Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,638
- 4,183
nngukinda itolo bhagwitu!
akina atombile mwakitako wanapatikana pia mbeya
Wanawake wengi ni wanafanyabiashara ya kuuza ndizi mbivu na parachichi ktk vituo vya mabasi hasa uyole huku wamebeba watoto wadogo mgongoni
soko matola kuna kanisa lina hadi a.k.a
mgodi wa makaa ya mawe uko mbeya
gesi nyingi na safi inapatikana mbeya
migodi midogo ya dhahabu mbeya
kiwanda kizuri ca cement mbeya
kimwondo kilichoanguka mbeya
shule nzuri a nyingi sana za sekondary za private mbeya
wasomi wengi wanapatikana/wametokea mbeya
hoteli nzuri na za kisasa zipi mbeya
international airport wanataka kuizuia mbeya
madini(gemstone-pandahill) ambayo hayapatikani sehemu nyingine duniani
watu wakarimu zaidi wanaparikana mbeya
kitu gani nimesahau, yes hospital ya rufaa siyo kitu kidogo
bonde la ufa na matetemeko ya ardhi-mbeya
ziwa nyasa-lenye mawimbi makali
kwanza niendelee kukumbuka ....
akina atombile mwakitako wanapatikana pia mbeya
Bujibuj mbeya