MBEYA: Kijana akimbia ndoa kanisa la KKKT

MBEYA: Kijana akimbia ndoa kanisa la KKKT

e059497f8ff39a565ea86def5dd61e93.jpg
ndiooohiii mkuuuu walienda ukumbinikunywa nakula nakusema baadaya kunywa watatoa tamko nahisi tamko litakuwa LA Kilimanjaro kichwani Kama siocastle lager....

Msiniulize whynt whisky.. Wanyakyusa awajazoea pombe Kali zakithungu
 
Minasema MUNGU AINGILIE KATI HAWAWAMAMA WANASIRI NZITOO SANA KUHUSU WATOTO WETU

TUKIANZA KUKAGUA KILA NYUMBA DNA
NAWAHAKIKISHIA TUNATOA MTOTO MMOJA AA WAWILI WALIOCHAKACHULIWA

Mimi nakumbuka niliwahi mtania mkewangu hii mimba kama si yangu ntakachokufanya mungu anajua cha ajabu nkiwa naongea vile mwenzangu anakosa raha kabisa na si kawaida haiingii akilini mwangu kwa nini akose raha na si mara moja nikisema vile anakuwa hana raha siku nzima na hata akijibu majibu yake hayaeleweki nilikuwa na mawazo kwa kiasi kikubwa nilivyoelewa ni kuwa mwanamke wangu alinicheat na hasa tarehe zile zile na mimba ndio imeingia japo sina hakika sasa hakujua ni yangu au la maana sio kwa kukosa amani vile ila finaly alipojifungua toto photocpy no need of dna naye kapumua na akaanza kuongea kwa kujiamini so wanawake wanasiri nzito sana kwenye hili la kutuzalia watoto
 
  • Thanks
Reactions: 7ve

ujawahiii kukutanaa Mtu anafananaa nawewe

Auujawahi kutana nandugu amarafiki anakwambia nimekuona kwenye Nadya mataa ya Morocco ukanchunia Kabisa wakati hata bei ya petrol huijui((namanisha mfano)...

Nabadae unamwambia aikuwamimi anakukatalia Kabisa nakuishia mnafanana naembaya... Hao ndio wake hucheza naoo
 
Msimlaumu Bw harusi, huenda dakika za mwisho alisikia taarifa mbaya kumhusu bi harusi. Mf kuliwa tigo, kutoa mimba n.k...
Kwa sisi watu wa Pwani huyo bibi harusi mliwa Tigo huwa anaolewa kwa mahari nyingi zaidi
 
ujawahiii kukutanaa Mtu anafananaa nawewe

Auujawahi kutana nandugu amarafiki anakwambia nimekuona kwenye Nadya mataa ya Morocco ukanchunia Kabisa wakati hata bei ya petrol huijui((namanisha mfano)...

Nabadae unamwambia aikuwamimi anakukatalia Kabisa nakuishia mnafanana naembaya... Hao ndio wake hucheza naoo
We jamaa mbona unataka mwenzako aende kuacha mke?!
 
Iko hivi, unapendana na msichana, unampenda kutokana na muonekano wake. Kumbe muonekano wake ni wa bandia/fake.Unapo gundua kumbe si yeye ni urembo wa kununua!!!
 
Naona bw harusi kafikiria mbali sana. mojawapo kati ya haya:
>kwa ugumu huu wa maisha ataishije na mke?
>anajifungaje kwa mtu mmoja maisha yake yote wakati warembo kila siku wanazaliwa?
>ametishwa na wingi wa ndugu wa mke, akaona ni mzigo tarajiwa wa kuhudumia.
>alimuona ex wake kanisani kapendeza kuliko bi harusi
Hiyo mnyakyusa ana asili ya uwoga
 
Mi naona kama bi harusi umri umeenda kuliko kijana, maybe alilazimishwa.
 
Siyo ya kusikia ni ukweli kabisa. Baada ya jamaa kupota hizo taarifa ilibidi amuulize bi harusi mtarajiwa alikubali na kumuomba msamaha na jamaa akamuuliza kwanini ulinificha siku zote? Nadhani it was too late jamaa ilimlazimu kufanya maamuzi hayo.

Wageni ukumbini tulienda na kuserebuka, kula na kunywa then tukarudi home
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] aisee hao wachangaji nomaa yaani duuuh shereh haina bwanaharusi lkn wao wameikazania tu
 
Back
Top Bottom