MBEYA: Kijana akimbia ndoa kanisa la KKKT

MBEYA: Kijana akimbia ndoa kanisa la KKKT

Lileta mada wewe ni lipopoma! Mbona hii ilitangazwa kwamba aliyesababisha ni baba mzazi wa kijana kuweka pingamizi kwamba kijana wake hawezi kuoa kikristo hali yeye ni muslam? Na baba akasema tayari walishamwandalia binti wa Kislam kule kijijini kwao? Narudia tena wewe ni lipopoma!
 
Mkuu unaongea kwa jazba sana....vipi aliyeachwa ni dada`ko?,pole
 
Kuoa mc..g si mchezo jamaa kafikiria mbali sana akaona bora ale kona kuliko majanga anayoyanunua
 
Siafadhaliii yahuyu kawahikimbiaa

Kunakaka mmoja Kimaramwisho alichezewa same game.. Mbayaa mtoto wa mwanamke
wakadai wakaka nakusimamia kasimamia harusi

Wamemaliza ndoaa usikuujamaa akawarusHow's meseji..bintii anantoto nahuyo aliekuwakushoto kwenu mbele n wake

Unahisi hnymn ilikuwaje?? Mungu
anawaona.... nishidaaa jamaa akangangana ahakikiwe hahahaaa

Ndoa ikawandoana ikafiahapooo miezisita ziii
P didy una story nzuri lakini hueleweki kabisa binafsi natumia nguvu nyingi sana kukusoma na kuelewa
 
Lileta mada wewe ni lipopoma! Mbona hii ilitangazwa kwamba aliyesababisha ni baba mzazi wa kijana kuweka pingamizi kwamba kijana wake hawezi kuoa kikristo hali yeye ni muslam? Na baba akasema tayari walishamwandalia binti wa Kislam kule kijijini kwao? Narudia tena wewe ni lipopoma!
hyo ilikuwa moshi wewe lipopoma hii ni mbeya harusi mbili tofauti
 
Bora alikimbia,sisi tulioingia church tukafunga ndoa tunajuta ...Hongera zake
 
Hatimaye kijana aliyetoka nduki kanisani amerejea na ndoa kufungwa japo picha za bi na bwana harusi kama wamefosiwa hiviii
 
Kijana mmoja aitwae mwakabongo Leo ameonyesha kihoja pale alipokimbia ndoaa Kanisa LA KKKT usharika wa isanga

Akiongea kwahuzuni MCH WA KANISA HILO ANDAGILE MWAKAJUNGU AMESEMA KWAMARA YA KWANZA KUTOKEA HILI TATIZO KANISANI KWAKE

AKUISHIA HAPO AKASEMA HAJUI PEOLILILOMPATA KIJANA HUYU MAANA JANAWAMEKUJA NA MKEWE OFISINI KWAKE NAKUTHIBITISHA NDOA IPO... KABLA YAKUWAPA MAELEKEZO MENGINE

NDUGU WALIONEKANA KUCHANGANYIKIWA KABLA YA KUAMUA KUMPIGIA NAPALE ALIPOGOMA KUPOKEA WAKAONA MDA UNAENDA NAKUMWOMBA MCH AMBAE ALIPIGA MARAYA PILI IKAPOKELEWA NAKUMWOMBA RADHI NAKUMHAIDI KUMWONA AMWELEZE HALIHALISI.. MMMH

TUKIO ZIMA LILIKUA HIVI

WAMEFIKA WOTE KANISAN WAKATI WAKISUBIRIA KUINGIA NDANI BW HARUSI AKAZUNGUKA AKAELEKEA NYUMA YA KANISA KUMBE KUNA PIKPIK ASHAIITA. AKACHAPA LAPA...

NDIPOMDA UKATIMIA JAMAA AONEKANI APOKEI.... MCH AKATANGAZA MDA UMEKWISHA ATOWEZA FUNGA NDOA

MMH NAHISI JAMAA ALILETEWA MZIGO NASHANGAZI HAYA NDIO MATOKEO YAKE....
Una mwandiko mbaya sijawahi ona!!
 
Back
Top Bottom