Mbeya kuna Daktari anaitwa Danny, serikali imeshindwa kumuwajibisha?

Nimeenda Mbeya nikamkuta daktari anaitwa Danny! Anatamba hata kipindi hiki cha daktari Magufuli.

Anajiita Daktari Bingwa wa Mifupa wakati ana degree moja tu.

Alihamishwa toka Peramiho na kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mbeya.

Amesababisha vifo vingi kutokana na kufanya upasuaji asiosomea.

Mwezi wa tatu mwaka huu alisababisha kifo cha mwendesha bodaboda aliyekuwa akiitwa Festo aliyelazwa hospitali ya rufaa Mbeya baada ya kugongwa na gari ya mmiliki wa hotel moja iitwayo Kwetu Pazuri.

Haijulikani Danny alipata wapi taarifa za huyo mgonjwa kulazwa hospitali ya Rufaa Mbeya na kisha mgonjwa akahamishwa na akaishia kufanyiwa operation hospitali ya private ya K's Hospital; hii ni baada ya mgonjwa Festo kuambiwa na madaktari wa hospitali ya kanda ya Rufaa Mbeya kwamba hawatoweza kuokoa mguu wake.

Danny baada ya kwenda kumfanyia operation hapo K's akagundua hawezi okoa mguu huo akiwa anaendelea na operation. Ndugu waliombwa watoe pesa za damu iliyoendwa kufuatwa benki ya damu Mbeya.

Danny ana mambo mengi sana yanayoaibisha madaktari.

Amewaacha watu wengi wakiwa vilema, ikiwamo mke wa mfanyabiashara mashuhuri wa jijini Mbeya (Babito).

Amekuwa na mtandao wa kuhamisha wagonjwa (ukiwahusisha manesi wa wodi hadi mafundi wa mionzi) waliopata ajali toka hospitali ya kanda ya rufaa Mbeya (ambayo si hospitali yake) na kwenda kuwafanyia operation kwenye hospitali binafsi iitwayo K's Hospital, kwa gharama kubwa huku akiwaacha wagonjwa na vilema vya kudumu au vifo.

Ana ushirikiano na laboratory technician wa NBTS Mbeya (ipo Meta hospitali) katika kuwauzia ndugu damu.

Watu gani wanamlinda Danny? Je, walewale wanaomlinda 'Dr. Nyagori' wa Morogoro.
 
Alikua anafanyia kazi hospitali ya Mkoa wa Ruvuma, baadae akapatwa skendo za hayo mambo ya rushwa na ufisadi akawa amehamishiwa Mbeya….
Hayo mengine siyajuiiii
 
Huyu Jamaa Bora tuwe naye Makini, Nshawahi kupata habari pia kuhusu huyu jamaa. Alifukuzwa Peramiho kwa Kashifa ya Rushwa kwani bila Rushwa alikuwa hafanyi kazi na akipewa rushwa hafanyi kazi ipaswavyo. Mganga Mkuu ahojiwe kwanini hadi sasa hachukuliwi hatua hadi ahamishwe mara Songea, Kesho Tabora na Sasa yupo Mbeya. Usishangae kesho Kusikia yupo Lindi au
Nanyamba. Tusubiri
@ Hamisi Kigwangala
 
Umesema ana degree moja tuwekee hapa hicho cha degree moja ya udaktari ambacho wewe unadai ili nasi tuthibitishe vinginevyo ni majungu.na hivyo vyeti vya hao ambao unadai amewasababishia vifo unavyo na vinasema hivyo kuwa yeye ndiye msababishaji.
Nenda akakufanyie operation Mkuu, ujue kama bingwa au sio!!!
 
