Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

Hali halisi matatizo kama haya yataendelea kuwepo endapo viongozi wetu watakuwa si wepesi wa kusoma alama za nyakati, kwa mtazamo wangu tatizo lipo katika kwa viongozi wetu kujaribu kuleta mabadiliko pasipo kuangalia mazingira, ikiwa ni pamoja na kupata ushauri wa kutosha kwa vyombo vyote yaani wadau wenyewe, usalama wa taifa, viongozi ktk maana ya wawakilishi wa wananchi. pili badonaona lipo tatizo la msingi ktk mahusiano yaliyopo kwa serikali za mitaa na serikali kuu hasa pale inapojitokeza s/kuu kutoa mipango ya jumlajumla/maamuzi ya jumla ktk kuzitaka serikali za mitaa kufanyia kazi pasipo kuzingatia mazingira, utayari wa halmashauri ktk kutekeleza ikiwepo maandalizi ya kutosha kabla na hata baada ya utekelezaji. Mwanya huu unonekana zaidi kama tukio la leo mby ambapo machinga wanondoshwa kwa maamuzi yanayosimamiwa na mkoa wangari hajafanya maandalizi ya kutosha wapi wahusika waende/ na mbaya zaidi kwa nguvu pasipo uwepo wa mashauriano wa kutosha kwa pande mbili, mfano ni namna tu masoko yalivyoungua lakini pasipo majibu ya kutosha na namna uongozi wetu wa mkoa ulivyochukua hautua kwa upande mmoja, na fursa/nafasi waliyoitoa kwa wajasilimali walioathirika ktk kipindi hiki kabla hata ya kufikia hatua ya timuatimua, na hasa ukizingatia most of chinga wa leo ni wale waliounguliwa mali zao kwa mfululizo.


lakini pia hali inazidi kuwa mbaya zaidi inapoonekana zoezi linaandamana na sura ya kuwakomoa kwa zana ya kwamba wamechagua opposition, sasa wakione ni jambo jingine baya, kuchaguliwa kwa sugu hakuna tatizo anastahili apewe nafasi, kwa maslahi ya mbeya kama ambavyo tunawaasa cdm kutambua umuhimu wa kuheshimu maamuzi ya vikao na kushauriana na serikali kwa njia inayofaa badala ya maandamano/kauli chochezi kama kuwataka wananchi kupiga mawe polisi/mgambo wa jiji wanapotaka kutekeleza wajibu wao.
 
Wana Jf niko mlima nyoka natokea mbeya kuja dar jioni hii nimepishana na defender kama tano za FFU Zinaelekea mbeya naona wameomba msaada toka Iringa.
FFU inaonekana ni wachache sana!Sasa na huko Iringa kama kukiwaka watarudi ama watapeleka wa mkoa gani?
 
hawa jamaa wa mbeya wanaonekana wapole lakini wakichefukwa wanakua wakatili mno.kama ffu wanatoka iringa kuja kuokoa jahazi nina wasiwasi wale wachuna ngozi wa mbozi wataitwa kusaidia wamachinga.ngoma bado mbichi.
 
i have always dreaded killing any living creature - labda wadudu kama inzi/mbu tu.
leo hii i feel like strangling a HUMAN BEING!

abasikali bosa banyongele ingafi!
abafisadi bala ba-ccm banyongele ingafi bosa!
kandoro na binake bosa banyongele ngafi!
 
Ahsante wanambeya, endelea kupambana, serikali tumeiweka sisi kwa hiyo inabidi wakubali kufuata tunayotaka wananchi.
Watapigana kwa risasi kwakuwa wanazo sisi hatuna lakini tusikate tamaa!

Kama vipi usiku nondo mwendo mmoja kwa hao polisi
 
Ukiangalia matendo yanayoanywa na viongozi wa CCM kwa kuwaamrisha polisi kufanya vurugu hizi, ni dhahiri mchoraji wa katuni hii atakuwa ana mantiki juu ya watu wa aina gani wanaotuongoza kwa sasa.

311201_10150295681443591_785093590_7891469_1013505575_n.jpg
 
Wana Jf niko mlima nyoka natokea mbeya kuja dar jioni hii nimepishana na defender kama tano za FFU Zinaelekea mbeya naona wameomba msaada toka Iringa.

Kama wamekodi FFU tutegemee mauaji zaidi maana hao hawana cha kupoteza watapiga na kurudi kwao.
 
Ukiangalia matendo yanayoanywa na viongozi wa CCM kwa kuwaamrisha polisi kufanya vurugu hizi, ni dhahiri mchoraji wa katuni hii atakuwa ana mantiki juu ya watu wa aina gani wanaotuongoza kwa sasa.

311201_10150295681443591_785093590_7891469_1013505575_n.jpg
Hawa kweli wamekua fisi
risasi kwa wananchi wasiokua na silaha?
 
nawapa pole wanchi wa jiji la mbeya na vitongoji vyake kwa haya yote yanayotokea huko
 
Wana Jf niko mlima nyoka natokea mbeya kuja dar jioni hii nimepishana na defender kama tano za FFU Zinaelekea mbeya naona wameomba msaada toka Iringa.
Kama Iringa nao wakilianzisha itabidi waombe msaada Morogoro, hii nchi bana ishakuwa tabu.
 
hii ndo tanzania nayoijua watu wa mbeya wanajitambua bwana utawaambia nini

wamechoma ktuo cha polisi ilomba waTZ wote tungekuwa hivi nahisi ingekuwa ka Libya tumemtoa mtu pale juu tunaweka barza la mpito noa waibe co kila cku wanakula wao tu
 

Attachments

  • 337647_190616787686986_100002159993106_420373_120680288_o.jpg
    337647_190616787686986_100002159993106_420373_120680288_o.jpg
    156.2 KB · Views: 75
ingia hpo kwa habari zaid

KALULUNGA COMMUNITY MEDIA TANZANIA: VURUGU MBEYA HATARI TUPU, POLISI NA RAIA WAHOFIA KUUWANA....................ONA PICHA HIZI KWA UFUPI
 
Back
Top Bottom