hakuna dola isiyo halali lakini nafikiri hii dola ni ya kishetani wala haijawekwa na mamlaka ya Mungu,Mungu ameishailaani
 
Chadema wakichukuwa nchi machinga wataruhusiwa kila mtaa..
 
mkuu wewe huna hata manati??
unajua usiku bana raha sana..........unajificha chini ya mwembe,,,,,,,una rundo la mawe ya manati, ukisikia gari ya FFU, wewe unafurumusha tu!!!

Lakini mwisho wa yote ni mshale....mshale hausemi uongo!!!
 
Chadema wakichukuwa nchi machinga wataruhusiwa kila mtaa..

How does Chadema come in here? hivi wewe una roho ya binadamu wewe? kwanini comments zako hata siku moja either haziko neutral au zina mushkeli tu na lazima ziingize topics au information ambayo haijulikani hata ilipotokea...hebu uwe unarudi nyuma na kujiuliza imani uliyo nayo kama unaionyesha hata kimatendo au imani ni tofauti na matendo na uchungu anaopata binadamu yeyote kwako hauna maana!
 
Chadema wakichukuwa nchi machinga wataruhusiwa kila mtaa..
Mkuu watu wengi wanashusha lawama kwa serikali zetu kwa sababu moja tu! Nchi hii hatuna utaratibu wa MIPANGO MIJI, majiji ni ya kisiasa so ni lazima watu wajadili kisiasa.
Katika ulimwengu wa sasa miji inabuniwa na mamlaka husika afu wananchi wanakaribishwa kuwa sehemu ya utekelezaji,
umuhimu wa mamlaka kuandaa miji ni kwamba miundombinu yote muhimu itapelekwa kabla ya watu kwenda,
pia watu ni lazima watafuata eneo ambalo linamahitaji yote muhimu, hebu tukumbushane ni sehemu gani hapa kwetu mamlaka imewahi kubuni mji afu watu wakakataa? Jikumbushe kisa cha kitongoji cha sinza dar na mradi wa UCLASS uliofilisiwa kisiasa, leo hii sinza haifai kila kitu shagharabagara!
Umejaribu kujenga hoja kwa mbali ionekane kwamba watz ni watu wa hovyo na wachafu hii hata kama ni kweli ila bado mtz atakuwa wa mwisho kulaumiwa, ni sawa na kisa cha baba na mwana.
Maana yangu ni kwamba watz ni watu wa hovyo sababu tumejengwa kuwa watu wa hovyo na mamlaka zetu!
Wananchi wa hovyo wanaanzisha miji yao ya hovyo afu inakuja mamlaka iliyoshindwa hata kuanzisha hlo jukumu lake na kuanza kuwapangia utaratibu.... Achilia mbali kuchoma masoko ya umma. Hii haiwezekani,
HATUWEZI KUENDELEA NAMNA HII.
Akili yako ukichanganya na ya Mbayuwayu bado hamuwezi kutambua hili!!!!
 
1. Utashangaa kina mtoto wa mlimaji wanalaumu chadema badala ya kandoro???? ''' what a shame?
2. Kwa nini matatizo ya fujo na uonevu ni maeneo ya cdm zaidi????''' kuna mkono wa mtu!!'''
3. '''''''' waswahili wanasema usipoziba ufa utajenga ukuta!!!''''

mwisho wa chama cha magamba umekaribia sana...tena ...upo mlangoni...

peoples.....power!
 
Back
Top Bottom