Dah..Ningekuwa mimi ndiyo bosi...Angechunguzwa kimyakimya...kama kweli anawajibishwa...kama si kweli anaongezwa cheo, mshahara na CV yake inag'arishwa:cool::cool::cool:
 
Huyo jamaa yuko vizuri acha majungu wewe aliyekutuma mwambie aache uchawi mbona mm mwenyewe kanifanyia upasuaji uvimbe tumboni naniliambiwa na watu wa mbeya yy ndiye anayeweza nikamfuata mbona mnapenda majungu kiasi hiki kweli watanzania niwatu wanafiki wangapi wanafanyiwa operation zina fail tena muimbili mbona wengi tu wanakufa muimbili tena wwngine ata theater hawatoki acheni majungu
 
Machale yananichesa kuhusu mleta mada, nahisi ni daktari pia......kwa miaka zaidi ya 12 katika sekta hii nimegundua kuwa hii ndiyo watumishi wa sekta ya afya wa Tanzania bara ndio wanashikiria rekodi ya kutopendana, fitina , na uzandiki. Pumbavu zetu kabisa.
 
Hata kama mleta mada ni daktari, ndio aoneshe upendo kwa daktari ambaye hahudumii wagonjwa kwa usahihi kwa kujipa sifa zisizo zake? Au wewe ni Danny?

Machale yananichesa kuhusu mleta mada, nahisi ni daktari pia......kwa miaka zaidi ya 12 katika sekta hii nimegundua kuwa hii ndiyo watumishi wa sekta ya afya wa Tanzania bara ndio wanashikiria rekodi ya kutopendana, fitina , na uzandiki. Pumbavu zetu kabisa.
 
Nimeenda Mbeya nikamkuta daktari anaitwa Danny! Anatamba hata kipindi hiki cha daktari Magufuli.

Anajiita Daktari Bingwa wa Mifupa wakati ana degree moja tu.

Alihamishwa toka Peramiho na kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mbeya.

Amesababisha vifo vingi kutokana na kufanya upasuaji asiosomea.

Mwezi wa tatu mwaka huu alisababisha kifo cha mwendesha bodaboda aliyekuwa akiitwa Festo aliyelazwa hospitali ya rufaa Mbeya baada ya kugongwa na gari ya mmiliki wa hotel moja iitwayo Kwetu Pazuri.

Haijulikani Danny alipata wapi taarifa za huyo mgonjwa kulazwa hospitali ya Rufaa Mbeya na kisha mgonjwa akahamishwa na akaishia kufanyiwa operation hospitali ya private ya K's Hospital; hii ni baada ya mgonjwa Festo kuambiwa na madaktari wa hospitali ya kanda ya Rufaa Mbeya kwamba hawatoweza kuokoa mguu wake.

Danny baada ya kwenda kumfanyia operation hapo K's akagundua hawezi okoa mguu huo akiwa anaendelea na operation. Ndugu waliombwa watoe pesa za damu iliyoendwa kufuatwa benki ya damu Mbeya.

Danny ana mambo mengi sana yanayoaibisha madaktari.

Amewaacha watu wengi wakiwa vilema, ikiwamo mke wa mfanyabiashara mashuhuri wa jijini Mbeya (Babito).

Amekuwa na mtandao wa kuhamisha wagonjwa (ukiwahusisha manesi wa wodi hadi mafundi wa mionzi) waliopata ajali toka hospitali ya kanda ya rufaa Mbeya (ambayo si hospitali yake) na kwenda kuwafanyia operation kwenye hospitali binafsi iitwayo K's Hospital, kwa gharama kubwa huku akiwaacha wagonjwa na vilema vya kudumu au vifo.

Ana ushirikiano na laboratory technician wa NBTS Mbeya (ipo Meta hospitali) katika kuwauzia ndugu damu.

Watu gani wanamlinda Danny? Je, walewale wanaomlinda 'Dr. Nyagori' wa Morogoro.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Update toka Mbeya
Siku tatu zilizopita, Dr. Danny kamfanyia operation ya mifupa mmoja wa madaktari wasaidizi katika hospitali anayofanyia hizi operation zake zisizo na sifa. Taarifa zinasema baada ya kumfanyia operation daktari huyu msaidizi alipata complication ya Pulmonary Embolism, yaani bonge la damu kuziba njia za mapafu na kwamba hii ilisababisha mgonjwa kuwa mahututi na sasa amelazwa hospitali ya kanda ya Mbeya, wodi za Tiba, akiwa mahututi.
Ndugu hali imekuwa tofauti na ulivyo itarajia kwa maana umeonekana wewe ni mbea,mfitini,hasidi,una visa,mfuatiliaji wa maisha ya watu yasiyo kuhusu,una wivu ulio pindukia, mpenda majungu, na una roho mbaya maana kwa uandish wako huu unaonesha una visa na huyo dr. Na unatafuta namna ya kumuharibia mwezio na ninadhani hilo likitimia utakuwa na furaha ya ajabu kuna sehemu husika za kufikisha madai yako kama unayo kumuhusu huyo dr.

