Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,657
- 11,723
Hivi eeh? Nilijua akina Mbilinyi ni Wakinga. Asante kwa marekebisho.mkuu sugu ni mngoni cyo mkinga
Hivi eeh? Nilijua akina Mbilinyi ni Wakinga. Asante kwa marekebisho.mkuu sugu ni mngoni cyo mkinga
sugu ni zaid ya mbunge ndani ya mbeya city utake us'taje lazima ukae!
mtoa hoja hana ufahamu mzuri juu ya ujenzi wa barabara. Hujui barabara ya zege"inayojengwa kwa cement" ndio imara kuliko ya lami? Kama mbeya kuna sehemu ambayo barabara inajengwa kwa zege inatakiwa sugu apewe "big up" kwani hicho ni kiwango cha kimataifa
hawajui mbeya ya daiv ikoje
Nifahamisheni wadau hapa jamani:
Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015..
Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha
Mbuza ana phd sugu fom two kwanza ashukulu katiba ya 1977 inamuokoa tungetumia katiba inayotokana na rasimu hii jamaa hana chake mana rasimu inataka fom 4
Huyo mbuza hadi sasa ana phd we unaongelea credit uliza watu wa mbeya hakuna sehemu ambayo sugu utamfananisha na mbuza kwa mbeya,mbuza ana mchango mkubwa hadi kwenye muziki wa sugu