Mbeya kuna Daktari anaitwa Danny, serikali imeshindwa kumuwajibisha?

mkuu nna wasiwsi na hizi doctor za kupewa pewa, yani ukishapewa udoctor. (sio wa kusomea),yani we unajiona kila mkate kwako ukija kwako ni chai lazima uliwe, mi nna wasiwasi na huj udoctor labda ndo walewale , ukienda kuanzisha mradi sehemu flan na u doctor unapataa, then unaenda kufanya upasuaji wa miguu badala ya kichwaa
mkuu ulishackia bi mahala gani dunian kuna udoctor wa kupewa? wacha kuchanganya mafile
 
Nimeenda Mbeya nikamkuta daktari anaitwa Danny! Anatamba hata kipindi hiki cha daktari Magufuli.

Anajiita Daktari Bingwa wa Mifupa wakati ana degree moja tu.

Alihamishwa toka Peramiho na kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mbeya.

Amesababisha vifo vingi kutokana na kufanya upasuaji asiosomea.

Mwezi wa tatu mwaka huu alisababisha kifo cha mwendesha bodaboda aliyekuwa akiitwa Festo aliyelazwa hospitali ya rufaa Mbeya baada ya kugongwa na gari ya mmiliki wa hotel moja iitwayo Kwetu Pazuri.

Haijulikani Danny alipata wapi taarifa za huyo mgonjwa kulazwa hospitali ya Rufaa Mbeya na kisha mgonjwa akahamishwa na akaishia kufanyiwa operation hospitali ya private ya K's Hospital; hii ni baada ya mgonjwa Festo kuambiwa na madaktari wa hospitali ya kanda ya Rufaa Mbeya kwamba hawatoweza kuokoa mguu wake.

Danny baada ya kwenda kumfanyia operation hapo K's akagundua hawezi okoa mguu huo akiwa anaendelea na operation. Ndugu waliombwa watoe pesa za damu iliyoendwa kufuatwa benki ya damu Mbeya.

Danny ana mambo mengi sana yanayoaibisha madaktari.

Amewaacha watu wengi wakiwa vilema, ikiwamo mke wa mfanyabiashara mashuhuri wa jijini Mbeya (Babito).

Amekuwa na mtandao wa kuhamisha wagonjwa (ukiwahusisha manesi wa wodi hadi mafundi wa mionzi) waliopata ajali toka hospitali ya kanda ya rufaa Mbeya (ambayo si hospitali yake) na kwenda kuwafanyia operation kwenye hospitali binafsi iitwayo K's Hospital, kwa gharama kubwa huku akiwaacha wagonjwa na vilema vya kudumu au vifo.

Ana ushirikiano na laboratory technician wa NBTS Mbeya (ipo Meta hospitali) katika kuwauzia ndugu damu.

Watu gani wanamlinda Danny? Je, walewale wanaomlinda 'Dr. Nyagori' wa Morogoro.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Update toka Mbeya 1
Siku tatu zilizopita, Dr. Danny kamfanyia operation ya mifupa mmoja wa madaktari wasaidizi katika hospitali anayofanyia hizi operation zake zisizo na sifa. Taarifa zinasema baada ya kumfanyia operation daktari huyu msaidizi alipata complication ya Pulmonary Embolism, yaani bonge la damu kuziba njia za mapafu na kwamba hii ilisababisha mgonjwa kuwa mahututi na sasa amelazwa hospitali ya kanda ya Mbeya, wodi za Tiba, akiwa mahututi.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Update 2
Taarifa za ndani zinadai Danny kuhojiwa na UWT na kudai yeye si daktari bingwa wa Mifupa, bali wagonjwa wenyewe humfuata. Lakini bado swali linakuja, inakuwaje Danny afanye operation kubwa ambazo hana uzoefu nazo wala kusomea?
Huyu dokta hapo mbeya amekuwa na sifa mbaya zilizokithiri na hadi sasa sielewi kwa nini madaktari wote wanapewa uhamisho lakini huyu hafanyiwi hivyo.
 
