Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Saa hizi ndio Radio One wanaibuka na hili tukio kama breaking news. Namsikia Festus Kagonamo anaeleza hapo Mwanjelwa hapakaliki. Ama kweli jf iko far ahead!.

Wamesubiri Sugu atinge bungeni Dodoma huku nyuma polisi wa CCM wafanye vitu vyao !.
 
Sugu upo wapi wapiga kura wako wananyanyaswa.Kwanin tusilianzishe jaman mie nasisitiza kwamba smg,ak47,grunates ni bei cheee sana mipakani huko kwanin asitokeee mtu adhamn watu tuingie msituni kama alivyofanya kabila?
 
dah..jamani hali ni mbaya magar ya polisi yapo zaid ya kum hapa yanazunguka tu kinachonishangaza watu hawakimbii,wanarusha mawe tu....
 
Jamani haki haiombwi wala kununuliwa vp je mali za watu zimepona na usalama upo
Nahisi ndo wanachokitaka ccm wanapofika wakati badala yakupunguza matatizo ya mnyonge ndo wanazidi kuyaongeza, je ujambazi ukishamiri watamlaumu nani?
 
Watu wameshaanza kuandamana,wameshika bendera za chadema huku wakiimba,CCM TUMEWACHOKA..
 
nakumbuka slaa alikwisha wahi mwambia jk "tukitaka nchi isitawalike tunaweza" sasa hapo hawajaamua isitawalike, wakiamua itakuwaje??
 
By Sumbalawinyo:
Polisi imepiga marufuku maandamano ya
kesho na magari ya polisi yenye vipaza
sauti yananapita mitaani yakiwatisha
kuwa kesho wasiandamane na
wakithubutu tu, polisi watatumia risasi za
moto kudhibiti maandamano hayo.
Maneno hayo yanatoka kwenye difenda
ya FFU yenye vipaza sauti, nimeshindwa
kukopi namba kwa kuwa taa ya kwenye
number plate haiwaki.

"...niwieni radhi lakini nina mashaka na hili maana linafanana mpaka kwa rangi na tangazo lingine lililoletwa kwamba lilikuwa linatangazwa maeneo ya mbauda jijini Arusha. Mleta habari alisema hivyo hivyo kwamba alishindwa kukopi namba maana taa ya kwenye plate namba ilikuwa haiwaki" Nisahihisheni kama nimekosea...
 
Nasikia kuna gari la halmashauri limechomwa.

ilikua vita ya wamachinga na Polisi, mwishowe imegeuka vita ya Mbeya Nzima.

Gari za Tunduma Dar zimerudi Tunduma No Safari.

Mabomu ya machozi mtindo mmoja.

yes sasa ni magar mawili na bajaj moja vnawaka moto,watu wa4 wameshakufa mpaka sasa..
 
arusha, mwanza, now mbeya...bado dodoma, Dar?
Dodoma hata siku moja. Kule hawajui haki zaidi ya 'kudumu kwa fikra za mwenyekiti wa Chama' au labda kama ulimaanisha UDOM. Haya mambo hawawezi kufanya kule kwetu au kwa watani zangu Waha, ni miguu tu ndio imeliwa na funza lkn ubongo unaboreshwa na mawese
 
huko mbeya poleni jamani tupo pamoja majiji yote yapo chini ya peoples powers wanahaha km alivyosema pinda jana!
 
Poleni wanambeya tuendelee kudai haki hapa hapa bongo tusije kupandisha bendera ya malawi kama watu wa rombo.
 
kama ni hivyo basi hali ni zaidi ya mbaya...lakini serikali isitake tufike kule kwa ARAB UPRISING...wafanye mabadiliko ya muhimu mapema
 
Nilishasema na narudia kusema tena Arusha,Mbeya,Mwanza,Kagera na Shinyanga ndo Benghazi,Tunisia,Tripoli,Alexandria na Cairo za bongo na sitegemei kingine zaidi ya mikoa hii kuikomboa Tanganyika
 
Back
Top Bottom