Heron
JF-Expert Member
- Oct 4, 2013
- 1,946
- 1,797
Pungu1uongo kama uongo mwingine si mnajifanyaga hamuangalii tibisii
Pungu1uongo kama uongo mwingine si mnajifanyaga hamuangalii tibisii
Kamsifia nini!?....acha ujinga!!...kawadanganye wanao kama unao!!Sio kwamba hatukuungi mkono kwa Kila jambo, kuna mambo mengi sana tunakuunga mkono lakini hawasemi. Kwenye suala la Wamachinga nakuunga sana mkono"* - Joseph Mbilinyi, Mbunge wa Chadema Jimbo la Mbeya Mjini.
#MagufuliLiveMbeya
ExactlyHapo ngosha Meno yote 52 yapo njee, bwana sifa bhana
Lini na nani kamtukana huyo rais?Hotuba ya Mhe Sugu imeisha muda si mrefu na mikono yangu kweli ilikuwa ikitetemeka kutokana na mambo yalokuwa yakizungumzwa na Mhe Sugu, kweli wanasiasa wanakolipeleka taifa hili Mungu anawaona.
Mnapokaa mnamtukana kila uchao mkuu wa nchi bila kujali kwamba nyuma yenu kuna watu wanawafuata ilhali ndani ya mioyo yenu mnajua mnachokifanya sio sahihi Mungu anawaona.
AiseeeeeeeeeBibi Tulia Ackson mifupa tupu yani nahisi bwanake anapatwa na maumivu makali sana akimaliza kumgegeda manake yule Dada mifupa tu ndo inaonekana kila pembe
Ila mbunge ni mmoja wa wenyeji wa rais anapo fanya ziaraMagu naye akampa nafasi mwenyeji wake aongee mbele yake bila kujali upinzani.
Kuna vimeta humu bado hawapendi.
Si ndio.Ila mbunge ni mmoja wa wenyeji wa rais anapo fanya ziara
Si ndio.
Ni kupitia channel pendwa ya Azam Twouongo kama uongo mwingine si mnajifanyaga hamuangalii tibisii