Maana hata yeye pamoja na ubingwa wake bado kuna mamlaka za juu yake za kumuwajibisha ,unapo post kwenye mitandao namna hii ukae ukijua huna hati miliki hata pale utakapo taka kuiondoa baada ya tofauti zenu kuisha na mkawa marafiki haita wezekana na ninahisi wewe ni mtumish mwenzie kitengo hicho hicho na kikubwa kinacho kusumbua ni wivu dhidi yake. Na ninasema wivu kwa maana umedhamiria kuhakikisha anaharibikiwa ndio maana umekuwa ukitafuta updates zinazo muhusu ingawa hatujui ni za kweli ama ndio kuongezea chumvi kwako.na sina hakika kama haya ndiyo hasa matumizi sahihi ya mitandao.
ACHA ROHO MBAYA !!!!!!
 
Hata kama mleta mada ni daktari, ndio aoneshe upendo kwa daktari ambaye hahudumii wagonjwa kwa usahihi kwa kujipa sifa zisizo zake? Au wewe ni Danny?
kuna watu wamezoea majungu wanafikiri kila mtu ni wamajungu. siku akipatikana Dr feki utasikia 'miaka yote' hakujulikana. mtu akitoka kuwaumbua wanamwita mfitini. mi nakupongeza kwa kufanya kazi njema.
 
Kulingana na mchango wa "The Dream" hapo juu hakuna ubishi kuwa Dr ni bingwa wa rushwa lakini bahati mbaya sana watu wa hivyo mara nyingi Tiss na Takukuru huwa ni rafiki zao na inakuwa ngumu sana kuchukuliwa hatua, poleni Mbeya kwani kuna mwingine hapo lakini nashangaa hamjamsema
 
Naunga mkono sehemu ya Maelezo yako kuhusu huyu daktari,kama ni mwenyewe "Danny".
Huyu ni dr mzuri wa mifupa,ni kweli alifukuzwa hosptali ya Peramiho lakini wakati anahamishiwa mbeya alikuwa akifanya kazi hosptali ya Mkoa wa Ruvuma na kuna wakati alikaimu nafasi ya mganga mkuu wa wilaya

Pamoja na mambo mengine shida kubwa ya huyu Dr ni mpenda pesa,bila pesa hawezi kukufanyia upasuaji mzuri,na wakati mwingine yupo tayari akuache uendelee kuteseka kama huna kiwango cha pesa akitakacho.

Wagonjwa wengi wanaokwenda hosptali ya serikali ambapo ni muajiriwa uwaamuru kufanyiwa oparation ki-private vinginevyo anakwambia live kuwa kama huna kiwango cha pesa akitakacho,anakwambia "utakufa bwana,au mgonjwa wako atakufa".

Kuna kipindi wakati akiwatembelea wagonjwa wodini alikuwa maalufu kwa kutaja figure huku akiwa ameshikilia kadi ya mgonjwa,utasikia akisema Wewe laki 7, Akiimanisha oparation yako itakugharimu kiasi hicho na kama huna mguu wako au kiungo chako kitaoza.

Nakumbuka alifanya hivyo kwa jamaa yangu ,ikabidi tutafute laki 7 ndo akafanyiwa upasuaji.
Kiwango chake cha chini ilikuwa ni laki 5.

Kuna kesi nyingi za namna hiyo zilitokea hosptali ya mkoa wa Ruvuma na ilikuwa ni sehemu ya kashfa zilizo mfanya ahamishwe Mbeya.
 
Tunatumai mkuu wa mkoa unausoma huu uzi, waswahili wana msemo wao mficha maradhi kifo humumbua sasa leo jambo la Dr Danny lineletwa hapa ukiona kuwa ni majungu na huitaji kufutialia basi tambua ipo siku dani atakumbua na utatumbuliwa
 
Back
Top Bottom