MBEYA: Rais Magufuli ahutubia wananchi Uwanja wa Ruanda Nzovwe. Agusia usajili wa laini na machinga

Sugu kaongea vitu mwenye utimamu ndo anaelewa vzr,mmojawapo mwenye utimamu aliyemuelewa vzr sugu ni huyo Mc.😂😂😂😂😂😋watu waoga kufaaa,hata maneno yanawatisha????
 
*"Mheshimiwa Rais wasikudanganye kwamba hatukupendi, sio kweli, sisi tunakupenda sana, wamemkamata Mwenyekiti kwamba alikuwa akiandaa njama za kukufanyia fujo, hilo sio kweli, mimi nakupenda sana, hatuwezi kufanya vitu kama hivyo"* Joseph Mbilinyi, Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini
 
Sijaelewa kitu mleta mada, au itaendelea badae.Kuna haja ya kupitia mada kabla hujapost humu.
 
..wasaidizi wa Raisi ni waoga kupindukia.

..hiyo imejidhihirisha jinsi walivyojaribu kumkatiza Mh.Sugu wakati wa hotuba yake.

..sina uhakika kama wasaidizi hao wanaweza kumueleza Raisi hali halisi pale mambo yanapoharibika au kwenda mrama.
 
Sio kwamba hatukuungi mkono kwa Kila jambo, kuna mambo mengi sana tunakuunga mkono lakini hawasemi. Kwenye suala la Wamachinga nakuunga sana mkono"* - Joseph Mbilinyi, Mbunge wa Chadema Jimbo la Mbeya Mjini.

#MagufuliLiveMbeya
Kamsifia nini!?....acha ujinga!!...kawadanganye wanao kama unao!!
 
Hotuba ya Mhe Sugu imeisha muda si mrefu na mikono yangu kweli ilikuwa ikitetemeka kutokana na mambo yalokuwa yakizungumzwa na Mhe Sugu, kweli wanasiasa wanakolipeleka taifa hili Mungu anawaona.

Mnapokaa mnamtukana kila uchao mkuu wa nchi bila kujali kwamba nyuma yenu kuna watu wanawafuata ilhali ndani ya mioyo yenu mnajua mnachokifanya sio sahihi Mungu anawaona.
Lini na nani kamtukana huyo rais?
 
Sugu atabaki juu kileleni, ameongea ukweli mtupu hakuna sehemu kaleta unafiki

Tulia ameongea anasema yeye ni machinga na hajasema utata wa kauli za wakuu wa mikoa kuhusu vitambulisho vya rais
 
......
..... Kale ka mama kame nuna balaa... SUGUUU
Haka?
tapatalk_1553854447458.jpeg
 
Back
Top Bottom