Mbeya kwalipuka kwa vurugu

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Machinga wa Uwanja wa Sokoine wanapigana na polisi na mgambo wa City, vita ni vikali wanagoma kuhamishwa.
Source: upendo FM muda huu wanatangaza

asante kwa taarfa. wanawahamishia wapi? hivi hawa watendaji wetu huwa wanapitia somo la negotiation/peoples' skills? kazi ipo!

Polisi wanafundishwa vyuoni kwao CCP na Kurasini kulenga vichwani,sasa ukiongezea mgambo wanojua kujikusanyia mali za wamachinga na kupeleka majumbani mwao basi unaweza kujua ni aina gani ya 'law enforcers' tulionao. Watendaji wakuu wa serikali hawajui negiation skills sembuse polisi na mgambo?

Machinga wa Uwanja wa Sokoine wanapigana na polisi na mgambo wa City, vita ni vikali wanagoma kuhamishwa.

Source: upendo FM muda huu wanatangaza

Bila shaka hao wamachinga watakuwa wamehamasishwa na chadema kugoma kuhama kwa kuwa sasahivi ndo wahamasishaji wa migomo na maandamano nchini.

Machinga wa Uwanja wa Sokoine wanapigana na polisi na mgambo wa City, vita ni vikali wanagoma kuhamishwa.

Source: upendo FM muda huu wanatangaza

Tupe habari zaidi, wanataka wawahamishie wapi hasa?

Bila shaka hao wamachinga watakuwa wamehamasishwa na chadema kugoma kuhama kwa kuwa sasahivi ndo wahamasishaji wa migomo na maandamano nchini.

Kama huna cha kuongea c ukae kimya u crap!

asante kwa taarfa. wanawahamishia wapi? hivi hawa watendaji wetu huwa wanapitia somo la negotiation/peoples' skills? kazi ipo!

hakuna cha negotiarion skills wala nini...hao jamaa wanajua kutoa ultimatum tuu kuwa 'muhame ikifikia tarehe fulani', na wakishatoa hiyo ultimatum wao wanaanza kuandaa buti za kuwatia watu ngwara, sababu wanajua kabisa hawajawawekea mazingira ya kuhama na hivyo lazima watagoma!

Bila shaka hao wamachinga watakuwa wamehamasishwa na chadema kugoma kuhama kwa kuwa sasahivi ndo wahamasishaji wa migomo na maandamano nchini.

bila shaka askari wamehamasishwa na chama cha magamba maana serikali yake ni ya hamisha hamisha na mkong'oto.

Na kweli hii ishu magamba wataihusisha na CDM...shame to cursed magambas

Kuna mtu jana alianzisha thread akisema majimbo yote yaliyo chini ya chadema kuna uhuni wanafanyiwa..

Bila shaka hao wamachinga watakuwa wamehamasishwa na chadema kugoma kuhama kwa kuwa sasahivi ndo wahamasishaji wa migomo na maandamano nchini.

nadhani akili zako fupi kama sana. Inakuwaje kwa kla kitu kinachotendeka nchini bac cdm is blamed. Waache watu watafute haki yao.

Our minds are badly crippled in a way that we believe in protest, riot and violence as immediate solutions to our problems. Dissapointedly, CHADEMA has taken our instability for advantage by coaxing the youths into unnecessary demonstations and needless violence.

Back
Top Bottom