Nampongeza mtoa uzi huu kama hizi habari zana ukwel ndani yake, naamini umoja wa madaktari utachukua hatua stahiki kwa kwa bwana kwa Kosa la kukosa professional ethics, pia kuhaja ya serikali kupeleka specialists wa mifupa katika hospitali za rufaa na si MoI peke yake ndio zipatikane sophisticated services za mifupa.
 
Nimeenda Mbeya nikamkuta daktari anaitwa Danny! Anatamba hata kipindi hiki cha daktari Magufuli.

Anajiita Daktari Bingwa wa Mifupa wakati ana degree moja tu.

Alihamishwa toka Peramiho na kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mbeya.

Amesababisha vifo vingi kutokana na kufanya upasuaji asiosomea.

Mwezi wa tatu mwaka huu alisababisha kifo cha mwendesha bodaboda aliyekuwa akiitwa Festo aliyelazwa hospitali ya rufaa Mbeya baada ya kugongwa na gari ya mmiliki wa hotel moja iitwayo Kwetu Pazuri.

Haijulikani Danny alipata wapi taarifa za huyo mgonjwa kulazwa hospitali ya Rufaa Mbeya na kisha mgonjwa akahamishwa na akaishia kufanyiwa operation hospitali ya private ya K's Hospital; hii ni baada ya mgonjwa Festo kuambiwa na madaktari wa hospitali ya kanda ya Rufaa Mbeya kwamba hawatoweza kuokoa mguu wake.

Danny baada ya kwenda kumfanyia operation hapo K's akagundua hawezi okoa mguu huo akiwa anaendelea na operation. Ndugu waliombwa watoe pesa za damu iliyoendwa kufuatwa benki ya damu Mbeya.

Danny ana mambo mengi sana yanayoaibisha madaktari.

Amewaacha watu wengi wakiwa vilema, ikiwamo mke wa mfanyabiashara mashuhuri wa jijini Mbeya (Babito).

Amekuwa na mtandao wa kuhamisha wagonjwa (ukiwahusisha manesi wa wodi hadi mafundi wa mionzi) waliopata ajali toka hospitali ya kanda ya rufaa Mbeya (ambayo si hospitali yake) na kwenda kuwafanyia operation kwenye hospitali binafsi iitwayo K's Hospital, kwa gharama kubwa huku akiwaacha wagonjwa na vilema vya kudumu au vifo.

Ana ushirikiano na laboratory technician wa NBTS Mbeya (ipo Meta hospitali) katika kuwauzia ndugu damu.

Watu gani wanamlinda Danny? Je, walewale wanaomlinda 'Dr. Nyagori' wa Morogoro.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Update toka Mbeya 1
Siku tatu zilizopita, Dr. Danny kamfanyia operation ya mifupa mmoja wa madaktari wasaidizi katika hospitali anayofanyia hizi operation zake zisizo na sifa. Taarifa zinasema baada ya kumfanyia operation daktari huyu msaidizi alipata complication ya Pulmonary Embolism, yaani bonge la damu kuziba njia za mapafu na kwamba hii ilisababisha mgonjwa kuwa mahututi na sasa amelazwa hospitali ya kanda ya Mbeya, wodi za Tiba, akiwa mahututi.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Update 2
Taarifa za ndani zinadai Danny kuhojiwa na UWT na kudai yeye si daktari bingwa wa Mifupa, bali wagonjwa wenyewe humfuata. Lakini bado swali linakuja, inakuwaje Danny afanye operation kubwa ambazo hana uzoefu nazo wala kusomea?
Hahahaaa, Dr.Danny mjanjamjanja kama alivyo manager wa K's hospital Dr.Kanama. Ofcourse jamaa tangia ahamie Mbeya mwaka jana/juzi umaarufu wake unazidi kuongezeka sana. Kuhusu hizo tuhuma ni vigumu kuziongelea kwa mtu ambaye sio daktari maana kazi za hawa jamaa zina changamoto nyingi sana. But in general jamaa wa K's hospital ni wajanja janja sana.
 
