Chadema wakichukuwa nchi machinga wataruhusiwa kila mtaa..
how does chadema come in here? Hivi wewe una roho ya binadamu wewe? Kwanini comments zako hata siku moja either haziko neutral au zina mushkeli tu na lazima ziingize topics au information ambayo haijulikani hata ilipotokea...hebu uwe unarudi nyuma na kujiuliza imani uliyo nayo kama unaionyesha hata kimatendo au imani ni tofauti na matendo na uchungu anaopata binadamu yeyote kwako hauna maana!
Nasikia Mbeya hakupitiki mwenye taarifa zaidi atujuze
BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya washindwa tuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCM
![]()
majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi
![]()
Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.
![]()
Hali Badi ni Mbaya sana Kumefuka
Breaking Nuuuz: Machafuko Makubwa Mwanjelwa Mkoani Mbeya Polisi na Machinga wapigana vikali
![]()
Polisi wakijaribu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga
![]()
Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo
![]()
Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto
![]()
Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo
Picha zote na Mpiga picha wetu maalum
Nimesoma michango mingi sana katika hii nyuzi, inavyoonekana wengi wetu tupo kisiasa zaidi! sawa inawezekana ni mzizi wa kila kitu sikatai, lakini KANDORO kusafisha jiji ni sahihi ila nafikiri mbinu aliyoitumia si sahihi. Kuna mmoja humu kaongelea ushawishi wa kukaa na wahusika na kuwaonyesha madhara na faida wa kusudio. Nafikiri hii mbinu KANDORO hakuitumia. Pili alitakiwa ajue anapowatoa wanachinga anawapelea wapi na ni kwavipi hilo eneo jipya atakalowapeleka wanunuzi watavutiwaje kupafikia.
Labda niongelee kwamba Watanzania hatuna tabia ya Usafi na utaratibu, si sahihi wafanyabiashara kufanya biashara zao kila sehemu, kwanza inasababisha uchafu. Kwa ambao mmebahatika kutembelea nchi za wenzetu mtakubaliana na mimi.Mimi nasema wazo si baya katu ila mbinu iliyotumika ndiyo haikufaa. Kandoro amesahau tabia yametokana na mazoea ya siku nyingi yanahitaji busara kumuelimisha mtu afahamu
Umesema sawa kabisa kuwa watanzania hatuna tabia ya kuzingatia usafi na taratibu, lakini Kandoro alitakiwa kutumia busara ktk namna ya kuwaondoa! Na bado ccm watapata shida mpaka watajifunza kuwa hizi ni nyakati nyingine!
Akili yako ukichanganya na ya Mbayuwayu bado hamuwezi kutambua hili!!!!
Hata siku mwehu akinya karibu na geti la ikulu, watasema CDM.1. Utashangaa kina mtoto wa mlimaji wanalaumu chadema badala ya kandoro???? ''' what a shame?
2. Kwa nini matatizo ya fujo na uonevu ni maeneo ya cdm zaidi????''' kuna mkono wa mtu!!'''
3. '''''''' waswahili wanasema usipoziba ufa utajenga ukuta!!!''''
mwisho wa chama cha magamba umekaribia sana...tena ...upo mlangoni...
peoples.....power!
Muulize pacha mwenzako kilichowafanya wapwa wake wawe walalamishi tuuuu!!!Ahaa! Kumbe wewe Akili ukwaju!
Chadema wakichukuwa nchi machinga wataruhusiwa kila mtaa..
Unajua MaryGeorge watu wengine bila kuchomeka neno Chadema huwa hawana cha kujadili wanalazimisha hata pasipo lengo lake waanze kubishana.How does Chadema come in here? hivi wewe una roho ya binadamu wewe? kwanini comments zako hata siku moja either haziko neutral au zina mushkeli tu na lazima ziingize topics au information ambayo haijulikani hata ilipotokea...hebu uwe unarudi nyuma na kujiuliza imani uliyo nayo kama unaionyesha hata kimatendo au imani ni tofauti na matendo na uchungu anaopata binadamu yeyote kwako hauna maana!
natamani kulia ila moyo unaniuma c kwasababu mimi mtu wa mbeya hapana bali nimuonapo mzee kama huyu aliyepigwa risasi kichwani na mwengine na hata mtoto akikimbia kama kafungwa injini ya pikipiki kweli naumia sana leo ni kwetu mbeya na je kesho cjui kwa kina mangi na wasukuma na haata pia shemeji zangu wasambaa na wazigula.