MBEYA: Rais Magufuli ahutubia wananchi Uwanja wa Ruanda Nzovwe. Agusia usajili wa laini na machinga

Msimamizi wa uchaguzi jimboni atamchinjilia mbali huyo Sugu.
Nafuatilia mkutano Wa mh rais na wakazi Wa mbeya kwa utangulizi wameongea na kutoa salam viongozi wengi wakiwemo mawaziri,diwani,naibu spika Wa bunge,mkuu Wa mkoa nk

Uwanja ulilipuka kwa shangwe pale alipoitwa mbunge Wa mbeya mjini kuja kusalimia,nikaamini hakika muheshimiwa sugu anakubalika vilivyo mbeya mjini.
 
Watu huwa wanajifanya hawaangalii assume ikikata azam TV wataangalia WAP hizo hotuba

Nb usiniite Wa hovyo mbona we unaakili za lemutuz lakn skumaindi
Na kwanini wakate wagombane na watoza kodi hata kama hawataki wafanyaje?.mapovu yaliwatoka bungeni eti dkt mengi anaonyeshwa itv kuliko raisi.tunaipenda azam/itv tufanye tunawasamehe kwa vipindi vichache kama hivi .
 
Wa Mbeya.
Mama huyo mimi simuhesabu kama mkuu wa mkoa, hana nguvu yoyote kisiasa. Pili hajui kuteka hadhila kwake yeye ubabe ndio sehemu ya kazi. Sioni kama unaweza kumfananisha na Amos au Marehemu yule wa Iringa.
 
Namaanisha ikitokea mistake ya mitambo sio MTU akate mkuu
 
Mama huyo mimi simuhesabu kama mkuu wa mkoa, hana nguvu yoyote kisiasa. Pili hajui kuteka hadhila kwake yeye ubabe ndio sehemu ya kazi. Sioni kama unaweza kumfananisha na Amos au Marehemu yule wa Iringa.
Jiwe ndo kamwagia sifa zote. Na huyu mkuu wa mkoa yupo tayari kufanya lolote Tulia abebe Mbeya. Sugu awe makini tu.
 
Nafuatilia mkutano Wa mh rais na wakazi Wa mbeya kwa utangulizi wameongea na kutoa salam viongozi wengi wakiwemo mawaziri,diwani,naibu spika Wa bunge,mkuu Wa mkoa nk

Uwanja ulilipuka kwa shangwe pale alipoitwa mbunge Wa mbeya mjini kuja kusalimia,nikaamini hakika muheshimiwa sugu anakubalika vilivyo mbeya mjini.
Acha uongo wewe. Hiyo TV unadhani unaangalia mwenyewe. Kwanza hata kelele za wananchi hazisikiki
 
Nafuatilia mkutano Wa mh rais na wakazi Wa mbeya kwa utangulizi wameongea na kutoa salam viongozi wengi wakiwemo mawaziri,diwani,naibu spika Wa bunge,mkuu Wa mkoa nk

Uwanja ulilipuka kwa shangwe pale alipoitwa mbunge Wa mbeya mjini kuja kusalimia,nikaamini hakika muheshimiwa sugu anakubalika vilivyo mbeya mjini.
Sugu hajawahi na haitatokea akawa na mshindani ndani ya mbeya
 
Back
Top Bottom