Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

Eee, JF ina mambo kweli, sasa khabari nusunusu hivi inakuaje tena papaD
 
Nimepita Chuo kikuu Mlimani nimekuta Wanafunzi wamegoma, FFU kibao magari kama Matano yamejaa askari yapo maeneo ya Utawala na Supermarket.

Jana FFU walikuwa Kimara kuzuia maandamano ya Wananchi yakiongozwa na Chadema. Leo tena ndio hivyo wapo Mwanjelwa na Mafiati. Hivi hawa Polisi watakuwa hawana jambo lingine la kufanya mwaka mzima zaidi ya kuzuia maandamano na Migomo.

Kweli serikali legelege.
 
Si vizuri kutukana,tatizo lililopo ni hairuhusiwi kupanga vitu barabarani,kaenda mkuu wa wilaya kapigwa mawe,hapo ndipo issue ilipoanzia.
 
Mitaa ya Mwanjelwa soweto na mafiati haikaliki baada ya FFU kurusha mabomu ya kutoa machozi ili kusambaratisha vijana walioziba baadhi ya barabara za mitaa!
Mkuu great thinker ni mtu muelewa na makini anayetoa habari za kusaidia/kuelimisha na kuhabarisha members humu ndani. unawezaje kutoa habari nusu hivi? kama hujajiandaa bora ukafungue banda la kuuza nyanya ungeisaidia familia yako
 
By Sumbalawinyo:

Polisi imepiga marufuku maandamano ya
kesho na magari ya polisi yenye vipaza
sauti yananapita mitaani yakiwatisha
kuwa kesho wasiandamane.

Na wakithubutu tu, polisi watatumia risasi za
moto kudhibiti maandamano hayo.

Maneno hayo yanatoka kwenye difenda
ya FFU yenye vipaza sauti, nimeshindwa
kukopi namba kwa kuwa taa ya kwenye
number plate haiwaki.
 
Mitaa ya Mwanjelwa soweto na mafiati haikaliki baada ya FFU kurusha mabomu ya kutoa machozi ili kusambaratisha vijana walioziba baadhi ya barabara za mitaa!





mbona hio habari umeipewa nusu sasa mwambie tena akutumie sms nyingine.
za kuambiwa na wewe unzisambaza una uhakika?
 
Ni vurugu kati ya wamachinga na FFU baada ya kandoro kuwamrisha FFU kuwafukuza machinga wa mwanjelwa, soweto na sehemu nyinginezo za mitaa ya mbeya mjini.
 
Mkuu Papa D, please elezea kwanini vijana wameziba barabara maana wachangiaji watapenda kujua kama ilikuwa halali kwa polisi kuwatawanya ama la.
 
Hivi nchi hii hakuna kiongozi mwenye akili ya kutatua migogoro bila mabomu??

in atia huruma sana.

Na sasa hivi wanajadili kupitisha sheria ya kununua bunduki used na maji washawasha used!!! damn!!

Du! maji washawasha used? Hiyo ni kali
 
Huu nao ni utaahira. Ni zaid ya uharo huu. Aaaaaaagh. Taarifa gani hii? Nani ataelewa kwa maneno ya kipuuzi namna hii? Hivi unafikiri kila mtu yuko mbeya eti? Kama hukujipanga basi ungekaa kumya tu. Upuuzi kabisa huu.

sasa umechangia ili iweje, upuuzi mwingine bana si ungenyamaza kimya?
 
kandoro na yule mkuu wa mkoa wa arusha bwana magesa wamepelekwa mikoa hiyo kwa sababu maalumu
 
Uvumilivu una mwisho jamani. Unyanyasaji na ukandamizaji umetuchosha jamani. Kila mtu sasa ajaribu kumwelimisha mwenzake kuhusu kuikomboa hii Tanzania na huu unynyasaji. Tuanze maandalizi ya 2015 ili chama kimuozee JK
 
Jiji la MBEYA limechafuka,hii ni kutokana na mkuu wa mkoa,ABBAS KANDORO kuja na sera ya safisha jiji ambayo wakuu wa mkoa wote waliopita walishindwa kuitekeleza..

Tangu wiki mbili zilizopita alianzisha kampeni hiyo na badae akawahaidi kua atawaruhusu alhamisi lakin jana hakutekeleza ahadi yake hiyo hivo wafanyabiashara wale wakapanga kuanzisha fujo siku ya leo..

BARABARA ZOTE MBEYA MJINI ZMEFUNGWA,MADUKA YOTE NA BIASHARA ZOTE ZIMEFUNGWA,GARI MOJA IMECHOMWA MOTO,MGAMBOM MMOJA AMEUWAWA NA RAIA,POLISI WAWILI WALIOKUA KWENYE GARI WAKIPIGA MABOMU WATU WAMEUMIZWA VIBAYA NA MAWE..

BADO FUJO ZINAENDELEA,WANAUME WAPO MBELE WAMESHIKA MAWE HUKU WANAWAKE WAPO NYUMA WAMESHIKA NDOO ZA MAJI ZA KUNAWA WAKIPIGWA MABOMU YA MACHOZI..

.. wananchi wa MBEYA MJINI NI MA-SUGU kama mbunge wao..
 
Back
Top Bottom