MBEYA: Rais Magufuli ahutubia wananchi Uwanja wa Ruanda Nzovwe. Agusia usajili wa laini na machinga

Sinachama naomba tuongelee Siasa anaeumba nimungu nakilammoja anaumuhimu wake ndiomaana kaumbwa nampaka sasa yupo
Duuuh!!!!
tapatalk_1553854447458.jpeg
 
tatizo ume quote sehemu ya mwendelezo nliomjibu MTU umedandia treni afu unajifanya umeelewa saana wakati zero brain, soma toka mwanzoni utaelewa tulikuwa tunajibishana nn
Umedhihirisha jinsi ulivyo Bashite
 
Nimemzidi Akili,najua wewe uko level moja nae
hahaha pumbavu kabisa akili ipi uliomzidi wewe labda ya kumiliki ID jforum na kitecno hicho, akili ni ujanja Wa kutafta kipato sio kupata Division 1 afu unakufa njaa mtaani na kuja kulialia hapa, yaan MTU kagushi vyet mpaka kapata ukuu Wa mkoa anakula mshahara ambao hata maishani mwako huji kuikamata
 
Kwani mgombea lazima awe mwanamke, CCM tunaweza kuamua mtu yeyote regardless ya jinsia akachukua jimbo, kikubwa sasa hivi wananchi wanaelewa vizuri sana somo, yaani hataki kusikia mporomosha matusi bungeni
unaongea kama upo mbeya endeleeni kujifariji sisi vijana tunajua sugu kama kawaida
 
hahaha pumbavu kabisa akili ipi uliomzidi wewe labda ya kumiliki ID jforum na kitecno hicho, akili ni ujanja Wa kutafta kipato sio kupata Division 1 afu unakufa njaa mtaani na kuja kulialia hapa, yaan MTU kagushi vyet mpaka kapata ukuu Wa mkoa anakula mshahara ambao hata maishani mwako huji kuikamata
Poverty Mentality
 
Endelea kulialia hapa Jf utakula hizo akili, shtuka we mshamba
Mimi sio Maskini kama wewe mwenye Mentality za Ki Maskini kuona eti Zero Brain kufoji vyeti na kupata Madaraka eti ameukata
Nina Elimu ambayo katika ukoo wenu mzima hamna aliye na atakayeifikia, Nime invest pakubwa na ninalipa kodi zote bila ujanja ujanja
Nikwambie Tu kodi ninayolipa Serikalini inatosha kulisha ukoo wenu mzima Kwa Miezi sita bila kufanya kazi
 
Back
Top Bottom