Waziri Ummy Uko Wapi ?
Kigwangala Acha Kuhangaika Na Viwanda Vya Viroba
Nenda MBEYA Mkafanye Kazi Haraka
Dr Hamisi Kigwangala Ni Member Humu
Nenda MBEYA Tujue Ukweli.

Orodha Ya Wanaotakiwa Kufutwa Kazi Upande Wa Mawaziri Ni Kubwa
 
Siyo huyo tu. Kuna Daktari pia Hospitali ya BUGANDO kitengo cha Operesheni ya GOITA (Uvimbe kooni/shingoni) ni JIPU.

Mwaka huu tu ninafahamu wagonjwa wawili aliowauwa akiwemo Sr. wa Roman Catholic wa Shirika la Bukoba mwezi huu 11.
pia kuna dada alimuua mwanzoni mwa mwaka. Wagonjwa wote hawa huwa ni wazima kabisa waendapo hospitali ila huwa wanaenda kuondoa Adha ya Uvimbe huo.
Je ambao siwafahamu ni wangapi??
 
Huyu dokta hapo mbeya amekuwa na sifa mbaya zilizokithiri na hadi sasa sielewi kwa nini madaktari wote wanapewa uhamisho lakini huyu hafanyiwi hivyo.
ww unataka wamhamishie wapi??? Akaendeleee kuuwa siyo
 
Kazi kweli kweli, huu muda wa kuangaika na watu ungeutumia kujitafutia competency Zaidi ili ukapata nafasi nzuri pia. Simfahamu muhisika lkn through maelezo yenu tu mnaonesha mna fitina.
Haya mambo yapo ofisi nyingi, nina wasi wasi huyu jamaa ni competent na hataki ujinga.
Inaonekana hapendagi ujinga huyo Dr, nipo mtaani kuwasaka hao wagonjwa wanaotoroka rufaa na kwenda Ks hosp kujua kulikoni, na ili kukata mzizi wa fitina ntatupia namba zao ili kila mwenye simu ajaribu kuwadodosa kivyake. Nadhani ndo tutakapojua ukweli halisi. Sipendagi ujinga mimi
 
ww unataka wamhamishie wapi??? Akaendeleee kuuwa siyo
Uhamisho kwa mtumishi wa umma baada ya kipindi fulani ni kawaida. Tuhuma za kuua ni nzito na zinaweza tu kuthibisha na mahakam hivyo mimi sipendi kujiingiza huko ila ninajua kuwa huyu bwana anatabia ya kuwahimsha wagonjwa [hasa wenye nazo ] toka hospitali ya rufaa hadi kwenye hiyo hospitali ili awanyonye vizuri.
 
0762028215 tuanzeni na huyo mgonjwa alivunjika mara tatu na rufaa wakasema hatatembea tena, akaenda kwa huyo Dr Danny, sasa anatembea.
 
Daktari kama ana digrii moja, na ana uzoefu wa kutoa tiba katika kitengo fulani labda Urology au OT si ajabu akawa anahudumia wagonjwa sawasawa na daktari bingwa. Mbeya kuna daktari mashuhuri sana mwenye hospitali yake anayetibu magonjwa ya kinamama maeneo ya Uyole. Watu wengi wanadhani ni daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake kwa sababu ya utoaji wa huduma zake.

Labda kama kuna issue za rushwa hilo ni jambo lingine. Na pia ni vyema daktari husika aharakishe kutafuta qualifications husika ili afanye kazi kwa amani.
 
Nimeenda Mbeya nikamkuta daktari anaitwa Danny! Anatamba hata kipindi hiki cha daktari Magufuli.

Anajiita Daktari Bingwa wa Mifupa wakati ana degree moja tu.

Alihamishwa toka Peramiho na kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mbeya.

Amesababisha vifo vingi kutokana na kufanya upasuaji asiosomea.

Mwezi wa tatu mwaka huu alisababisha kifo cha mwendesha bodaboda aliyekuwa akiitwa Festo aliyelazwa hospitali ya rufaa Mbeya baada ya kugongwa na gari ya mmiliki wa hotel moja iitwayo Kwetu Pazuri.

