Haki ya kufanya biashara maeneo ambayo hayajatengwa kwa ajili hiyo?
waliwatengea maeneo yapi? Na je yanakidhi?haki ya kufanya biashara maeneo ambayo hayajatengwa kwa ajili hiyo?
hata kama unalipwa kwa kuwa Jf,toa vtu vya maana,ACHA UJINGA,hii issue haihusian na Chadema wala ccm,MTU MZIMA OVYOO!Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara