Mbeya na mambo yao

6.Penguine anatokea Mbeya
7. wanawake wenye uasili halisi wa ubantu wanatokea mbeya..wazuri I mean,,
8.Sugu anapatikana Mbeya
9.

prof luhanga - mbeya
prof nkoma- mbeya
joshua mulenga-mbeya
bamfuchile-mbeya
ezekiel jujuman- mbeya
 
Lawlence Mwalusako, Godwin Aswile, Ezekiel Greyson (Jujuman) .... go on, kocha maarufu enzi hizo kufundisha mpira kama wa brazil Dan Korosso anatoka Mbeya.

Kocha wa yanga Mwalubhanda (marehemu) alitoka Mbeya. Wanariadha Genia Mboma na Mwinga Mwanjala kwao Mbeya.
 
Alafu nimewahi kusikia Mbeya ni ya pili kwa idadi kubwa ya Makanisa Afrika, kwa maana ya madhehebu ya kikristu, ikiifuatia Abuja, Nigeria. Kuna mdau anaweza kuthibitisha mimi sina taharifa za kutosha kuthibitisha?

taharifa = taarifa
 
Hapana, mashamba makubwa ya chai nchini yanapatikana Mufindi, mkoani Iringa ambako asilimia 90 ya chai yote inayozalishwa Tanzania na kutumika nchini hupatina na pia kuchangia asilimia 60 ya chai yote inayouzwa nje ya Tanzania
 
Mumesahau.....na mimi - Mbeya.
Home sweet home, tena this december kwenye kalikizo ka-Xmas na Mwaka Mpya nitakuwa Mbeya na Tukuyu.
Kuna ziwa Masoko.
Kuna ziwa la ki volcano linalopatika juu kabisa mlimani (Tukuyu)na bado ukienda utakuta majivu ya volcano hiyo, ni ngumu sana kufika.
Kuna mtafiti mmoja toka nchi za ulaya alipata kusema "Nashindwa kuelewa niishangae vp serikali ya Tanzania, utalii uliopo mkoa wa Mbeya hauongelewi wala kutangazwa popote wao kwao utalii ni wanyaa an mount Kilimanjaro, hawajui kuwa utalii uliopo eneo lile unaweza ku double ule uliopo sasa"
 
Nina mpango wa nitakapokuwa Tukuyu this time, niangalie uwezekano wa kuanzisha aina ya utalii ambao wageni watafikia katika nyumba maalum za wana vijiji na kabla ya kufika watakuwa kupitia mtandao wanachagua activities zilimo kwenye menu ambazo wangependa kushirikiana na wananchi, au kama wangependa kutembelea maeneo tu.
 


...well said buddy! Pia Mbeya ni mkoa pekee ambao wamewahi kuonyesha hisia zao kwa vitendo kwa rais wa nchi kwa kumpopoa kwa mawe!!!
 
...well said buddy! Pia Mbeya ni mkoa pekee ambao wamewahi kuonyesha hisia zao kwa vitendo kwa rais wa nchi kwa kumpopoa kwa mawe!!!

Mwaka 1995 Mkapa alitelekezwa uwanja wa Sokoine. Uwanja ulijaa sana, alipoanza tu kuhutubia, watu wote wakatoka nje
 
na sasa Mbeya vijana wengi wanautajil wakuku na nyoka unaopatikana Tunduma..unakuwa na hela nyingi kwa muda mfupi.
 
Msisahau hata ukimwi uliiingilia huko pia!

Enzi hizo ukiitwa Kizambia! teh teh teh by the way asili yangu ni pale Isange Mwakaleli, Tukuyu(inatamkwa TOKYO) ; Mbeya


...si kweli hapo kwenye red, Ukimwi uliingilia Bukoba (Kagera) ukitokea Uganda. Ila ukweli ni kuwa mkoa wa Mbeya ni mmoja kati ya mikoa yenye kiwango cha juu cha maambukizo ya Ukimwi. Inachuana na mikoa ya Iringa na Dar es Salaam!
 
Kocha wa yanga Mwalubhanda (marehemu) alitoka Mbeya. Wanariadha Genia Mboma na Mwinga Mwanjala kwao Mbeya.
Kocha wa simba na wa taifa oscar koroso alitokea mbeya.wabunge wa wili wa ccm walipewa sumu wametomea mbeya
Rais kupigwa mawe kwa mara ya kwanza. Naipenda mbeya
 
  1. Kule mitaa ya Ilemi kuna kanisa kila baada ya nyumba kumi mengi ya makanisa hayo ni ya kifamilia hayana waumini zaidi ya baba, mama na watoto
  2. Mitaa ya Block T kuna majumba ya kifahari yasiyokaliwa na watu na mengine yameachwa kuoza kutokana na wenyewe kufa kwa Ukimwi
  3. Mitaa ya Mwakibete, Kwa mama John, Isanga na Sai nguruwe aka kitimoto wanaachwa kuzurura mitaani kujitafutia malisho bila kupata malalamiko toka kwa majirani
  4. Jombi pamoja na kuwa aliua na kuacha watu wengi wakiwa vilema kwa sasa anaendesha gereji yake pale Sowoto bila usumbufu wowote.
  5. Wilaya ya Ileje na Mbozi ni mojawapo ya maeneo yenye wafuasi wengi sana wa dini za asili aka wapagani wao siyo Waislam wala Wakristu huko ndiko kwenye matukio mengi ya uchunaji ngozi za watu.
  6. Mji wa Vwawa na Tunduma ni mojawapo ya miji inayokuwa kwa kasi sana. Majumba mengi ya Kifahari yamejengwa na vijana wa kati ya miaka 18-35 huku kukiwa na tetesi kuwa utajiri wao ni wa kishirikina
  7. Kabila la Wanyamwanga lilisifika kwa kula nyama za Watu hadi Nyerere akatuma kikosi cha Wanajeshi kwenda kuwahamisha toka makazi yao ya Asili na kuwahamishia maeneo mengine ikiwemo Songwe. Ndio maana ukisikia ajali imetokea maeneo ya Songwe usishangae kuona wazee wanaenda kuokota nyama za watu badala ya kusaidia majeruhi, Kwao ni chakula na wao ni chanzo cha ajali kwa ushirikina wao
 
Samaki watamu sana ( imbelele ni mbasa), hali ya hewa nzuri na wakati wote kijani, baridi kali sana ( Mwakaleli, kulisu ipimba na mahala mingi) raha, vyote vinapatikana Mbeya
 
Wasomi ma Tanzania One wengi wametoka mbeya
Mbeya kuna ziwa moja sio maarufu sana linaitwa ziwa Gosi, hilo lilivokaa kaa linawatisha watu, inadaiwa lilihamishwa Tukuyu likaja huku mbelembele na Igawilo, hilo ziwa ukiongea kinyakyusa eti linakulamba, mwenye detail kidogo atupe kuhusu hilo ziwa.
Tuliwahi kuzulu hilo ziwa tukakuta kuna mawe mengi ya majina ya watu kama wa nne hivi sio watanzania waliokuwa wanafanya utafiti walipotelea humo humo.
Mbeya kweli kwa Tofauti.
Wanaoumwa magonjwa ya ajabu wanatoka Mbeya (Mwakyembe & Mwandosya)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…