Eddo mkweli
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 475
- 37
Hadi wasanii wa hip hop wamekufa imani nae mfano kimbunga kaimba yupo upande wa ruge kwa sababu hana faida kwao
sipo kwa sasa
.
Si unifafanulie tu mkuu,kwani kuna shida?ukirudi au wapigie simu
Nifahamisheni wadau hapa jamani:
Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015..
Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha
Mbuzax mwenyewe si ni mtangazaji na ni MC sioni jipya nadhan sugu ameweza na ataweza tukumbuke hizi balabala hapa mjini sasa hivi zimejengwa chini ya usimamizi wa Sugu kabla ya hapo hatukuziona na pia mm naamin Sugu anaweza sana tatizo lingine ni hii selikali iliyopo madarakani ni ya chama kingine hivyo ni ngum kutekeleza maendeleo ktk mkoa wa Mbeya wanahofia kuumpa umaarufu Sugu kikubwa ni kubali kwanzia mwenyekiti wa mtaa mpaka rais ndipo tuanze kupima uwezo wa kila mmoja. Ni dhahili kua CCM imeshindwa tukumbuasha kabla Rais Kikwete hajaingia madarakani Sukari kg 1 ilikua ni sh ngapi? kati ya sh 400- 600 sasa na leo hii ni sh ngapi sasa nani alaumiwe?
huyo sugu mwenyewe saiv ana aidia ya udiwan anajua hataweza mziki wa mbuzax siwapendi ccm lakin kwa huyu jamaa mbuzax nitakua nao sugu katuponza sisi wafanya biashara. Ina tosha sugu kaaribu vijana wa mbeya kwa viloba
muulizeni alikwina?
sungu anachoma wewe kimyaaaaa
mbuzax mwenyewe si ni mtangazaji na ni mc sioni jipya nadhan sugu ameweza na ataweza tukumbuke hizi balabala hapa mjini sasa hivi zimejengwa chini ya usimamizi wa sugu kabla ya hapo hatukuziona na pia mm naamin sugu anaweza sana tatizo lingine ni hii selikali iliyopo madarakani ni ya chama kingine hivyo ni ngum kutekeleza maendeleo ktk mkoa wa mbeya wanahofia kuumpa umaarufu sugu kikubwa ni kubali kwanzia mwenyekiti wa mtaa mpaka rais ndipo tuanze kupima uwezo wa kila mmoja. Ni dhahili kua ccm imeshindwa tukumbuasha kabla rais kikwete hajaingia madarakani sukari kg 1 ilikua ni sh ngapi? Kati ya sh 400- 600 sasa na leo hii ni sh ngapi sasa nani alaumiwe?
mbona mshabiki kama shoga wewe au tiari!Nifahamisheni wadau hapa jamani:
Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015..
Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha
Kuna baadhi ya sehemu za mwili wako haziko sawa sasa hii inakuchangia unawashwa mara kwa mara toa location watu waje kukusaidi bila hivyo ndani ya masaa 24 utakuwa ushaharibika min k na uwezo mdogo ulio nao wa fikira kupotea kabisa.Nifahamisheni wadau hapa jamani:
Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015..
Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha
kuna baadhi ya sehemu za mwili wako haziko sawa sasa hii inakuchangia unawashwa mara kwa mara toa location watu waje kukusaidi bila hivyo ndani ya masaa 24 utakuwa ushaharibika min k na uwezo mdogo ulio nao wa fikira kupotea kabisa.