N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,993
- 12,044
Nasema ni kero kwa sababu hizo Fm Radios Mbeya zina watangazaji wasiozingatia weledi na hawana ubunifu, watangazaji wanabanyanga sana Kiswahili, sijui ndo wamiliki kushindwa kuwalipa?
Kwa ufupi redio za Mbeya hazina mvuto kiasi kwamba wananchi wengi wanapendelea kusikiliza radio za nje KV Ebony FM na za Dar.
Redio za Mbeya zenye nafuu ni kama tatu tu nje ya karibia redio 13, nazo ni UU-FM, Bomba Fm na Mbeya Fm.
Orodha ya redio Mbeya:
1 Mbeya Fm
2. Ushindi Fm
3. Ilasi Fm
4. Highlands Fm
5. Kyela Fm
6. Sweet Fm
7. Generation Fm
8. Baraka Fm
9. Chai Fm
10. Bomba Fm
11. Kuna moja ipo Uyole mpya
12. Mpanji Fm
13. Orodha ingali inaendelea...
Hebu kuweni wabunifu, ajirini vijana wenye weledi na sifa za utangazaji. Mnachosha na hamsikiliziki na watu makini.
Nimefanya huu utafiti kitambo sasa.
By n'yadikwa