MBEYA: Kijana akimbia ndoa kanisa la KKKT

Huyo bwana harusi kabla ya siku moja ya kwenda kanisani kufunga ndoa alipokea ujumbe kuwa bi harusi ana mtoto na ana mimba ya miezi minne ya baba wa mtoto wake yaaani X -Bf.

Wakati muolewaji hakumpa taarifa hizo muowaji toka mwanzo wa uhusiano wao.

Aliye zaa nae na mwenye mimba ya miezi minne ndiyo alimtumia SMS bwana harusi mtarajiwa.Kwa kumueleza bi hausi unamuowa lkn ni mjamizito na mimba ni yangu na ana mtt wangu hayo hajakwambia.

Habari hii nimeisoma sehemu kisa cha kukimbia huyo bwana harusi.
Kama kweli ni hivi asingekimbia bali angewashirikisha ndugu kufanyike jitihada za haraka japo mke apimwe ujauzito kwanza.
-Siku moja ni kubwa inatosha kupata uhakiki. Ubaya zaidi ikitokea ujumbe aliyotumiwa bwana harusi ni taarifa za uongo, dalili ya mwanzo kabisa mume kuonekana huna msimamo.
 
Mimba ipo walifanya vipimo mkuu na mtoto yupo. Bi harusi alificha
 
Huyo bwana harusi kabla ya siku moja ya kwenda kanisani kufunga ndoa alipokea ujumbe kuwa bi harusi ana mtoto na ana mimba ya miezi minne ya baba wa mtoto wake yaaani X -Bf.

Wakati muolewaji hakumpa taarifa hizo muowaji toka mwanzo wa uhusiano wao.

Aliye zaa nae na mwenye mimba ya miezi minne ndiyo alimtumia SMS bwana harusi mtarajiwa.Kwa kumueleza bi hausi unamuowa lkn ni mjamizito na mimba ni yangu na ana mtt wangu hayo hajakwambia.

Habari hii nimeisoma sehemu kisa cha kukimbia huyo bwana harusi.
Yesu wangu tuokoe
 
Kama hayo uliyoyasikia yana ukweli bac bwana harusi ana kila sababu ya kukimbia ndoa ya namna hiyo, mambo ya kuitwa baba wa kambo na anayataka
 
Kama ndio hivi Mimi pia namuunga mkono pamoja na mguu huyo bwana harusi.

Dada zetu mambo mengine mnajitakia.

Huyo bwana harusi kabla ya siku moja ya kwenda kanisani kufunga ndoa alipokea ujumbe kuwa bi harusi ana mtoto na ana mimba ya miezi minne ya baba wa mtoto wake yaaani X -Bf.

Wakati muolewaji hakumpa taarifa hizo muowaji toka mwanzo wa uhusiano wao.

Aliye zaa nae na mwenye mimba ya miezi minne ndiyo alimtumia SMS bwana harusi mtarajiwa.Kwa kumueleza bi hausi unamuowa lkn ni mjamizito na mimba ni yangu na ana mtt wangu hayo hajakwambia.

Habari hii nimeisoma sehemu kisa cha kukimbia huyo bwana harusi.
 
Watu wanazusha habari ovyo ovyo, ni kweli tukio limetokea bt siyo kiivyo mana bwana haruc hata kanisan hakuenda amesepa kabla ya tukio ujue
 
Lol. Bi harusi mbona mbaya hivyo? Any way soo sad news kwa kweli
SURA YA HUYO KIJANA wa kiume umeiona? Kakimbia watu wasijiulize mwanamke mrembo kama huyu anaoleweje na mwanaume mwenye sura mbaya hivyo?
 
Kama hayo uliyoyasikia yana ukweli bac bwana harusi ana kila sababu ya kukimbia ndoa ya namna hiyo, mambo ya kuitwa baba wa kambo na anayataka
Siyo ya kusikia ni ukweli kabisa. Baada ya jamaa kupota hizo taarifa ilibidi amuulize bi harusi mtarajiwa alikubali na kumuomba msamaha na jamaa akamuuliza kwanini ulinificha siku zote? Nadhani it was too late jamaa ilimlazimu kufanya maamuzi hayo.

Wageni ukumbini tulienda na kuserebuka, kula na kunywa then tukarudi home
 
Back
Top Bottom