Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,343
- 24,234
Hivyo ni vipindi vya clients mkuu kama ilivyo kwa vipindi vya VOA pale Bomba fm au vipindi vya Sanitarium Clinics ambazo zina vipindi vinavyokuwa pre recorded au live lakini client anasisitiza ubora,vipo vipindi kama vya shamba darasa chini ya Farm Radio International vinarushwa kwenye baadhi ya stations hapo lakini under strict supervision ya client,hivyo huwa okay tofauti na vipindi ambavyo vipo kwenye schedule rundown ya vituo.
Mkuu nimekutolea mfano halisi nsona sasa unakwepa kiaina.
Kweli redio za FM ni changa Mbeya lakini nime kuwekea radio moja tu , Mbeya Highlands FM iliyoshinda tuzo ya ufadhili kwa kiwago cha kuwa ya kwanza nchini.
Ufadhili huo wa Tanzania Media Fund(TMF) ulikuwa kwa kiwango cha kuipaisha radio hii na kuwa ya kwanza NCHI NZIMA kwa mwaka 2014/2015.
Nimekusisituzia kuwa kile radio hii ilichofanya kwa kujumuisha wananchi kuona matatizo ya sekta ya Maji mkoani Mbeya ndo kilipelekea waziri mdogo wa Maji kwenda Mbeys kujionea mwenyewe matstizo ya Maji.
Jata Kamati ya Bunge ya Maji ilitembelea Mkoa huo baada ys habari za Maji kujitikeza toka kwa wananchi.
Sasa kugutuka huko kwa serikali which is a positive move, we ulitaka badala yske iwe vipi.
Umekazanis semantics, na huo mfano mmoja ndo unakuumbua.