Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

Mbuza namfahamu kaanzia chini sana na amefanikiwa sana coz ni mpiganaji wa kweli kwa hulka aliyonayo anaweza kuinyanyua mbeya pia Mbuza for Mbeya 2015 (MFM2015)
 
sugu moto chn aaah,sugu moto chn aaah,.mwambien huyu mburula sugu ndo moto chn,.!

hio ndio fani yake sugu ya kuchana vesi sio kuongoza watu hahaha mbeya tupo makin hatu muitaji tena tulikosea wakat wa kwenda
 
ni kwa utafiti gani ulofanya? lipi ambalo mbuza wako kafanya? je amewahi kuitisha hata mkutano wowote? mahudhurio yalikuweje? je umeona nyomi wakati wa mikutano ya Sugu pale viwanja vya Chadema zamani vikiitwa viwanja vya CCM? msalimie sana huyo mbuza Mungu ampe uzima tutampima mwakani,umkumbushe kuwa yawezekanaanampima Sugu kwa kumtazama kwa macho asijue ni wapiga kura wangapi wanamkubali.

Walifuata chopa sio sugu na bahati yake Dr slaa alimalizia kampeni mbeya mind za watu zikawa bado zinamuwaza slaa wakampa kura sugu nje ya hapo jamaa hana lolote hata wakina mkoloni wamemkimbia kawaingiza wakina adili hisabati katika harakati za vinega kachukua hela kawaacha wanakufa njaa mbeya ndoto zao.zimepotea
 
Mbeya ishageuzwa jimbo la mastaa wa mji. Mpeni tu bwana maana huyu rapa wenu cjaona alichofanya, zaid nakumbuka tu alivyobebwa kutoka bungeni utadhan ile picha ya wavuvi wa kwenye noti ya sh 200 ya zaman wanaotoka na samaki baharini.

Ha ha ha ha!
 
Nifahamisheni wadau hapa jamani:

Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015..

Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha

Wewe sio tu ndevu chafu bali pia hata akili ni chafu
 
Hoja sio matusi tunaombeni sifa na tuambiwe alichofanya huyo sugu wenu ndani ya muda huu wa miaka minne kama sio kuharibu reputation ya mbeya watu wanajua jimbo nzima halina akili kumbe sugu ndio mtupu
 
Sugu wenu huyo aibu kwa watu wa mbeya mjini
 
Attachments

  • 1391015230633.jpg
    1391015230633.jpg
    25.2 KB · Views: 408
Kama umetumwa waambie hao walokutuma haiwezekan kupokea ushaur wako wa kijinga
 
attachment.php

Duh...kweli Mbeya haina Mbunge, Sugu ni aibu kwa Jiji la Mbeya.

Niliwahi kumsikia akijinadi kwenye kampeni 2010 kuwa akichaguliwa atakuwa Zitto Kabwe wa Mbeya lakini badala yake kaishia kuwa Kilaza wa Bunge wa level ya akina Lusinde na Majimarefu.

Mabadiliko yanahitaji Mbeya.
 
nimeseme msafwa katika maana ya uzawaa sio kama ni kigezo chakuonyesha ukabila ila kwa ivo ipo wazi hapa nchi yetu kua mzawa ndo anapewa nafasi na watu kumuamini jimbo lazima lirudi kwa mnyakyusa au msafwaa

We kweli ndevu chafu hata ulichobandika hapa ni uchafu mtupu ukabila ukabila umepotea njia ndugu kajipangge upya urudi
 
kama umetumwa waambie hao walokutuma haiwezekan kupokea ushaur wako wa kijinga

sio ushaur jaman sugu hatusaidii zaid katualibia sisi vijana wa mbeya mkoa ume poteza sana mapato yake tangu uongozi wake unaochangia na vurugu za hapa jijini tumeamua kwa nguvu zote kumuunga mkono na ikiwezekana kumchukulia fomu ya kugombea ndugu emmanuel joseph mbuzax awe mbunge wetu sugu hatumuitaji tena
 
Nifahamisheni wadau hapa jamani:

Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015..

Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha
si bora huyo sugu aliyekaa madarakani miaka4 kuna barabara za lami za mitaani, hao waliokaa toka uhuru wamefanya nn
 
Leteni staili ya Olemedeyee mtajuta maana hata olemedeyee alikua ambiliki wala asiki lakini Jk amembwaga
 
Nashukuru mkuu.Kama ni huyu ni mdogo mtu na ndie alikua active enzi hizo kwenye u mc na u dj wa disco. Alikua akiendesha disco pale Nkwezuru hotel ya bus stand na mara nyingine Mbeya hotel.Nilikua nikiingia disco lake miaka hiyo ndio maana niliposikia jina nikamkumbuka.Yupo social,ana link kubwa ya vijana wa Mbeya mjini hana matatizo,lakini kupambana na Sugu atahitaji nguvu ya ziada.

Ikumbukwe sugu kafanya mapi duzi ya bunge mpaka lina dhalaulika(adi 20% anataka ubunge,afande sele pia) kwa tabia zake za kukosa ni dhamu tunajilaumu sana hapa mbeya mjini

Nkamia Juma siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa na peter Serukamba ---- you na yule mbunge wa cuf aliyesema chadema wanawashwa nani amevunja heshima ya bunge
 
Back
Top Bottom