DOKEZO Hospitali za Serikali wanagoma kuwapa dawa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Pole Kwakuwa Umeitaja Hospital Sasa Waziri Ummy Hili Lako Sasa Tupate Majibu
Hapo Wanafanya Jeuri Wakati Wanajua Wazi Unatumia Bima Hutakiwi Kulipa
 
Habari ndugu wana jamiiforums.com. Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.

Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.

Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
siku uoga ukiaisha ndio mtaanza kula meema ya hii nchi. Mbowe akisema tuandamane hata maandamaano ya amani hamtoki, kazi kuja kulia lia kwenye mitandao. Sikiliza hawa watawala sio wajinga walisha wasoma wakajua kwanza nyie ni waoga sana so haya yote wanayafanya wakiwa na ngao yao ambayo ni uoga wenu.
 
Pole Kwakuwa Umeitaja Hospital Sasa Waziri Ummy Hili Lako Sasa Tupate Majibu
Hapo Wanafanya Jeuri Wakati Wanajua Wazi Unatumia Bima Hutakiwi Kulipa
Unazania wanafanya bila kuwa na Backup? Raia mtalalamika hadi siku ya kiama. Watawala kuna njia moja ya kuwafundisha somo nayo ni nguvu ya umma. Huu mdwaada tangu mwanzo ulikuwa wa hovyo yangaitishwa maandamani ya kuuoinga hakuna mtu angetoka Barabarani.
 
Mswaada wa Bima ulikuwa ni wa hovyo sana, shida kuu katika hili Taifa ni Raia mazezeta, Watawala wanatumia hii weakness kufanya watakavyo. Raia kama haitatokeaga tuamke basi tusitegemeee huruma kutoka kwa watawala. Sisi tunataka Mbowe na Famalia yake waandame kwa niaba yetu sisi tukiwa tumelala au tuko tumekaa then saa mbili jioni tuanglie kwenye taarifa ya Habari Mbowe alivyo andamana kwa niaba yetu.
 
Habari ndugu wana jamiiforums.com. Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.

Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.

Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Hii ni sabotage
 
Hospitali ya Wilaya ya Mkoa wa Kagera? Iweke vizuri Mkuu kama ya Rufaa ya Mkoa au ya Wilaya ipi?
Lini, na ni Dawa gani hiyo ambazo zote hukupewa ila wa cash akapewa?
Unataka niandike kila kitu nijivue nguo na bado mgonjwa wangu yupo hoi kitandani kwao??

Kuwa serious mkuu!! Hospital za serikali za wilaya ni chache saana mkoa wa Kagera. So kama ni ifuatiliaji ni mwepesi kwa serikali. Nimeuliza na wilaya jirani wakanambia mwendo ni hulehule
 
Habari ndugu wana jamiiforums.com. Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.

Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.

Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Unataka hospitali inunue dawa kwa 500/=, halafu iwauzie NHIF kwa sh. 200/= kwani hapo ni akili kweli?
 
Hukuuona ule mkeka wa dawa zilizoondolewa kwenye vitita vya NHIF?

Dawa zipo ila hazipo kwenye vitita vya NHIF ndiyo maana wa kulipia wanapewa.
 
siku uoga ukiaisha ndio mtaanza kula meema ya hii nchi. Mbowe akisema tuandamane hata maandamaano ya amani hamtoki, kazi kuja kulia lia kwenye mitandao. Sikiliza hawa watawala sio wajinga walisha wasoma wakajua kwanza nyie ni waoga sana so haya yote wanayafanya wakiwa na ngao yao ambayo ni uoga wenu.
Mbowe babu yako..!
 
Back
Top Bottom