MBEYA: Kijana akimbia ndoa kanisa la KKKT

Huyo bwana harusi kabla ya siku moja ya kwenda kanisani kufunga ndoa alipokea ujumbe kuwa bi harusi ana mtoto na ana mimba ya miezi minne ya baba wa mtoto wake yaaani X -Bf.

Wakati muolewaji hakumpa taarifa hizo muowaji toka mwanzo wa uhusiano wao.

Aliye zaa nae na mwenye mimba ya miezi minne ndiyo alimtumia SMS bwana harusi mtarajiwa.Kwa kumueleza bi hausi unamuowa lkn ni mjamizito na mimba ni yangu na ana mtt wangu hayo hajakwambia.

Habari hii nimeisoma sehemu kisa cha kukimbia huyo bwana harusi.
Duu si angetoa mimba kabla ya kuanza mchakato wa ndoa
 
Aliolewa akaachika.
Kuna comment moja katika thread fulani kaandika hivyo.
Hata mimi nilihisi kitu kama hicho kuwa lazima atakuwa kaolewa hlf akaachika maana anaonekana ana mdomo sana na kujiona mzuri.
 
Kijana mmoja aitwae mwakabongo Leo ameonyesha kihoja pale alipokimbia ndoaa Kanisa LA KKKT usharika wa isanga

Akiongea kwahuzuni MCH WA KANISA HILO ANDAGILE MWAKAJUNGU AMESEMA KWAMARA YA KWANZA KUTOKEA HILI TATIZO KANISANI KWAKE

AKUISHIA HAPO AKASEMA HAJUI PEOLILILOMPATA KIJANA HUYU MAANA JANAWAMEKUJA NA MKEWE OFISINI KWAKE NAKUTHIBITISHA NDOA IPO... KABLA YAKUWAPA MAELEKEZO MENGINE

NDUGU WALIONEKANA KUCHANGANYIKIWA KABLA YA KUAMUA KUMPIGIA NAPALE ALIPOGOMA KUPOKEA WAKAONA MDA UNAENDA NAKUMWOMBA MCH AMBAE ALIPIGA MARAYA PILI IKAPOKELEWA NAKUMWOMBA RADHI NAKUMHAIDI KUMWONA AMWELEZE HALIHALISI.. MMMH

TUKIO ZIMA LILIKUA HIVI

WAMEFIKA WOTE KANISAN WAKATI WAKISUBIRIA KUINGIA NDANI BW HARUSI AKAZUNGUKA AKAELEKEA NYUMA YA KANISA KUMBE KUNA PIKPIK ASHAIITA. AKACHAPA LAPA...

NDIPOMDA UKATIMIA JAMAA AONEKANI APOKEI.... MCH AKATANGAZA MDA UMEKWISHA ATOWEZA FUNGA NDOA

MMH NAHISI JAMAA ALILETEWA MZIGO NASHANGAZI HAYA NDIO MATOKEO YAKE....
 
1482514252680.jpg
Bwana harusi aliyekimbia apatka ndoa yafungwa kimya kimya.
 
McKan: Tom must know about this.
McKan: Hey Tom, can you imagine, one black man just surrender the wedding. You know why? His wife to be was wearing too much makeup.

Tom: Sh******t
 
Back
Top Bottom