Haijulikani Danny alipata wapi taarifa za huyo mgonjwa kulazwa hospitali ya Rufaa Mbeya na kisha mgonjwa akahamishwa na akaishia kufanyiwa operation hospitali ya private ya K's Hospital; hii ni baada ya mgonjwa Festo kuambiwa na madaktari wa hospitali ya kanda ya Rufaa Mbeya kwamba hawatoweza kuokoa mguu wake.

Danny baada ya kwenda kumfanyia operation hapo K's akagundua hawezi okoa mguu huo akiwa anaendelea na operation. Ndugu waliombwa watoe pesa za damu iliyoendwa kufuatwa benki ya damu Mbeya.

Danny ana mambo mengi sana yanayoaibisha madaktari.

Amewaacha watu wengi wakiwa vilema, ikiwamo mke wa mfanyabiashara mashuhuri wa jijini Mbeya (Babito).

Amekuwa na mtandao wa kuhamisha wagonjwa (ukiwahusisha manesi wa wodi hadi mafundi wa mionzi) waliopata ajali toka hospitali ya kanda ya rufaa Mbeya (ambayo si hospitali yake) na kwenda kuwafanyia operation kwenye hospitali binafsi iitwayo K's Hospital, kwa gharama kubwa huku akiwaacha wagonjwa na vilema vya kudumu au vifo.

Ana ushirikiano na laboratory technician wa NBTS Mbeya (ipo Meta hospitali) katika kuwauzia ndugu damu.

Watu gani wanamlinda Danny? Je, walewale wanaomlinda 'Dr. Nyagori' wa Morogoro.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Update toka Mbeya 1
Siku tatu zilizopita, Dr. Danny kamfanyia operation ya mifupa mmoja wa madaktari wasaidizi katika hospitali anayofanyia hizi operation zake zisizo na sifa. Taarifa zinasema baada ya kumfanyia operation daktari huyu msaidizi alipata complication ya Pulmonary Embolism, yaani bonge la damu kuziba njia za mapafu na kwamba hii ilisababisha mgonjwa kuwa mahututi na sasa amelazwa hospitali ya kanda ya Mbeya, wodi za Tiba, akiwa mahututi.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Update 2
Taarifa za ndani zinadai Danny kuhojiwa na UWT na kudai yeye si daktari bingwa wa Mifupa, bali wagonjwa wenyewe humfuata. Lakini bado swali linakuja, inakuwaje Danny afanye operation kubwa ambazo hana uzoefu nazo wala kusomea?

Ukiona wana mchafua hivi jua huyo Ni kichwa(anaweza)
Tanzania ndio nchi unayo ongoza duniani Kwa watu wanafiki na wivu
Dr Chapakazi saidia watanzania
 
Inaonekana hapendagi ujinga huyo Dr, nipo mtaani kuwasaka hao wagonjwa wanaotoroka rufaa na kwenda Ks hosp kujua kulikoni, na ili kukata mzizi wa fitina ntatupia namba zao ili kila mwenye simu ajaribu kuwadodosa kivyake. Nadhani ndo tutakapojua ukweli halisi. Sipendagi ujinga mimi
Huyo dogo anavifaa vyake binafsi vya masuala ya mifupa Hosp zetu vifaa ni vichache mno mfano vyuma. Sasa jamaa akiingia na vyuma kwenye Hosp ya Serikali ni noma. Na mgonjwa anataka huduma lazima afuate vyuma viliko.
 
Daktari kama ana digrii moja, na ana uzoefu wa kutoa tiba katika kitengo fulani labda Urology au OT si ajabu akawa anahudumia wagonjwa sawasawa na daktari bingwa. Mbeya kuna daktari mashuhuri sana mwenye hospitali yake anayetibu magonjwa ya kinamama maeneo ya Uyole. Watu wengi wanadhani ni daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake kwa sababu ya utoaji wa huduma zake.

Labda kama kuna issue za rushwa hilo ni jambo lingine. Na pia ni vyema daktari husika aharakishe kutafuta qualifications husika ili afanye kazi kwa amani.
Jamani watu wawe wakweli, je kuna issue ya rushwa private? Si wanakubaliana na garama au lah?!
 
Back
Top Bottom